Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta akiwa Bungeni leo amelaani vikali
gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo
imelidhalilisha bunge la tanzania.
Mh Sitta ametoa kauli hiyo leo asubuhi
wakati akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka
2013/2014.
Sitta amesema pamoja na bunge kuwa na mjadala mkali lakini siyo sahihi Kenya
↧