Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare na
mwenziye Ludovick Joseph wamekwama tena leo Jumatatu, Mei 27 kupata
dhamana baada ya Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Kisutu, Sundi Fimbo
kueleza kuwa Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Aloyce Katemana, bado yupo
likizo tangu wiki tatu zilizopita.
Watuhumiwa wanakabiliwa na shitaka la kupanga njama za kumnywesha sumu
↧