Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa
kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe.
Inadaiwa
marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali
ambayo imepelekea kifo chake.
Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru
mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na kumuua..
VIDEO
<!-- adsense -->
↧