Mtoto wa miezi miwili wa kiume nchini Namibia amefanyiwa upasuaji wa aina yake baada ya kuwa amezaliwa akiwa na miguu minne.
Andrew
Palismwe, anayetokea Caprivi, anaendelea vizuri na matibabu baada ya
kufanyiwa upasuaji uliochukua masaa tisa kuondoa miguu miwili kwenye
Hospitali ya watoto ya Red Cross War Memorial iliyoko mjini Cape Town,
Afrika Kusini.
Mtoto huyo sasa anaendelea kupataImage may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.
