Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika
katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi
tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni
punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali,
imewekwa youtube na Jesse R.<!-- adsense -->
↧