MAUAJI
ya kikatili yametokea usiku wa kuamkia leo wilayani Bunda, mkoani Mara
baada ya watu wenye hasira wa kijiji cha Kasaula kuwauwa kwa kuwachinja
kama Kuku kisha kuwachoma moto vikongwe watatu kwa kuwatuhumu wanajihusisha
na vitendo vya kishirikina.
Pia
watu hao mbali na kuwaua kikatili vikongwe hao kwa tuhuma kwamba
walimuua kijana mmoja aitwaye Sale Ligolo, walichoma moto na
↧