Mtumishi mmoja wa Mungu amejikuta akipata aibu ya mwaka si tu mbele
za Mungu bali hata kwa mkewe pamoja na mashuhuda wengine baada ya mkewe
kumfumania ‘live’ kitandani akifanya mapenzi na mwana kwaya wa kanisa
lake huko Kisumu nchini Kenya.
Habari zilizoripotiwa na mtandao wa Kenyan-Post zinasema msichana
huyo mweye miaka 23 amekuwa na mahusiano ya muda mrefu na pasta huyo
↧