INAUMA sana! Wakati wazazi wakihenyeka na wakati mwingine kujinyima
ili mabinti zao waweze kupata elimu bora itakayowasaidia maishani mwao
wapo wapuuzi wanaokatisha jitihada hizo.
Mwanaume mmoja aitwaye
Taliki Juma mkazi wa Temeke – Wailesi jijini Dar es Salaam ameingia katika dimbwi la AIBU baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kidato cha
pili wakifanya mchezo mchafu.
Mbaya zaidi,
↧