HATIMAYE Mahakama ya Wilaya ya
Kinondoni, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na aliyekuwa mume
wa Josephine Mushumbusi( KWA SASA NI MCHUMBA WA DR. SLAA) , Maimbo baada ya kuiona rufaa hiyo haina msingi
wowote kisheria.
Hukumu hiyo ya rufaa ya madai ya
ndoa Na.32/2012 ilitolewa leo na Hakimu Aniseth Wambura ambapo alisema
mahakama yake imefikia uamuzi huo wa kuitupa
↧