Jeshi
la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ, limekanusha taarifa
zilizotapakaa kwenye mitandao kuwa askari wa jeshi hilo waliokwenda huko
kwa ajili ya kulinda amani,wameanza kujihusisha na makahaba.Kwa
mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Mtandao wa
www.congodrcnews.com umedai wanajeshi wa Tanzania wameanza kujihusisha na
ubakaji wanawake katika Mji wa Sake ulioko
↧