Dondoo za taarifa (audio imepachikwa hapo chini):
Baraza la Mitihani la Taifa latangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita Kitaifa
Serikali
mkoani Morogoro imeifunga shule ya Sekondari ya vipaji maalumu, Mzumbe
kwa muda usiofahamika na kuwapa wanafunzi siku mbili, kuanzia leo,
kuondoka shuleni hapo
Wabunge wa CHADEMA, CUF waomba radhi Bungeni kutokana na utovu wa nidhamu uliojitokeza
↧