Ramadhani
Suleiman 'Rama mla kichwa' (kulia) na mama yake mzazi, Khadija
(katikati) walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza.
------------
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemuachiwa huru Ramadhani Suleiman (Rama
mla kichwa) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, baada ya kubaini
hana akili timamu.
Jaji
Rose Temba alitoa hukumu hiyo jana kutokana na ripoti ya Dk
↧