Habari
kutoka Dodoma zinasema Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia chama cha
NCCR-Mageuzi, Mhe. Moses Machali (pichani), amelazwa katika hospitali ya
mkoa ya Dodoma kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na
watu wasiojulikana jana jioni mjini Dodoma.
Tukio hilo lilitokea jana jioni wakati Mh. Machalli
akiendesha gari lake mita kadhaa kutoka ilipo nyumba anayoishi baada ya
↧