KWANZA NAANZA KWA KUMPONGEZA SANA DIAMOND maana akiwa
hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya
Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya
kimataifa.
Kupitia
Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa
show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio
promoter.
Kilichowafanya
↧