Wakati Mtwara kukilipuka kwa vurugu za
gesi na kusababisha maafa, jijini Dar kumeibuka taharuki ya aina yake
baada ya mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Anna kudaiwa kuwa ni
mchawi na kudondokea kanisani.
Tukio
hilo lililochukua saa kadhaa lilitokea katika Kanisa la Yesu Kristo la
Huduma ya Maombezi na Uponyaji linaloongozwa na Nabii Flora Peter
lililopo Mbezi Beach Salasala, Dar
↧