Iliyopachikwa hapo chini ni video ya Profesa Ibrahiumu H.
Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Msikiti wa
Idrissa, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, alikokwenda kuswali swala ya
Ijumaa, miezi kadhaa iliyopita. Prof. Lipumba alikaribishwa
kuzungumza na waumini hao mara baada ya utangulizi uliotolewa na Imamu
wa msikiti huo, Sheikh Ali Basaleh, aliyemtaka awaeleze Waislamu
↧