Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waziri Mpango ajibu makombora ya wabunge .....Asisitiza Serikali Itaendelea Kukopa, Azungumzia Kuporomoka kwa Sekta Binafsi

$
0
0
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mpango amewaeleza wabunge kuwa Serikali itaendelea kukopa mpaka kieleweke kwa kuwa hakuna dhambi kukopa ikiwa fedha hizo zinakwenda kukuza uchumi.

Dk Mpango amesema hayo jana Jumatatu jioni wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa 2018/19.

Kuhusu hoja kuwa Deni la Taifa linakuwa kwa kasi kubwa wakati uchumi unakua kwa kasi ndogo, Dk Mpango alisema deni hilo ni himilivu akisema baadhi ya wabunge wanashindwa kukokotoa hesabu.

Alisema Deni la Taifa liliongezeka kutoka dola 22.3 bilioni za Marekani mwaka 2016 na kufikia dola 26 bilioni ilipofika mwezi Juni 2017 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 17.

“Deni hilo ni sawa na asilimia 31.2 ya GDP (Pato la Taifa) ikilinganishwa na ukomo wa uhimilivu wa asilimia 56. Uhimilivu wa Deni la Taifa hupimwa kwa kuzingatia uwezo wa nchi kulipa deni”

Dk Mpango alitoa takwimu za nchi za Afrika Mashariki za uhimilivu wa deni la taifa kwa nchi hizo akisema Tanzania bado iko vizuri na iko katika nafasi nzuri ya kukopesheka na wataendelea kukopa.

Alizitaja nchi hizo na uhimilivu wa deni lao kuwa ni Uganda ambayo ni asilimia 35.4, Rwanda asilimia 36.6, Burundi asilimia 43.4 na Kenya asilimia 50.4 akisema hali ni nzuri kulinganisha na nchi nyingine.

Alilinganisha nchi hizo na Zambia yenye uhimilivu wa asilimia 57.2, United Republic of Emirates asilimia 60.3, Marekani asilimia 73.8, Morocco asilimia 77 na Uingereza asilimia 92.2.

“Misri ni asilimia 92.6, Msumbiji asilimia100.3, Italia asilimia 132.5 na Ugiriki asilimia 181.6. Kwa takwimu hizi sisi bado tuna nafasi kubwa ya kukopa,”alisema Dk Mpango na kuongeza;

 “Tutaendelea kukopa kwa sababu moja tu kubwa. Kwamba ni kwa ajili ya ni kukuza uwezo wetu wa baadaye wa kumudu uendeshaji wa nchi yetu na kulinda uhuru na heshima ya nchi yetu,” alisema.

“Napenda nisisitize hakuna dhambi ya nchi kukopa ilimradi nchi husika itumie fedha hizo za mkopo kukuza uwezo wa kiuchumi na kuzalisha na kurejesha hiyo mikopo,”

“Kama Rais (John Magufuli) alivyosema alivyokuwa ziarani Kagera kwa kweli tutaendelea kukopa mpaka kieleweke ilimradi Deni la Taifa tuhakikishe linaendelea kuwa himilivu.”

Kuhusu benki za biashara nchini kuporomoka kwa kiasi kikubwa kwa mikopo binafsi, mikopo ya biashara na mikopo ya sekta za uzalishaji, alisema hilo limetokea nchi kadhaa.

“Katika miezi 12 iliyoishia Septemba 2017, wastani wa ongezeko la mikopo kwa sekta binafsi nchini Kenya ilikuwa asilimia 3.8, Tanzania asilimia 5.0, Uganda 5.2 na  Rwanda asilimia 10.3.

Dk Mpango alikuwa akijibu hoja za baadhi ya wabunge kuwa amekuwa na kiburi na hana ushirikiano wa wabunge na wakati mwingine hapokei simu za wabunge wanapomtafuta kumshauri.

Kuhusu ushiriki wa sekta binafsi, Dk Mpango alikiri kuwa ndio injini ya uchumi lakini akasema zipo changamoto kiuhalisia na kusema “akili za kuambiwa tuchanganye na za kwetu”

“Akili za kuambiwa mzee Kikwete alituambia lazima tuchanganye na za kwetu kabla ya kuamua kufikia hatua ya kuwa na sekta binafsi yenye nguvu,”

“Kweli natamani sana wawekezaji wa ndani na nje watatupunguzia huu mzigo. Sekta binafsi tuliyonayo bado inahitaji kulelewa ili iweze kubeba jukumu hili.”

Tatizo la Nguvu za Kiume na Chanzo cha Kuwa na Maumbile Madogo

$
0
0
Wataalam katika chuo kikuu cha tiba johns hopkins wanakili kuwa asilimia 75% ya wanaume duniani wamepatwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Tatizo hili linasababishwa na kushuka kwa TESTOSTERON kwenye damu ,kawaida testosteron kwenye damu inatakiwa iwe 400ng/d/hadi 900ng/d/.....chini ya 400ng/d/ mwanaume anapatwa na upungufu wa nguvu za kiume (erectile disfunctioning) kupungua maumbile ya kiume kwa kawaida anatakiwa kutumia dk 20_30 ndipo amalize na umbile lake liwe si chini ya nchi 7.5 .

Sababu zinazoweza kushusha testosterone homoni ya nguvu za kiume ni PUNYETO,SUKARI,BP,MAGONJWA YA FIGO,TUMBO LA CHANGO,ULEVI KUPITA KIASI,MAGONJWA YA ZINAA,U.T.I,KUTOKWA NYAMA SEHEMU ZA HAJA KUBWA,(BAWASIRI).

Wanawake pia wamekumbwa na upungufu wa hamu ya tendo la ndoa kutokana na kushuka kwa homoni estrogen, ambapo mwanamke hupatwa na kuumwa tumbo la chini ya kitovu ,maumivu anapoingiliwa,ukavu mwingi,hata kama ameandaliwa,kuyumba kwa hedhi.

Mtaalam mwingine ambaye ni mkurugenzi wa mradi wa EEP PROF RICHARD SHARP,Anabainisha vyanzo vingine vinavyoondoa mvuto wa mapenzi kuwa aina ya pepo INCUBUS wa kiume hummiliki mwanamke hadi kushindwa kutamani mapenzi na binadamu wa kawaida,mwanamke huota ndoto akifanya mapenzi na watu au wanyama,na mwanaume pia kukosa kuwatamani wanawake naye hujiwa na ndoto akifanya mapenzi nahuamka amelowa.

DR JIDONGEJA  MTAALAM WA TIBA ASILI ANAKUBALIANA NA TAFITI HIZI NA ANAKIRI KUWA WATU WENGI WENYE MATTIZO HAYA ANAWATIBU.

 PIA HUTOA TIBA ZA KISAIKOLOJIA ZA KUKUZA MVUTO KWA MTU KUPENDWA.ANAPATIKANA DAR ES SALAAM NA HUDUMA UNALETEWA POPOTE. SIMU NO 0758078280  AU 0713293988

Kutana na Mtaalamu wa Kusafisha Nyota........Anatoa Mvuto wa Biashara, Kupandishwa Cheo, Kurudishiwa Mali Uliyoibiwa na Mengne

$
0
0
Kutana na Mtaalamu wa Kusafisha Nyota........Anatoa Mvuto wa Biashara, Kupandishwa Cheo, Kurudishiwa Mali Uliyoibiwa na Mengne
 
Kutana Maajabu ya Mtabibu MAALIM MOHAMEDI MASUDI Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania
Pia anatoa Tiba kwa Njia ya Simu ukiwa popote Pale Tanzania au Nje ya Tanzania..
MAALIM MOHAMEDI MASUDI ni Mtabibu na Mtafiti wa Dawa za Asili ya Africa, na Duniani Katika utoaji wa Tiba za Asili..
 
Je unasumbulia na Mapenzi..?
(Umeachwa na Umpendae awe Mume/ Mke au mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine na Bado Unampenda?) Umejaribu sehemu Nyingi bila Mafanikio?Wasiliana na MAALIM MOHAMEDI MASUDI Akusaidie Kumshika Umpendae Asikusaliti(LIMBWATA) Kumtawala Mpenzi wako kwa sababu Maalum..Anauwezo wa Kusambalatisha Mahusiano yao ndani ya siku Moja tu.
Je Unasumbuliwa na Madeni?
Biashara yako Haina wateja?
Unatatizo la kutokushika Mimba na umehangaika sehemu nyingi bila mafanikio?
Wasiliana na MAALIM MOHAMEDI MASUDI Kwa Majibu ya Maswali yako..

Anasafisha NYOTA na Kutoa PETE za BAHATI kuendana na NYOTA yako. UTAJIRI USIO NA MASHARTI.(Magic Wallet_Pochi ya Maajabu Isio Isha Hela)
KUWA MAARUFU na KUJULIKANA
Kupandishwa CHEO na HESHIMA Mahala pa KAZI.
Utapewa Nguvu ya Kujilinda na MALI ZAKO zako na Mwili wako.. Huzuia Chuma Ulete katika Biashara.. Hurudisha MALI zilizo Potea au KUDHULUMIWA.

Mvuto wa Biashara na Mwili wako.
Hutibu kabisa Nguvu za Kiume na Kurefusha Uume kwa saizi Unayotaka.
Magonjwa Sugu(Miguu Kufa Ganzi, kisukari, Presha, Pumu nk.
Wasiliana nae kwa namba
0655516982
0688856265
0621898709(Whatsapp)

Je,una Upungufu Wa Nguvu Zakiume,kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa,kufika Kileleni Mapema Na Kushindwa Kurudia ????

$
0
0
Tatizo la kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya kiume husababishwa na mambo mengi kama,KISUKARI,NGIRI,CHANGO,TUMBO KUUNGURUMA,MAUMIVU YA KIUNO,UNENE KUPITA KIASI,KUJICHUA nk.

Upungufu wa nguvu za kiume husababisha tendo la ndoa kutofanyika kwa kujiami nakwa usahihi nahivyo husababisha ndoa, mahusiano mengi kuvunjika.

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI,
1 KUKOSA HAMU YA TENDOL LA NDOA 
2 UUME KISIMAMA KWA KULEGEA 
3 KUWAHI KUFIKA KILELENI 
4 KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA WAKATI 
5 KUCHOKA SANA BAADA YA ROUND YAKWANZA NAKUKINAI TENDO LA NDOA KABISA.

TUMIA 3 POWER KWA TATIZO LA UKOSEFU(UPUNGUFU)WA NGUVU ZA KIUME NAHAMU YA TENDO LA NDOA.FINA HUBORESHA MAUMBILE YA KIUME KWA KUNENEPESHA KWA SAIZI UIPENDAYO HAIJARISHI UMRI.

PIA KUNA DAWA ZA KURUDISHA MPENZI KWA MUDA MFUPI SANA NAZAKUPATA KAZI,KESI,KUDHULUMIWA,NK 

WASILIANA NA SHEIKH OMARY AKUTATULIE MATATIZO YAKO HATA KAMA UMEHANGAIKA SANA PASIPO MAFANIKIO 

Pia sheikh omary anatibu busha bila opresheni,kisukari,ngiri,presha vidonda vya tumbo,korodani kuvimba,na anatoa dagu za utajiri kwa wanaohitaji bila masharti yoyote magumu.ANAPATIKANA MBAGALA ZAKIEM,NAUTALETEWA POPOTE ULIPO.

 SIMU; NO 0767145357/0629034550.

Sweden Yaipatia Tanzania Msaada Wa Kibajeti Shilingi Bilioni 436

$
0
0
Dares Salaam, Novemba 14, 2017: Sweden imeipatia Tanzania Msaada wa jumla ya Fedha ya Sweden SEK. Bilioni 1.64 ambayo ni sawa na takribani Sh. bilioni 435.79 kwa ajili ya Msaada wa kibajeti na  kusaidia mpango wa elimu.

Makubaliano ya msaada huo yamesainiwa Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Mkuu wa Kitengo cha  Ushirikiano na Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania Bw. Ulf Kallsting.

Bw. James alisema kuwa imesainiwa Mikataba mitatu ya msaada huo ambayo ni; mkataba kwa ajili kusaidia Bajeti ya Serikali wa kiasi cha SEK milioni 600 ambazo ni sawa na Sh. bilioni 159.59 kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2017/18 hadi 2019/2020, ambapo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 watatoa takribani Sh. bilioni 53.20.

Alisema fedha hizo zitaelekezwa katika kuboresha uhalisia wa Bajeti ili kuweza kutimiza majukumu ya kisera, kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ya kikodi na yasiyo ya kodi na pia kusaidia Serikali kutoa huduma nzuri kwa wananchi kupitia taratibu za manunuzi.

Mkataba mwingine ni kwa ajili ya kusaidia Mpango wa Elimu kwa Matokeo (EPforR) wa kiasi cha Fedha ya Sweden SEK milioni 885 ambayo ni sawa na Sh. bilioni 235.40 kuanzia mwaka 2017/18 hadi 2020/2021.

“Lengo la msaada huu ni kusaidia Mpango wa Elimu kwa Matokeo ambapo tunapimwa namna ambavyo tumeweza kutimiza wajibu wetu tuliojiwekea katika bajeti. Baada ya ya Serikali kutimiza wajibu wake wa kupeleka fedha katika Sekta ya Elimu kwa wakati, wameamua kutupatia fedha hizo ambazo Serikali tunazipangia kazi kulingana na vipaumbele”, alieleza Bw. James.

Alieleza kuwa Mpango wa Elimu kwa Matokeo ulianza mwaka 2015/ 2016 na katika kipindi hicho yamepatikana maendeleo makubwa katika ujenzi wa miundombinu ya madarasa, vyoo, mabweni. Utekelezaji wake umefanywa katika shule 361 kwenye Halmashauri 129 nchini.

“Katika Mpango huo Vyuo 17 vya Walimu vimekarabatiwa ikiwa ni pamoja na kununua Kompyuta 260, Magodoro 6,730 na viti 1,976. Mpango huu unafanikiwa kutokana na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kuweka mkazo katika Sekta ya Elimu hivyo kupeleka fedha kwa wakati jambo linalosababisha washirika wa maendeleo wazidi kutuamini” alifafanua Bw. James.

Mkataba wa tatu ni Marekebisho ya Mkataba wa  Mpango wa Kusoma, Kuhesabu na Kuandika ambao una kiasi cha Dola za Marekani 94.8 zilizotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Global Partnership for Education (GEP) na kukabidhiwa kwa nchi ya Sweden ili iweze kuusimamia.

Akifafanua kuhusu Mkataba huo Bw. Doto James alisema kuwa Serikali ili saini Mkataba  huo na Sweden Mei, 2015 na muda wa utoaji wa fedha hizo ulikwisha Agosti, 2016 na kubakia kiasi cha Dola milioni 18.3 ambazo zitapatikana baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano na Maendeleo katika Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania Bw. Ulf Kallsting amesema kuwa nchi yake imedhamiria kuhakikisha inajenga uwezo na ujuzi  kwa watanzania kuanzia elimu ya Awali kwa kuwa  nchi yake inathamini sana elimu.

Bw. Kallsting alisema kuwa Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri na Sweden na  inatekeleza kwa ufanisi miradi mbalimbali hivyo  nchi yake itaendelea kuisaidia Tanzania katika maeneo mbalimbali ya Maendeleo ili kufanikisha mipango yake.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James ameishukuru Sweden kwa niaba ya Serikali kwa kuendelea kuisaidia Tanzania katika kutekeleza bajeti yake.


Imetolewa na;
Benny Mwaipaja
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Fedha na Mipango


Mhasibu TAKUKURU Anayemiliki Mali Nyingi Katoroka....... Atakayempata Kuzadiwa Milioni 10

$
0
0
Taasisi ya Kuzuia na  Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza donge nono la Sh10 milioni kwa yoyote atakayefanikisha kukamatwa kwa aliyekuwa mfanyakazi wake Godfrey Gugai.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Novemba 14, Naibu Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema Gugai anatuhumiwa kujipatia mali nyingi  kinyume cha Sheria ya  Utumishi wa Umma.

Amesema kwa nafasi ya Gugai ya  mhasibu wa taasisi hiyo ni vigumu kupata mali nyingi kiasi hicho.

"Awali tulipomhoji alitoa ushirikiano lakini tukiwa tunaendelea alitoweka na kwa taarifa tu amekuwa akitoka kwa magendo nje ya nchi, kwa yeyote atakayefanikisha kumpata tutamzawadia Sh10 milioni," amesema  Mbungo

Amesema baada ya kutoweka walikwenda mahakamani kuhusu mali zake na tayari kuna zuio la kutokufanya kitu chochote yaani visiuzwe au kuendelezwa.

Baadhi ya mali anazomiliki mtuhumiwa ni pamoja na nyumba ya ghorofa nne iliyopo Ununio; nyumba ya ghorofa tatu iliyopo Bunju; nyumba za kupangisha zilizopo Mbweni JKT zote zikiwa jijini Dar es Salaam.

Nyumba nyingine iko Majita, Musoma;  nyumba mbili zikiwa Kiseke na Nyegezi, Mwanza.

Zaidi ya nyumba hizo, anamiliki viwanja maeneo ya Bunju, Kigamboni, Mbuyuni-Temeke mkoani Dar es Salaam;  Bagamoyo, Kibaha mkoani Pwani;  huko Morogoro ana kiwanja huko Kihonda, Kiegea na Lukobe.

Viwanja vingine viko Kisasa, Itege na Kidachi mkoani  Dodoma;  vingine viko Nyegezi, Nyamanoro na Nyamagana mkoani Mwanza; ambapo ana viwanja vingine mikoa ya Musoma, Arusha, Tanga na kwengine.

"Kama atakuja na kutupa ushirikiano ikiwamo kuthibitisha uhalali wake basi tutamwachia mali yake lakini kwa nafasi yake kumiliki mali zote hizi zinatutia walakini," amesema

Naibu mkurugenzi huyo amewaonya watumishi wa umma kutokutumia vibaya madaraka yao waliyopewa kwani wakibainika hawatasita kuwachukulia hatua.

TRA Yaongeza Ufanisi Wa Ukusanyaji Kodi Ya Majengo

$
0
0
Dodoma, Novemba 14, 2017: Serikali imesema mapato yatokanayo na kodi ya majengo yanayokusanywa na Serikali yameongezeka baada ya jukumu hilo kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikilinganishwa na ilivyokuwa chini ya Halmashauri.

Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Bukoba Mhe. Wilfred Lwakatare (CHADEMA), aliyetaka kujua Serikali inazipa Halmashauri ushauri gani wa kitaalam wa hatua za kuchukua ili kuziba pengo la kibajeti.

Katika swali hilo Mhe. Lwakatare aliuliza kuwa Serikali haioni kuwa uamuzi wa kuipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kukusanya kodi hiyo ya majengo ni kuzidi kuipa mzigo mkubwa ambao hawatauweza.

Dkt. Kijaji alisema kuwa baada ya makusanyo yatokanayo na kodi za majengo kuanza kukusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA katika Halmashauri za Miji, Manispaa na Majiji 30, yalipanda hadi kufikia Sh. bilioni 34.09 mwaka wa fedha  2016/2017 ikilinganishwa na Sh. bilioni 28.28 zilizokuwa zimekusanywa na Serikali za Mitaa mwaka wa fedha 2015/2016.

“Makusanyo hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 20.6 ya makusanyo halisi yaliyopatikana kutoka Halmashauri husika kabla ya kodi hiyo kuhamishiwa TRA hali inayodhihirisha kuwa, TRA imefanya kazi nzuri katika kukusanya mapato ikilinganishwa na kiasi kilichokusanywa na Halmashauri hizo 30 katika mwaka wa fedha 2015/16.”. alisema Dkt. Kijaji.

“Katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/18 Julai hadi Septemba, TRA, ilipangiwa kukusanya kodi ya majengo ya kiasi cha Sh. Bil 11.9 na kufanikiwa kukusanya kiasi cha Sh. Bil. 13.2 ikiwa ni ufanisi wa asilimia 111”.  Aliongeza Dkt. Kijaji.

 “Hatua ya Serikali ya kukasimu jukumu la ukusanyaji wa kodi za majengo kwa TRA, haikulenga kuzinyang’anya Halmashauri vyanzo vya mapato bali ni kuimarisha ukusanyaji wake”. alisema Dkt. Kijaji.

Aliongeza kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha kunakuwepo ufanisi katika ukusanyaji na matumizi ya kodi zote zinazokusanywa ndani ya Serikali na kwamba Halmashauri zote zinapata mgao wa fedha kwa kuzingatia makisio ya bajeti zao na makusanyo ya mapato yote ya Serikali.

Aidha, Dkt. Kijaji alisema kuwa Serikali inatambua kuwa kodi ya majengo imekuwa ikichangia kwa sehemu kubwa mapato ya Halmashauri za Miji, Manispaa na Majiji katika kutekeleza mipango na utoaji wa huduma na maendeleo kwa wananchi.

Katika swali la nyongeza Mhe. Lwakatare alihoji kwa nini Serikali isichukue maoni yake ya baadhi ya majengo makubwa yatozwe kodi na TRA na yale madogo yatozwe kodi na Halmashauri kwa kuwa kumekuwa na changamoto kwa TRA katika ukusanyaji wa kodi hiyo na kuwatumia Maafisa Watendaji wa Kata katika kukusanya kodi hizo ambao wameajiriwa na Halmashauri.

Akijibu swali la nyongeza Dkt. Kijaji amesema kuwa Serikali na Bunge lilipitisha sheria ya fedha kwamba kodi ya majengo ikusanywe na TRA kwa lengo la kuimarisha ufanisi wake katika ukusanyaji na matumizi.

“Serikali itaendelea kusimamia sheria hiyo na kuhakikisha lengo la kuchukua kodi hiyo linafanikiwa na wananchi wanapata huduma stahiki”. aliongeza Dkt. Kijaji.

Imetolewa na:  
Benny Mwaipaja
Mkuu wa  Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Fedha na Mipango

Lawrence Masha ajivua uanachama Chadema

$
0
0
Aliyekuwa mwanachama CCM, ambaye baadaye alihamia Chadema, Lawrance Masha amejivua uanachama katika chama hicho akidai  upinzani wa sasa umeridhika na hali ya kuendelea  kuwa wakosoaji ili kukisaidia chama tawala kujirekebisha.

Pia amesema, “Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa upinzani wa sasa nchini hauna nia wala sababu ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali kupitia falsafa, sera na uongozi mbadala.”

Masha ameeleza hayo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliyoitoa leo Jumanne Novemba 14.

Masha ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Serikali ya awamu nne, amesema upinzani hauwezi kutegemea kushika dola kwa kutegemea madhaifu ya CCM badala uwezo wake kama mbadala.

Amesema  kazi kubwa ya chama chochote cha siasa ni kujiandaa na hatimaye kushinda uchaguzi ili uweze kuunda na kuendesha Serikali na dola kama njia ya maono yaliyo kwenye ilani ya uchaguzi kwa lengo la kuleta maendeleo na ustawi katika nchi.

“Nilijivua uanachama CCM mwaka 2015 na kujiunga Chadema nikiamini nitashiriki kukifanya chama hiki kikomae na kufikia hatua ya kuwa mbadala kifalsafa, kisera na uongozi. Hata hivyo uzoefu wangu wa miaka miwili ndani ya Chadema umenionyesha chama hiki kina safari ndefu kisiasa na kuwa chama mbadala cha kuunda Serikali.

“Mpaka sasa chama hiki kimendelee kujikita katika kukosoa na kuonyesha madhaifu ya Serikali hasa Rais John Magufuli binafsi. Natambua kwamba kukosoa ni kazi muhimu ya chama cha upinzani, kazi hii haikifanyi chama kuwa mbadala cha kuunda Serikali,”amesema Masha katika taarifa hiyo.

Masha ambaye aliwani kuwa Mbunge wa Nyamagama mwaka 2005-10, amesema siyo sahihi kwa vyama vya upinzani kuwekeza katika kumpinga Rais Magufuli ambaye ni mkuu wa nchi pekee anayetekeleza kwa vitendo mambo ambayo upinzani ilikuwa ikiyapigia kelele kwa miaka mingi, na kuwashinda viongozi wa CCM  waliomtangulia.

“Nimejivua uanachama kuanzia leo, nina imani uamuzi huu utanipa fursa ya kutafakari kwa kina safari yangu ya kisiasa ndani ya nchi hii. Nawashukuru viongozi wa Chadema kwa miaka miwili ya kufanya kazi pamoja nao nawatakiwa kila la kheri,” amesema Masha ambaye alikuwa ni miongoni mwa watu walioshirikia kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).


Hatimaye Polisi yamuachia ‘bilionea’ nyumba za Lugumi

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefikia uamuzi wa kumuachia  Dk Louis Shika ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kujidhamini yeye mwenyewe baada ya kukosa mtu yeyote aliyejitokeza kwenda kutaka kumwekea dhamana.

Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema “uchunguzi wa tuhuma dhidi yake unaendelea lakini mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyefika kutaka kumwekea dhamana, yaani anaishi kama mtu wa nyikani.”

Mambosasa ameongeza, “nimeagiza watendaji wangu wamwachie kwa dhamana yaani ajidhamini yeye mwenyewe na awe anakuja kuripoti,”

Dk Shika tangu siku hiyo amekuwa gumzo sehemu mbalimbali kutokana na kile alichokifanya siku ya mnada alipokuwa akipandisha bei dhidi ya washindani wake na moja ya kauli zake zinaendelea kutumika hadi sasa ni ‘Mia 900 itapendeza.’

Vifaru vya Jeshi Vyaonekana Vikiingia Jiji la Harare Zimbabwe Ikiwa ni Ni Siku Moja tu Baada ya Mkuu wa Majehi Kutoa Onyo

$
0
0
Hali ya sintofahamu imejitokeza katika jiji la Harare baada ya vifaru kuonekana vikielekea mjini ambako vilitumika kufunga barabara kubwa za kuingia na kutoka nje.

Aidha vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kwamba msafara mkubwa wa wanajeshi wenye silaha ulizingira kituo cha televisheni kinachomilikiwa na serikali ZBC. Kadhalika Shirika la Reuters limesema vifaru vinne vilionekana mitaani.

Baadhi ya watu walianza kusambaza picha za magari ya kijeshi kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi walisema (mapinduzi) lakini gazeti la Independent la Uingereza limeshindwa kuthibitisha ukweli wa picha hizo na msafara wa magari hayo ya kijeshi.

Hata hivyo, tukio hilo limekuja siku moja baada ya Mkuu wa Jeshi Jenerali Constantino Chiwenga kutishia kuingilia kati na akaagiza “kusitishwa” mara moja ufukuzaji wanachama kutoka chama cha Zanu PF cha Rais Robert Mugabe kufuatia kufutwa kazi kwa Makamu wa Rais Emmerson Mnangagwa.

Jenerali Chiwenga akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliohudhuriwa na walau makamanda 90 wa ngazi ya juu kwenye makao makuu ya jeshi, Jumatatu alisema: "Ufukuzaji huu unaolenga wanachama wa chama wenye uhusiano na harakati za ukombozi lazima ukome mara moja."

Ripoti zinasema kwamba jeshi limekuwa likimuunga mkono Mnangagwa kumrithi Mugabe, 93, lakini mke wa mzee huyo Grace ameibuka na kuwa mshindani mwenye nafasi kubwa.

Mnangagwa alifukuzwa serikalini na kwenye chama wiki iliyopita baada ya kushutumiwa kwamba alikuwa anapanga njama za kumwondoa mamlakani Mugabe. Mnangagwa amekimbilia uhamishoni.

Waziri wa Elimu ya Ufundi Jonathan Moyo amemkemea Jenerali Chiwenga lakini umoja wa vijana wa Zanu PF umesema “uko tayari kufa” ili kuitetea serikali ya Rais Robert Mugabe.

"Sisi kama vijana wa Zanu-PF ni simba aliyesimama imara na mwenye sauti, kwa hiyo hatutalemaa na kukunja mikono yetu wakati vitisho vikitolewa dhidi ya Mugabe," ilisema taarifa ya Katibu mkuu wa vijana wa  Zanu-PF Kudzai Chipanga.

Viongozi taasisi ya mikopo elimu ya juu ( TSSF) watiwa mbaroni

$
0
0
Viongozi wa  Taasisi ya Kusaidia Jamii ( TSSF) ambayo ilitangaza kuwa inatoa mikopo ya elimu ya juu wamekamatwa na polisi baada ya kugundulika kuwa ni matapeli.

Wakurugenzi hao wamekamatwa jana Jumatatu jioni mara tu baada ya mkutano wa waandishi wa habari na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha wa kuelezea kuhusu uchunguzi uliofanyika baada ya Mbunge wa Mafinga Mjini (CCM), Cosato Chumi kuomba mwongozo bungeni.

Chumi alitaka ufafanuzi kuhusu uhalali wa taasisi hiyo baada ya kutangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kulipa Sh 30 000 kama ada ya maombi ya kusajiliwa kuomba mkopo.

Hata hivyo, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema  Serikali haitambui taasisi hiyo na kuahidi kufanya uchunguzi.

Akizungumza leo Jumanne, Ole Nasha amesema baada ya uchunguzi huo wamebaini kuwa taasisi hiyo haina uwezo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi 50,000 ambao ilitangaza kutoa.

Amesema katika mahojiano na taasisi hiyo viongozi hao walisema kuwa fedha za kuwakopesha wanafunzi hao watazipata kutoka nje ya nchi baada ya kupeleka kiasi cha fedha.

Hata hivyo, amesema mkataba wa taasisi hiyo na wafadhili hao unaonyesha kuwa wamefikia makubaliano ya kufanya utafiti wa jinsi wanavyoweza kukusanya fedha na si kuwapa fedha kwa ajili ya kutoa mikopo.

Amesema tayari taasisi hiyo imekusanya fedha kwa wanafunzi 600 na imepeleka wanafunzi 198 katika vyuo mbalimbali nchini kwa makubaliano ada zao wangelipa Desemba mwaka huu.

Hata hivyo, amesema hakuna uthibitisho kama wana fedha kweli za kuwalipia wanafunzi hao ada ingawa wanadai kuwa katika akaunti zao za benki wana fedha kati ya Sh 600 milioni na 700 milioni.

Amesema kufuatia hilo wanaagiza vyombo vya dola kuchunguza jambo hilo na wakati wakifanya hivyo ni marufuku kwa vyuo kuwapokea wanafunzi wanaopewa mikopo na taasisi hiyo.

Pia ameagiza akaunti zao zote kufungiwa hadi hapo watakapomaliza uchunguzi sambamba na taasisi hiyo kutojihusisha na shughuli yoyote.

Baada ya kumaliza mkutano huo polisi kutoka makao makuu ya polisi waliingia ndani ya ukumbi wa mkutano na kuwaeleza wako chini ya ulinzi.

Polisi hao mmoja akiwa na sare na mwingine akiwa na nguo za kiraia waliwakamata na kuondoka nao.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Novemba 15

Dawa ya Asili ya Vidonda vya Tumbo, Pumu, Nguvu za Kiume, Korodani kuvimba

$
0
0
Super Muhi Mix Power:  Ni dawa ya nguvu za kiume kutoka Congo, inatibu na kuponesha kabisa tatizo la nguvu za kiume, itakufanya uweze kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka. Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 20- 25, huimaliha misuli iliyolegea na kusinyaa. Dawa hii imechanganywa na mizizi 11.

Sub 3Mix; Hii ni dawa ya mvuto wa mapenzi, huvuta mume, mke, mchumba na atatimiza ahadi zote alizokuahidi. Pia mkufu na pete ya bahati vipo.

Pata pia dawa ya pumu, ngiri, kisukari, kaswende, vidonda vya tumbo na korodani kuvimba

Mawasiliano: 0659874143

Serikali yawasilisha mswada wa kuifuta TTCL

$
0
0
Serikali iliwasilisha Muswada wa Sheria ambao unaiua rasmi Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na kuanzisha shirika jipya la mawasiliano Tanzania ambalo litamilikiwa na Serikali kwa asilimia 100.

Muswada huo, umewasilishwa bungeni  jana Jumanne na  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa huku wabunge wakipinga baadhi ya vifungu vya muswada huo.

Akiwasilisha muswada huo, Profesa Mbarawa alisema madhumuni yake ni kuanzisha shirika hilo kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi, kukuza uchumi na kutoa huduma kwa jamii.

Profesa Mbarawa alisema sheria hiyo mpya itaiwezesha TTCL kutekeleza majukumu yake kama shirika la umma la mawasiliano likijulikana kama Tanzania Telecommunication Corporation.

Amesema mambo muhimu ya kuzingatiwa katika muswada huo ni kuwa unakwenda kuifuta TTCL na kuanzisha shirika jipya.

Sheria hiyo ambayo itaumika Tanzania bara na Zanzibar, ilipendekeza muundo wake na mtendaji mkuu na wajumbe watano ambapo  upande wa Tanzania Zanzibar utakuwa na mjumbe mmoja.

Kwa mujibu wa sheria hiyo, inaelekeza kwamba ili mtu awe na sifa ya kuteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu ni lazima awe na uzoefu wa miaka nane katika ngazi ya juu ya utawala.

Hata hivyo wabunge waliungana kutaka Zanzibar iwe na wajumbe wawili badala ya mmoja katika bodi ya wakurugenzi na wakataka pia na uzoefu wa mtendaji mkuu uwe miaka mitano badala ya saba.

Mbali na suala la uwakilishi wa Zanzibar, lakini wabunge hao wa CCM na wale wa upinzani, waliungana pia kutaka waziri asiwe na madaraka makubwa ya kuingilia uendeshaji wa shirika hilo.

Wabunge karibu wote waliochangia pamoja kambi rasmi ya upinzani bungeni, wakapendekeza Zanzibar ipewe nafasi mbili kati ya tano badala ya moja, ili kuleta sura halisi ya muungano.

Hata hivyo, Naibu Spika Dk Tulia Ackson alitahadharisha mwelekeo wa mjadala huo akisema hilo si shirika la kwanza la muungano, hivyo wasije wakaanzisha utaratibu mpya kwenye mashirika.

Kauli ya Waziri wa Zamani wa Fedha Yaikera serikali

$
0
0
Serikali imemjia juu waziri wa zamani wa Fedha, Saada Mkuya kwa kutoa mapendekezo ya kutaka ajira kwa shirika la mawasiliano la simu kwa upande wa Zanzibar ziwe kwa Wazanzibar.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema alitegemea hoja ya aina hiyo ingezungumza na watu vijijini huko Pemba au vijiweni huko darajani Zanzibar na siyo Mkuya.

Profesa Mbarawa aligeuka mbogo jana Jumanne  jioni wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia Muswada wa Shirika la Mawasiliano wa 2017, uliowasilishwa na Profesa Mbarawa.

“Utaratibu wa ajira TTCL ni Mtanzania yeyote anafanya kazi TTCL. Tunachoangalia sisi muhimu ni uwezo wa mtu na sifa za mtu. Jambo alilolisema Saada Mkuya limenisikitisha sana,” alisema.

“Sikutegemea maneno hayo yangetoka kwa kiongozi kama Saada ambaye alikuwepo serikalini. Hasa kwa kiongozi ambaye ana uzoefu mkubwa,” alisema Profesa Mbarawa na kuongeza kuwa;

“Nilitegemea mawazo au maoni kama yale yazungumzwe na watu wa kijijini kule Pemba. Nilitegemea mawazo kama yale yazungumzwe na watu wa kijiweni pale Darajani,”

“Nilitegemea yeye kama kiongozi na sisi kama Tanzania katika kujenga umoja wetu tuseme kila Mtanzania afanye kazi mahali popote Tanzania,”

“Mheshimiwa Naibu Spika hivi tunavyoongea leo, Meneja wa TTCL Zanzibar ni Mzanzibar anaitwa Mohamed Mohamed. Meneja wa TTCL Pemba ni Mnzanzibar anaitwa Ngwali Hamis,”

“Naomba nimpe taarifa mheshimiwa Saada ambaye hazijui kiutendaji.  Mtendaji Mkuu wa TTCL mwaka 2010 hadi 2012 alikuwa Injinia Said Ameir ni Mzanzibar,”

“Sasa sikutegemea nasema ni kitu kimeniuma sana. Nilitegemea kama Mtanzania unatoka Lindi kama kuna fursa TTCL Zanzibar unaenda. Kama Mzanzibar ameona fursa Kibondo aende.”

“Hii ndio Tanzania tunayoitaka. Hii ndio Tanzania ambayo Watanzania kule nje wanaitaka. Nikienda zaidi TTCL tuna TTCL Pesa ina watendaji watano waandamizi. Watatu ni wanzanzibar”

Jitihada za Saada kutaka kumpa Profesa Mbarawa taarifa ziligonga mwamba baada ya Naibu Spika kumweleza kuwa kikanuni waziri akiwa amesimama kwa hatua ya jana, hakuna taarifa.

Picha: Bilionea Wa Nyumba za Lugumi Alivyopanda Daladala Baada ya Kujidhamini Polisi

$
0
0
'Bilionea' wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika  jana aliachiwa na kwenda kupanda daladala kuelekea nyumbani huku akisema mpango wake wa kununua nyumba za Lugumi uko palepale.

Baada ya kuachiwa na polisi jana Jumanne jioni alisema kwamba bado mpango wake wa kununua nyumba hizo uko palepale.

Alisema anachosubiri sasa ni fedha kuingizwa kwenye akaunti yake na kulipa asilimia 25 anayodaiwa.

"Siku nikipeleka fedha nataka Yono na TRA waite waandishi wa habari waone na wautangazie umma," alisema.

Alisema vyombo vya habari vimetoa taarifa zake lakini vitaumbuka siku akienda kupeleka fedha hizo.

Aliendelea kusisitiza kwamba nyumba hizo zinahitajiwa na kampuni yake ambayo hakuitaja.

Njiani wakati akielekea kwenye kituo cha daladala cha Mnazi Mmoja, Dk Shika alikuwa kivutio kwa watu aliokuwa akipishana nao.
Alipopanda daladala la Tabata Mawenzi, kondakta alimkaribisha kwa kumweleza karibu mzee Shika.

Kauli hiyo iliwaamsha abiria ambao walikuwa na hamu ya kumwona.

Dk Shika alipanda daladala na kusimama huku akionyesha tabasamu lisiloisha.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene, Kuongeza Maumbile ya Kiume na Kuondoa Chunusi

$
0
0
BAADA YA UTAFITI TULIOFANYA NATURAL BEAUTY TUMEGUNDUA KUWA  WANAUME WENGI DUNIANI HUSUMBULIWA NA MATATIZO KAMA👇👇
☆Kukosa hamu ya tendo.
☆Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo.
☆Maumbile madogo ya uume.
☆Kuchoka sana wakati wa tendo na uume kusinyaa  nk.
       PATA BIDHAA HIZI KWA PUNGUZO LA BEI
      @natural2162 tumeandaa tiba bora kabisa kama ifuatavyo:-
1.HANDSOME UP OG_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @220,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @140,000/=
3VigRX  CREAM_ Inaongeza uume inch 6.5 hadi 8 (wiki 2-3) @180,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @140,000/=
5.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @140,000/=
     PIA KWA WANAWAKE WANAOPENDA KUWA NA MUONEKANO MZURI ZIPO ZA👇👇👇
☆Kuongeza hips, makalio na mapaja @180,000/=
☆Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @130,000/=
☆Kuwa mweupe bila sugu kwa mafuta÷ @140,000/=
÷ Vidonge maalum @150,000/=
☆Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
☆Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @130,000/=
*Kubana uke na kuzuia uchafu ukeni @130,000/=
*Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
     BIDHAA HIZI NI ZA MIMEA NA MATUNDA NA ZIMEPIMWA KTK MAMLAKA NA KUPATA KIBALI HIVYO NI SALAMA KWA 100%

    Wasiliana nasi Popote
  ulipo duniani kwa (+255)
           0659618585 na
           0759029968
        UTAPATA HUDUMA
    NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
        Follow us
WEBSITE:- www.naturalworldbeauty.og
INSTAGRAM PAGE:-
@natural2162
@natural2162
@natural2162

         < WELCOME ALL>

Breaking News: Mume wa Irene Uwoya Afariki Dunia

$
0
0
Aliyekuwa  mume wa muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana (39) kutoka nchini Rwanda amefariki usiku wa kuamkia leo, chanzo cha kifo chake kikisemekana ni matatizo ya moyo ambapo jana alikuwa akiendelea na kazi zake kama kawaida.

Mpaka anakutwa na umauti alikuwa akicheza katika timu ya APOP Kinyras Peyias FC ya  Cyprus.  Alizaliwa Oktoba 5, 1978 na mpaka anafariki dunia alikuwa ametengana na Uwoya kwa mingi na alikuwa ndiye mkewe waliyefunga naye ndoa katika Kanisa Katoliki na walibahatika kupata mtoto mmoja  ambaye jina lake ni Krish.

Jeshi la Zimbabwe: Tunawalenga Wahalifu Si Mugabe

$
0
0
Jeshi  la Zimbabwe limesoma taarifa kwenye kituo cha runinga cha serikali ZBC, likisema kuwa linachukua hatua ya kuwalenga wahalifu nchini humo.  Hata hivyo, limesema kuwa hayo si mapinduzi ya kijeshi na Rais Mugabe yuko salama.

Milio mikubwa ya risasi ilisikika katika maeneo ya kaskazini mwa mji mkuu Harare mapema jana.  Taarifa hiyo ya jeshi ilikuja saa kadhaa baada ya jeshi kudhibiti kituo cha utangazaji cha  ZBC. Grace Mugabe anaonekana kukaribia kukirithi kiti cha mumewe

Mwanamume mmoja ambaye alikuwa amevaa sare za jeshi alisema kuwa jeshi linataka kukabiliana na watu ambao wanatenda uhalifu unaoleta madhara ya kijamii na kiuchumi nchini Zimbabwe.

“Wakati tutakapomalizia wajibu wetu, tunatarajia kuwa hali itarudi kuwa kama kawaida.”

Taarifa hiyo ilisema kuwa Mugabe,  93, na familia yake wako salama.  Haijulikani ni nani anaongoza hatua hiyo ya kijeshi.  Magari ya wanajeshi waliojihami kwa silaha yalionekana maeneo ya mjini Harare.

Hali hiyo ya wasiwasi wa lolote kuweza kutokea, ilianza  jana jioni, ambapo wanajeshi wakiwa na silaha walionekana wakijipanga katika maeneo kadhaa  na kuzingira ofisi za shirika la utangazaji la Zimbabwe (ZBC).

Hata hivyo, taarifa zinasema kuwa wafanyakazi wa shirika hilo la utangazaji la ZBC, waliambiwa na wanajeshi hao kwamba hawapaswi kuwa na wasiwasi na kwamba uwepo wa vikosi hivyo ni kwa lengo la kulinda eneo hilo.

Chama tawala nchini Zimbabwe kimemtuhumu mkuu wa majeshi Constantino Chiwenga, kwa hatua yake ya madai kuwa jeshi lipo tayari kuingilia mzozo huo wa kisiasa kwa lengo la kulinda wapigania uhuru wa taifa hilo.

Hakuna kauli yoyote iliyotolewa na Rais Robert Mugabe kutokana na hali ya sasa nchini mwake.

Marekani imesema kuwa inafuatilia kwa karibu hali ya Zimbabwe na kutoa rai pande zote kutatua mzozo huo kwa njia ya amani.

Naye Balozi wa Marekani nchini Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Tiwtter amesema kuwa leo watasitisha shughuli za kiofisi ubalozini hapo kutokana na hali ya sasa mjini Harare.

Balozi wa Zimbabwe nchini Afrika Kusini, Isack Moyo, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa serikali ipo imara katika jambo hilo na kuzuia uwezekano wowote wa kufanyika kwa mapinduzi.

CCM Wampuuza Lowassa.....Wawataka Wananchi Wasidanganyike na Ahadi

$
0
0

Wakazi wa Kata ya Moita wameombwa kumchagua mgombea wa CCM ili wapate maendeleo na kuachana na ahadi alizowapa, Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu, Chadema, Edward Lowassa.

Lowassa aliyewahi kuwa mbunge wa Monduli ndiye aliyezindua kampeni za udiwani za Chadema katika kata hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita na kuwaahidi wananchi kuwa hatawasahau na ataendelea kushirikiana nao, kwani aliwaacha wakiwa tayari wana umeme, maji na shule mbili za kata.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Shaban Mdoe akizungumza katika kampeni eneo la Moita Bwawani, alisema wananchi wasidanganyike.

Mdoe alisema kwamba wakimchagua mgombea wa CCM, Prosper Meyani kero zao zitapatiwa ufumbuzi, ikiwamo kero ya maji na barabara.

“Msidanganywe na Chadema, hawawezi kutatua kero zenu, alikuwepo diwani wao, hadi amejiuzulu, mbunge wa zamani Lowassa hivi sasa hawezi tena kuwasaidia,” alisema.

Awali, aliyekuwa diwani wa kata hiyo na kujiuzulu, Edward Sapunyo alisema aliamua kujiuzulu baada ya kunyimwa ushirikiano na madiwani wa Chadema.

Alisema kila mradi ambao alikuwa anaomba katika kata hiyo alinyimwa na hivyo akaona hana sababu ya kubaki bali arejee CCM.

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Sapunyo ambaye alikuwa mwenyekiti wa halmashauri ya Monduli kupitia CCM, alisema chaguo sahihi katika kata hiyo ni mgombea wa CCM.

Halmashauri ya Monduli hadi sasa inaongozwa na Chadema kutokana na kuwa na madiwani 18 na CCM madiwani tisa.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images