Zile
picha za kundi la Ze Komedy la linalorusha kipindi chake kupitia
televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na
mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria kuahidi
kuzisaidia familia za wazaza wa mabint hao. Wakitoa
maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao
wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo
↧