Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mamia wamuaga Balozi Kazaura jijini Dar es Salaam

$
0
0
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini India.    Ibada hiyo ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mt Peter, Oysterbay jijini, na kuhudhuriwa na viongozi wa chama na Serikali, mabalozi mbalimbali Tanzania waliokuwa

Nakala ya pili ya Rasimu ya kanuni za Bunge la Katiba

$
0
0
 Itakumbukwa kwamba tarehe 19 Februari 2014 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum Pandu Kificho aliteua Kamati ya Wajumbe ishirini yenye uwakilishi wa makundi yote yanayounda Bunge Maalum kwa ajili ya kumshauri kuhusu Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalum. Rasimu ya kwanza ya Bunge Maalum iliandaliwa na Kamati ya Maandalizi chini ya Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Katibu wa Baraza la

AJABU.......... Mwanamke mmoja mkazi wa Tanga akamatwa Pemba akiwa na Miharadati

$
0
0
 picha na maktaba Na Masanja Mabula, PEMBA — JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linamshikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiyaka Ayoub (30) mkaazi wa Pande Tanga na Chake Chake kwa tuhuma za kupatikana na mafurushi ya bangi. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa niaba ya kamanda wa Polisi Mkoa huo, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Mlenge Mohammed

Nape Nnauye awasha moto Shinyanga

$
0
0
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini.  Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha ya kuwakaribisha wanachama wapya ambao walikuwa madiwani kwa kupitia Chadema ambao tarehe 25 walijiuzuru na tarehe 26 Februari 2014 kujiunga na CCM.  Zakaria Martin Mfuko

Baby Madaha; Shiole hawezi nifikia mimi kwenye muziki...... yeye mcheza vigodoro tuu.......

$
0
0
Baby Joseph ‘Madaha’.  MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro). “Hivi huyu ana akili au matope, nimfuatefuate ana nini? Hebu aangalie muziki wangu ninaopiga na wake. Yeye ni wa hapa hapa, mcheza vigodoro,” alifunguka Madaha.                          Zuwena

Taarifa ya Wizara kuhusu hali ya uzalishaji, upatikanaji, na uhakika wa chakula nchini

$
0
0
 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA Hali ya uzalishaji, upatikanaji na uhakika wa chakula nchini imeendelea kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi kufuatia mavuno mazuri ya msimu wa kilimo wa 2012/2013 ambayo mazao yake yanaendelea kuingia sokoni kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa kilimo wa 2012

Kajala Massanja aponea chupuchupu kufa...... ni baada ya kunyweshwa sumu.....

$
0
0
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amejikuta katika hali mbaya kufuatia kunyweshwa sumu na mtu ambaye hakuweza kufahamika mara moja. Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili iliyopita maeneo ya Tegeta jijini Dar katika Klabu ya Seventy One ambayo alikwenda kujiachia na marafiki zake. Chanzo cha uhakika, kilipenyeza habari kuwa, Kajala alinyweshwa sumu hiyo kupitia

Hii ni kauli ya msanii Diamond kuhusu wasanii wanaolazimisha kumtengenezea ugomvi

$
0
0
Msanii  Diamond  ameiandika hii  status na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na facebook. <!-- adsense -->

Taarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi

$
0
0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo ulitangazwa jana (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.   Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati

Wimbo Mpya:Shetta ft Diamond Platinumz-Kerewa

$
0
0
Shetta ameachia wimbo mpya unaoitwa 'Kerewa',aliomshirikisha Diamond Platinumz,wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever.   Usikilize hapa

"Nilianza kuvuta sigara ya kawaida, nikaja bangi na baadaye madawa ya kulevya....Ila kwa sasa nimeacha "....Banza Stone

$
0
0
  Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefunguka mazito juu ya matumizi mabaya ya bangi na madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na jinsi alivyokuwa akiyatumia. Akizungumza kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV  mwanzoni mwa wiki hii, Banza alikiri kutumia madawa ya kulevya na kusema; “Nilianza kuvuta sigara ya kawaida, nikaja bangi na baadaye

Steve Nyerere ammwagia SIFA Lulu Michael.....Adai ni miongoni mwa wasanii wachache wa kike wasio na skendo chafu kwa sasa

$
0
0
Rais  wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa.   Akiongea na mwandishi wetu  alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi kwamba ni nadra sana kumkuta na skendo za

Baada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja, hatimaye Viongozi wa Uamsho wapata dhamana

$
0
0
Baada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja na miezi minne, viongozi 10 wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Uamsho) jana waliachiwa kwa dhamana yenye masharti nafuu na kujumuika na familia zao. Awali, viongozi hao walishindwa kutimiza masharti waliyopewa na mahakama ambayo yaliwataka kutoa fedha taslim Sh. milioni 25, kuwa na wadhamini watatu wakiwa ni watumishi wa

Homa ya nguruwe yalipuka tena jijini Mbeya na kuua zaidi ya 900......Wananchi waaswa kula KITIMIOTO kwa tahadhari kubwa

$
0
0
Ugonjwa wa homa ya nguruwe umelipuka tena mkoani Mbeya na kuua zaidi ya nguruwe 900 katika wilaya za Mbeya na Rungwe. Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoani Mbeya, Solomon Nong'ona akizungumza nasi jana alisema, ugonjwa huo umerudi tena baada ya kuzuka kwa mara ya kwanza Januari mwaka huu na kutokomezwa. Alisema kufuatia kuzuka tena kwa ugonjwa huo, serikali kupitia sekta ya mifugo imepeleka

Mwigulu Nchemba azindua rasmi kampeni za CCM Kalenga

$
0
0
Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono kuwa mgombea wa CCM anafaa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa

Rais Kikwete azindua mtambo wa kuhakiki takwimu za Mawasiliano ya simu (Telecommunication Traffic Monitoring System)

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System)  February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na

January Makamba na Sugu washiriki kwenye wimbo wa hip hop wa kusisitiza sanaa kutambulika kwenye katiba mpya...

$
0
0
Kilio cha wasanii kuitaka katiba mpya kuitambua sanaa ya Tanzania kama sekta rasmi kimepewa sapoti na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January makamba na mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu.   Kwa mujibu wa mtandao wa Bongo5, Makamba na Sugu wameshiriki kwenye wimbo wa hip hop uliowahusisha rappers 13 wa Tanzania, wimbo wenye lengo la kusisitiza sanaa

PNC afunguka baada Ostaz Juma kuweka picha na Video ikionesha anampigia magoti, Ostaz nae aleleza sababu ya kupost picha na video hiyo

$
0
0
Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma alipost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia magoti kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”. Kitendo ambacho kilipondwa na wengi na kuonekana kama ni udhalilishaji. Bonyeza play kuona video hiyo   Akiongea kupitia

Basi la Bunda Express lagongana na Treni Manyoni mkoani Singida.....Mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa vibaya

$
0
0
Mtu  mmoja  amefariki  dunia  na  wengine  38  wamejeruhiwa  vibaya  kufuatia  ajali  ya  basi  la  Bunda  Express  walilokuwa  wakisafirikia   kutoka  Dodoma  kwenda  Mwanza  kugongana  na  Treni  eneo  la  Manyoni  Mkoani  Singida.... Majeruhi   wa  ajali  hiyo  wamepelekwa katika   Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.<!-- adsense -->

"Huwa nafurahia sana PENZI la mwanaume mweusi, Weupe sina mzuka nao"..Wema Sepetu

$
0
0
Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali  amefunguka  na  kudai kuwa yeye mzuka wake   kimapenzi  upo kwa wanaume weusi  na sio wanaume weupe. Kupitia kipindi cha Leo tena February 28,  Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images