Habari
kutoka kwa wanakamati wa mipango ya mazishi ya marehem Albert Mangwea
zinasema kuwa mwili wa marehem Ngwea utafika Dar siku ya jumapili saa
nane mchana na sio jumamosi kama ilivyoarifiwa hapo awali…
Mwili huo utaagwa
siku ya jumatatu saa mbili mpaka saa sita machana ambapo safari itaanza
kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi
<!-- adsense -->
↧