Tanzania imetajwa kuwa na elimu ya kiwango cha chini kulinganisha na
nchi nyingine kwenye Jumuiya ya Afrika mashariki kutokana na kutenga
masaa 5:27 pekee ya kufundisha wanafunzi wake ambayo nayo hayatumiki
ipasavyo kutokana na asilimia 50 ya walimu kutoingia madarasani.
Miongoni mwa masaa yanayotumika kufundisha wanafunzi hao ni robo ya
masaa yaliyotengwa na hivyo kutishia nguvu kazi
Tanzania yatajwa kuwa na elimu ya kiwango cha chini zaidi ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika mashariki
↧
↧
Picha za kikongwe anayedhaniwa kuwa mchawi alivyokamatwa chumbani kwa mtu akiwa uchi wa mnyama
Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe
mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku
akiwa mtupu chumbani kwa mtu.
Mpaka
sasa bado haijajulikana kama ni Kigarura au pengine alipata matamani ya
mwili akaona pengine chumba kile kingemfaa kumpatia msaada wa mambo
yake.
Bibi
Kizee huyo anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 70,ambapo
↧
Sad News: Askari watano wa jeshi la polisi mkoani Dodoma wafariki dunia papo hapo baada ya kugongana na basi la Mohamed Trans ltd
Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP), Ernest Mangu
**
Askari watano wa jeshi la polisi mkoani Dodoma wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Mohammed Trans limited katika eneo la Mtumba Dodoma mjini usiku wa kuamkia leo
Ajali hiyo mbaya imetokea majira ya saa sita usiku wa
↧
Baba amuua mtoto kwa kumpiga na chupa ya bia kichwani baada ya zoezi la kumbaka shemeji yake kushindikana
Baba aliyetajwa jina moja la Shaban (25),
mkazi wa Kimara-Suka, Dar anadaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto wake
asiye na hatia, Salma Shaban (miezi sita) kwa kumpiga na chupa ya bia
kichwani na kusababisha mshipa mkubwa wa damu kukatika kichwani.
Akilisimulia Risasi Jumamosi mkasa huo wa
kuumiza moyo, mama mzazi wa mtoto huyo, Matlida Amon alieleza kuwa tukio
hilo lilijiri maeneo
↧
Dr. Nchimbi arudi Songea na kupokelewa kwa shangwe na wananchi... aomba ushirikiano ili CCM iendelee kuibuka na ushindi kwenye chaguzi kama ilivyozoeleka
MBUNGE wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (CCM), amewataka
madiwani na wananchi wa jimbo hilo kumpa ushirikiano wa dhati ili
akamilishe ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
uliopita.
Wito huo aliutoa jana wakati akizungumza na wananchi mbalimbali
waliokwenda kumpokea uwanja wa ndege, nje ya ofisi za CCM za mkoa wa
Ruvuma na kusema hivi sasa atafanya kazi kwa
↧
↧
Undani wa ajali ya gari iliyoua Askari Polisi watano papo hapo mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
****
Askari
polisi watano mkoani Dodoma wamefariki dunia papohapo katika ajali ya
gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya
Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya
Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla
lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC
↧
Watanzania 100 wahukumiwa kunyongwa nchini China
ZAIDI ya Watanzania 100 waliopatikana na hatia ya kuingiza dawa za
kulevya nchini China, wamehukumiwa kunyongwa. Habari za kuaminika
zilizolifikia gazeti hili zimesema, idadi hiyo ya Watanzania waliofungwa
katika magereza mbalimbali nchini humo, wanaendelea kusubiri adhabu
hiyo.
Taarifa zaidi zinaeleza, adhabu hiyo haijatekelezwa, kwa
kile kilichodaiwa kuwapo kwa mazungumzo, kuona
↧
Rais Kikwete kuhutubia taifa kesho kutoka jijini Mbeya
Rais Jakaya Kikwete, kesho atahutubia taifa akiwa mkoani Mbeya. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana Dar es Salaam ilisema Rais hatatoa
hotuba ya mwisho wa mwezi, badala yake atahutubia taifa kesho kutoka
mjini Mbeya ambako atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu iliyoanza
jana.
Pamoja na mambo mengine atashiriki kwenye maadhimisho ya miaka 37 ya CCM.
<!-- adsense -->
↧
CHADEMA wafanya fujo msibani, Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya
Polisi
mjini Musoma wametumia mabomu ya machozi kudhibiti ghasia zilizoibuka,
baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na mbunge wa zamani wa Musoma
Mjini, Vedastus Mathayo.
Walifanya fujo juzi jioni baada ya mjumbe huyo wa Halmashauri Kuu ya CCM
(NEC) kudaiwa kuingilia safari ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad
Slaa ya kwenda kwenye msiba wa Sheikh wa Mkoa wa Mara Athumani
↧
↧
Jokate amfanyia "suprise" Wema Sepetu wakati akikata mauno jukwaani
Jokate na Wema historia
yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo
Mshindi alikua ni Wema Sepetu akifatiwa na Jokate kisha mshindi wa tatu
akiwa Lissa Jensen.
Vichwa vya habari vilikuja kutengenezwa tena vikiwahusisha warembo hawa kuonekana wako na
mtu mmoja ambapo magazeti na mitandao mingi iliandika mahusiano haya yaliyokua
yakimhusu Diamond
↧
Wilfred Lwakatare amponda Mwigulu Nchemba .....Adai kuwa kitendo cha Mwigulu kuipinga CHADEMA kutumia helkopta ni ishara ya wazi kuwa si mtalaam wa uchumi
Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, amemwelezea
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kuwa mmoja wa watu
wasiojua mahesabu kutokana na kauli yake kwamba chama hicho kinatumia
fedha za ufisadi kuruka anga kwa anga.
Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, hivi
karibuni alikaririwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini, akiziponda
ziara za Chadema kuwa
↧
Wasaliti na wakaidi sasa basi...CCM nayo yatangaza kunyoosha makucha yake kwa wasaliti wote ndani ya chama hicho
Chama Cha Mapiduzi (CCM), kimetishia
kuwatimua mara moja, wanachama wasaliti na wasiokubali kushindwa wakati
wa kura za maoni za kuwania kuteuliwa ili kugombea urais, ubunge na
udiwani.
Tishio hilo lilitolewa jana na Katibu Mkuu wa
chama hicho, Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Kata
ya Nsalaga jijini Mbeya.
↧
Taarifa maalumu kwa wanaotaka kufanya mtihani wa kidato cha nne na maarifa 2014
Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote
wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT)
mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha
usajili kilichoanza rasmi tarehe 1 Januari, 2014 kwa ada ya Shilingi
50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT
kitaishia tarehe 28 Februari, 2014.
↧
↧
Picha za Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Kikwete alipowasili jijini Mbeya jana jioni kwa ajili ya maadhiisho ya miaka 37 ya CCM leo
Mwenyekiti
wa chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa
chama,Serikali,na viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani)
waliofika kumpokea mara baada kuwasili jana jioni kwenye
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe tayari kwa kuongoza maadhimisho
ya sherehe za miaka 37 ya chama hicho yanayofanyika kwenye uwanja wa
kumbukumbu wa Sokoine mjini humo.
↧
Picha za mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipoongoza matembezi ya mshikamano wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM jijini Mbeya leo
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono
baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya
mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani
iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo
asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka
37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
↧
Ufungaji wa viti kwa ajili ya matumizi ya bunge la katiba wakamilika.... Hizi ni baadhi ya picha
Mhe
Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya
ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah
wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa ufungaji
viti.Vito hivyo ni mahsusi kwa matumizi ya Bunge la Katiba.
Viti vipya tayari kwa matumizi ya Bunge Maalum la Katiba.
Dr
David Zachariah wa Computer Consult
↧
CCM yavuana wasanii kibao walioamua kujiunga na chama hicho jijini Mbeya wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya chama hicho
Chama cha mapinduzi CCM leo kimevuna makumi ya wasanii wa Bongo movie na Bongo Fleva ambao leo wameamua kuvunja ukimya wao na kujiunga na siasa rasmi..
Wasanii hao wamejiunga na CCM leo jijini Mbeya wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya chama hicho zilizofanyika kitaifa jijini Mbeya chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya
↧
↧
Rais Kikwete avunja ukimya kuhusu Mawaziri Mizigo....Ampongeza Kinana kwa utendaji uliotukuka.
NA BASHIR NKOROMO, MBEYA
MWENYEKITI
wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri
waliotuhumiwa na wananchi kuwa mizigo wakati wa ziara za Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti katika
mikoa kadhaa nchini mwishoni mwa mwaka jana.
"Najua
wapo baadhi ya watanzania, walitaka
Mawaziri waliotajwa kuwa ni mizigo
↧
CCM yashinda ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la KiembeSamaki ambalo awali lilikuwa likiongozwa na Mansour Yussuf Himid
Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe.
Mahmuod Thabit Kombo, akizungumza na Waandishi wa habari na kutoa
shukrani kwa wapiga kura wake na WanaCCM waliomuunga mkono katika
safari ya Kampeni na kuahidi kutimiza ahadi zote alizoahidi kwa Wananchi
wa Jimbo la Kiembesamaki na kuondoa kero zote na kuwaletea maendeleo
katika jimbo lao.
Mgombea wa Chama cha SAU
↧
Askari watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Dodoma waagwa leo kwa uchungu tayari kwa mazishi
Askari
Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na
basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi.
Akiongea
kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME
amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari
hao.
Pia
amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo
vya moto na
↧
More Pages to Explore .....