HAUSIGELI ambaye jina lake halikupatikana mara moja, nusura ajirushe
chini kutoka ghorofa ya pili kwa kile kilichodaiwa kuwa aliogopa moto
mkubwa uliozuka katika jengo la jirani na ghorofa alilokuwemo.
Tukio
hilo lilijiri mapema asubuhi ya Juni 18, mwaka huu kwenye makutano ya
Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa majirani, baada ya kuona moto
↧