Una mtoto mwenye Kipaji na Ungependa aigize na Wema Sepetu, Aunty Ezekiel Na Hemedy? Kama jibu ni ndiyo, basi Nafasi iko hapa.
↧
↧
Tume ya taifa ya uchaguzi yatangaza Ratiba ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Chalinze
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo
la CHALINZE.Mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa
mbunge wa jimbo hilo bwana Said Bwanamdogo kufariki dunia tarehe 22
Januari 2014 kwenye hospitali ya MOI jijini Dar es Salaam.
Ratiba ya uchaguzi kwenye jimbo hilo iko kama ifuatavyo:-
Uteuzi wa wagombea - Tarehe 12 Machi 2014
Kampeni na
↧
Benki ya dunia yabana misaada kwa Uganda ikiwa ni siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya USHOGA
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku
chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya
mapenzi ya jinsia moja.
Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini
Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia
moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani
kama
↧
Waziri Magufuli akagua mradi wa mabasi yaendayo kasi ( BRT ) jijini Dar.....Barabara ya Kimara hadi Kivukoni kukamilika ndani ya miezi 6 ijayo
Kampuni ya Strabag
International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia
Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha
kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita
ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.
Waziri wa Ujenzi Mhe.
Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua
maendeleo ya mradi wa
↧
Afisa mstaafu wa NMB afariki dunia kwenye ajali ya Basi la Bunda na Treni....Kwa habari kamili na picha za ajali hiyo, BOFYA hapa
Basi
la Bunda lililokuwa likitokea mjini Dodoma kwenda jijini Mwanza na
kugonga kichwa cha Treni maeneo ya mjini Mnayoni,linavyoonekana katika
picha baada ya kugonga.
Baadhi
ya majeruhi wa basi la Bunda lililogonga kichwa cha Treni mjini
Manyoni,wakiwa wanapatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya
Manyoni.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
AFISA
Mstaafu wa NMB
↧
↧
"Tutaandamana Rais Kikwete akisaini nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge la Katiba"...TUCTA
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limeazimia
kuongoza maandamano kote nchini, kama Rais Jakaya Kikwete ataridhia
nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Viongozi wa Tucta mkoani Dodoma walisema kitendo
cha wajumbe hao kulilia nyongeza ya posho kimewagusa mno na kimelifanya
shirikisho hilo kutokuwa na imani na wajumbe hao.
Hadi sasa hakujawa
↧
Robina Nicholaus aliyeongoza kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2013 ajibu maswali 10 muhimu....Bofya hapa uyasikilize mahojiano haya muhimu
Mtandao wa Times Fm umefanya mahojiano ‘exclusively’ na Robina
Nicholaus, msichana aliyeshika nafasi ya kwanza/ aliyeongoza kitaifa
(Tanzania One) kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2013.
Robina, mwenyeji wa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara ambaye alikuwa
anasoma katika shule ya wasichana ya Marian, akiwa na ndoto ya kuwa
daktari wa watoto amejibu maswali kumi muhimu na
↧
Huu ni wimbo mpya wa Mh. January Makamba akishirikiana na mastaa kibao wa Hip Hop .....Ndani yupo pia mh. Sugu
↧
Ostaz Juma awatandika tusi wasanii na watangazaji...."Wasanii na Watangazaji wa redio njaa sana, mtakufa, pesa zangu zinawafanya MNISUJUDIE"
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha juzi na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema
njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..
Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:
Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika
mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji
Radio na wasanii
↧
↧
Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha amwagiwa Tindikali....Kosa lake ni kukataa kutangaza JIHAD ambayo ni vita ya silaha dhidi ya Waislamu na wasio Waislamu
Sheikh
wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha, Mustaph Kiago (49) na mwanaye
Khalid Mustapha (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni
tindikali wakati wakiingia msikitini.
Sheikh Kiago amejeruhiwa shingoni na mtoto wake ameumizwa machoni na wote wanatibiwa hospitali ya mkoa ya ya Mount Meru .
Akizungumza nasi nje ya wodi ya watoto kwenye hospitali hiyo jana,
Kiago
↧
CHADEMA yaendelea na kampeni zake za uchaguzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche,
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi
mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia
chama hicho, Grace Tendega uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto
↧
Jokate aeleza kinachomvutia zaidi kwa Lupita Nyong'o, adai weledi ni kitu alichojifunza kutoka kwake
Jokate Mwegelo amemzungumzia muigizaji wa kike raia wa
Kenya, Lupita Nyong’o aliyegeuka mada kubwa Marekani na kung’aa katikati
ya mastaa wa Hollywood baada ya kushiriki katika filamu ya 12 Years a
Slave.
Akiongea na mtandao wa Bongo5, Jokate Kidoti amesema alivutiwa sana
na uigizaji wa Lupita Nyong’o kwenye filamu ya 12 Years A Slave na
kwamba kuna vitu ambavyo vinamfanya amkubali
↧
Vyeti vya kuzaliwa sasa kutolewa mashuleni.....
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mfaranyaki, Ruvuma wakifurahia jambo.
*************
Wakala
wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) ameanzisha mpango wa
uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wanaoanzia umri wa
miaka sita hadi 18 katika shule zote za msingi na sekondari nchini.
Hatua hiyo inatokana na kubaini kuwa ni asilimia 23 tu ya Watanzania nchini ndio
↧
↧
Kampenzi za CCM Kalenga zafunuika kata ya Nziha.....
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Godfrey Mgimwa (32), akilakiwa kwa shangwe na vigeregere alipowasili
katika Kijiji cha Magubike, Kata ya Nzihi, Iringa Vijijini, kufanya
mkutano wa kampeni leo mchana
Wafuasi
wa CCM wakishangilia kwa nguvu wakati Mgimwa akihutubia kuwaomba
kura.Uchaguzi wa Jimbo hilo la Kalenga utakuwa Machi 16, mwaka huu.
Mfuasi
↧
Aunt Ezekiel aeleza kilichomsukuma kufanya Bongo Flava, auelezea wimbo wake 'Mguu kwa Mguu' aliofanya na Linex
Msanii wa filamu za Kiswahili, Aunt Ezekiel ambaye
anatarajia kuachia wimbo wake mpya wa Bongo Flava alioupa jina la ‘Mguu
kwa Mguu’ aliomshirikisha Linex Mjeda, ameeleza sababu kubwa iliyomfanya
aingie kwenye game la Bongo Flava.
“Unajua game la Tanzania linabadilika badilika kwa hiyo nimeona ngoja
pia nijihusishe katika uimbaji ili niendelee kuteka mashabiki, mimi
zamani nilikuwa
↧
Madereva wa malori zaidi ya 300 wagoma kuendelea na safari katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya mwenzao kuvamiwa
Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari
katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao
aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la kisaki
manispaa ya Singida.
Wakiongea na ITV /Radio one madereva ambao
wamekutwa katika eneo hilo wameomba jeshi la polisi kufanya doria mara
kwa mara eneo hilo kwani kumekuwa na
↧
Ikulu yakanusha nyongeza ya posho kwa wabunge....Yasema Rais hajapelekewa maombi, Kilichopitishwa ni marekebisho ya mgawanyo
RAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.
Badala yake amefanya marekebisho ya mpangilio wa posho hizo ambapo itabaki Sh 300,000 hiyo hiyo ya awali.
Maelezo hayo ya Rais Kikwete yaliyotolewa kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu
↧
↧
Mtoto wa Sheikh aliyemwagiwa tindikali aanza kuona
Sheikh wa Msikiti MKuu wa Bondeni, Mustapha Mohamed Kiago (49) na
mwanaye Khalid Mustapha (10) wanasadikiwa kumwagiwa tindikali,
wanaendele vema.
Wawili hao, wamelazwa kwenye hospitali ya mkoa ya Mount Meru kwa
matibabu, baada ya kumwagiwa kimiminika hicho, hivyo kujeruhiwa shingoni
na usoni.
Akizungumza nasi kwa njia ya simu ya kiganjani Jumamosi jana,
Sheikh Kiago
↧
Wajumbe wa bunge maalumu la katiba waaswa kutokuwa watumwa wa vyama vyao
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana na mfanyabiashara wa mjini Dodoma, Augustino Ndejembi alipokuwa akielezea jinsi mchakato mzima wa Bunge la Katiba unavyoendelea.
Alisema ikiwa wajumbe wa Bunge hilo
↧
Waziri wa Elimu akerwa daraja la TANO kuitwa SIFURI....Asema Unakuaje na daraja la kwanza, la pili, la tatu, la nne lakini unapofika la tano unaita sifuri ????
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa
ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga
matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alivishutumu vyombo vya habari kwa kuchanganya
alama na madaraja yaliyopo katika muundo mpya wa kupanga matokeo ya
mitihani nchini.
↧
More Pages to Explore .....