ASILIMIA 40 ya Wanaume waliopima vinasaba ili kubaini uhusiano wa
kibaiolojia na watoto wanaowalea, wamebainika kuwa watoto hao si wao
licha ya kuzaliwa na wake zao au wapenzi wao.
Taarifa hiyo
imetolewa na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kutokana na wanaume
waliotaka kufahamu ukweli kuhusu watoto wao hadi Januari mwaka huu kwa
mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu namba 8 ya
↧