Mabondia wanne wa Tanzania wafungwa miaka 15 jela nchini Mauritius kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin.
Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa.Wakati kesi hiyo ilipoanza
kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza mihadarati hiyo nchini
Mauritius wakati walipokwenda kushiriki mashindano ya ndondi barani
↧