Taarifa
zilizotufikia zinaeleza kuwa wanafunzi wanne
wa chuo kikuu cha Dar es salaam
wamevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo maeneo ya Yombo chuoni
hapo.
Wanafunzi hao wanaosemekana kuwa ni wa mwaka wa nne na wa
mwisho wa masomo walikuwa wanajisomea na kuandaa “Disertation” zao na
kujikuta wakivamiwa na watu wanne na kuamuriwa watoe kompyuta zao na
pochi za fedha.
↧