Sakata la wawili hao lilifika polisi na kubainika kuwa Madaha alilipa
kodi kwa tapeli wakati Wolper alitoa fedha zake kwa mwenye nyumba hivyo
kumfanya awe na haki ya kuhamia.
Akizungumza na mwandishi wetu, juzi jijini
Dar es Salaam, Madaha alisema pamoja na kubainika kuwa alitapeliwa, mtu
pekee ambaye angeweza kumsaidia kupata fedha zake (shilingi milioni
tatu) ni Wolper lakini
↧