Serikali
ya Mkoa wa Kagera imewatahadharisha wananchi wake kuepukana na wageni
wasiowafahamu kwenye maeneo yao kutokana na tishio la kikosi chaM 23 cha
nchini Congo DRC kinachotishia kuivamia Tanzania...
Kumekuwa na mapigano makali kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali nchini Congo ambako jeshi letu lipo huko...
Waasi hao wametishia kuivamia Tanzania muda wowote ili
↧