Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006..
Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani....
Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika
↧