Hashim Lundenga.
Baada ya shutuma za rushwa ya ngono kuzidi kwa waandaaji wa shindano
la Miss Tanzania, uongozi unaosimamia shindano hilo umesema kama kuna
mrembo yeyote ambae amewahi kuombwa rushwa hiyo ya ngono ajitokeze.
Mkurugenzi
Hashim Lundenga amesema “kuna kushutumiwa kwamba tunachukua rushwa ya
ngono kutoka kwa Wasichana kitu ambacho sio kweli, hakuna msichana
↧