Huu
ni mtaro wa kupitisha maji taka ambao umepita katikati ya Hospitali ya
Palestina ambapo ulifumuka na kusababisha kusambaa kwa maji machafu
katika kila kona ya hospitali hiyo.
Mmoja wa wagonjwa akiwa anangojea kupata huduma baada ya mvua hiyo kubwa kuisha.
Haya ni maji machafu ambayo yametapakaa kila sehemu ya hospitali.
Kushoto
ni mgonjwa akiwa amelala juu ya benchi
↧