UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia
uwezekano wa vijana kupunguza ngono, umebainisha elimu ya afya ya uzazi
bado inahitajika ili kuwakinga na tabia hatarishi.
Akitoa matokeo ya awali ya utafiti huo, mmoja wa watafiti wa Chuo
Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili, kitengo cha magonjwa
na afya ya akili, Lusajo Kajula, alisema kuwa asilimia
↧