Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Watu 29 wahukumia kifungo cha miaka 3 jela kutokana na vurugu za nani anaruhusiwa kuchinja zilizotokea mwaka jana

$
0
0
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, imewahukumu watu 29 kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja ama kulipa faini ya Sh400,000 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuandamana bila kibali na kuvunja nyumba za ibada wakati wa vurugu za kugombea kuchinja katika Mji wa Tunduma wilayani Momba mwaka jana.    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Rahimu Mushi akisoma hukumu hiyo alisema

Binti mmoja mkazi wa mabibo anusurika kuuawa baada ya kuiba simu na kuificha sehemu zake za siri

$
0
0
MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na kuificha sehemu zake za siri. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo maeneo ya

Absalom Kibanda,Theophil Makunga na Samson Mwigamba washinda kesi ya uchochezi iliyokuwa ikiwakabili

$
0
0
Absalom Kibanda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam  imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye sasa

Ikulu yavunja ukimya kuhusu 'mawaziri mizigo'....Yasema kuendeleza mjadala huo ni kupoteza muda, kwani mwenye mamlaka ya kuteua mawaziri ni Rais Kikwete pekee

$
0
0
Ikulu imetaka kufungwa kwa mjadala wa kuhusu kurudishwa kwa mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye Baraza la Mawaziri na badala imetaka waachwe wafanye kazi.    Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alisema kuendeleza mjadala huo ni kupoteza muda, kwani Rais Jakaya Kikwete alishamaliza kazi yake.   Rweyemamu alisema Rais ndiye mwenye

Kauli ya Kaimu Kamanda Polisi Temeke kuhusu moto ulioteketeza mali kadhaa ndani ya ghorofa ya nne katika Jengo la GMC Heights hapo jana

$
0
0
Moto ulizuka jana katika ghorofa ya nne katika Jengo la GMC Heights lililopo Barabara ya Nyerere umeteketeza vitu vyote vilivyokuwamo katika chumba ambacho kinatumika kama stoo ya kuhifadhi santuri (CD) za muziki na stika zake.    Moto huo ambao chanzo chake hakijafahamika ulizuka saa 7:45 mchana katika jengo hilo ambalo lina ghorofa saba na kuzua mtafaruku mkubwa kwa majirani na watu

Mwigulu Nchemba awataka watanzania kutozubaishwa na helikopta ya CHADEMA na badala yake wazingatie sera za mgombea kama zinakidhi matakwa yao

$
0
0
Chama cha mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kinashangazwa na kitendo cha chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)kutumia Helikpota kwenye chaguzi zake huku kikidai kuwa ni mkombozi wa wananchi jambo ambalo ni kujitafutia sifa na umaarufu pekee  kwa wananchi.     Hayo yameelezwa na Naibu Katibu mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba wakati akifungua rasmi

Helikopta ya CHADEMA yapotea...Viongozi wake wahaha,baadhi yao waituhumu CCM kuhusika na upotevu huo.

$
0
0
HELIKOPTA ya Chadema maarufu kama Chopa, juzi ilipotea angani na kusababisha viongozi wa chama hicho kushindwa kufanya mkutano katika Kijiji cha Mpwayungu wilayani Chamwino, kama ilivyokuwa imepangwa kwenye ratiba. Kwa mujibu wa ratiba iliyokuwa imepangwa, viongozi wa kitaifa ambao ni Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (BAVICHA), walikuwa

Wavaa milegezo na vimini sasa kuanza kuchapwa viboko nchini Tanzania

$
0
0
MKUTANO Mkuu wa Kijiji cha Olgilai wilayani Arumeru umeazimia kuwachapa viboko vijana wa kiume wanaovaa suruali chini ya makalio pamoja na wanawake wanaovaa sketi fupi na suruali zinazobana. Azimio hilo pia limeelekezwa kwa wanafunzi wanaopata mimba au kuozeshwa na kuacha masomo bila sababu za msingi. Mkutano huo umepitisha maazimio saba yanayolenga kurejesha nidhamu na heshima

Kila raia wa Tanzania anadaiwa sh. 600,000/- ambayo ni sehemu ya deni la taifa la trilioni 27.04...Waziri asema nchi bado inakopesheka.

$
0
0
Kila Mtanzania bila kujali kama ni mtoto, mzee au mfanyakazi anadaiwa Sh. 600,000 miongoni mwa watu milioni 45 raia wote wa Tanzania. Hali hiyo inatokana na kuongezeka kwa deni la Taifa kufikia Dola za Marekani bilioni 17.10 (Sh. trilioni 27.04 hadi kufikia Desemba mwaka jana. Kwa mtumishi wa serikali anayelipwa kima cha chini cha Sh. 150,000 kwa mwezi atatakiwa kulipa deni kwa

Kamati ya PAC yafanya akaguzi wa vitabu vya chenji ya Rada jijini Dar

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, (CHADEMA), Zitto Kabwe, akiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam Jumatano Januari 29, 2014, akikagua vitabu vya ziada.  Kamati ya bunge ya PAC, ilifanya ziara ya kushtukiza shuleni hapo ili kubaini kama vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada

Wabunge wapinga kiingereza shuleni kwa madai kuwa lugha hiyo humfanya mwanafunzi akariri badala ya kuelewa

$
0
0
MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu.  Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za

Mpasuko waanza kuinyemelea CCM...Mwanzilishi wa CCJ ayaanika majina 37 ya viongozi wa chama hicho ambao ni Mamluki. Yumo Nape Nnauye na Paul Makonda

$
0
0
SIKU moja baada ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kutoa tamko la kumtaka aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuacha kukigawa chama kwa madai kuwa hana sifa kuwa rais, mambo mazito yamezidi kuibuka huku ikitolewa orodha ya wanachama wa CCM wakiwemo mawaziri, wabunge na makada maarufu wanaodaiwa kukisaliti chama hicho.   Hatua hiyo imeenda sambamba na kumtaka Katibu wa Umoja wa Vijana

John Samwel Malecela naye amlipua Lowassa.... Aitaka Sekretarieti ya CCM imshughulikie haraka

$
0
0
MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Taifa, John Samwel Malecela, ameitaka Sekretarieti ya chama hicho kuchukua hatua za haraka dhidi ya wanachama wanaoharibu misingi ya chama hicho kwa kutumia fedha zao hadharani kwa lengo la kutafuta umaarufu na ushawishi kwa vijana katika harakati za kugombea urais mwaka 2015.   Ushauri huo ulitolewa jana na Malecela wakati akizungumza na waandishi wa habari

Rais Kikwete asikitishwa....Ni kutokana na gazeti la Rwanda kumchafua kwa kumtuhumu kuvisaidia vikundi vya waasi nchini humo.

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete, amesikitishwa na chokochoko zinazoendeshwa na gazeti la Serikali ya Rwanda, The News of Rwanda, likimtuhumu kusaidia vikundi vya waasi nchini humo. Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Francis Mwaipaja, ameeleza hayo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari juzi, kufafanua tuhuma zilizoandikwa na gazeti hilo.   “Rais Kikwete amesikitishwa kwa uongo huu na ametoa

Babu afumaniwa na mwanafunzi gesti wakifanya yao bila aibu.

$
0
0
Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa kwa jina moja la mzee Omari.Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari jijini Dar (jina la denti na shule vinahifadhiwa kimaadili).  Tukio hilo la aibu lilijiri juzikati kwenye gesti moja iliyopo maeneo ya Kawe, Dar na kusababisha timbwili zito. Chanzo  cha  mzee  huyo  kufumaniwa 

Polisi na wananchi wa Karatu wapambana kwa mawe baada ya watoto wawili kugongwa na gari

$
0
0
Mamia ya wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bashay kilichoko wilayani Karatu  wamepambana na polisi kwa kuwarushia mawe kwa kile walichodai kuishinikiza Serikali kuweka matuta katika Barabara ya Karatu hadi Ngorongoro.   Tukio hilo lililotokea saa 4 asubuhi baada ya watoto wawili Priska John(5) na Happiness Filbert (5) walipogongwa na gari wakati wakivuka barabara ambapo mmoja

Mabasi yaendayo kasi yaonekana yakifanyiwa majaribio jijini Dar....Tatizo la usafiri kubaki historia tu

$
0
0
Moja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam.<!-- adsense -->

Freeman Mbowe na wabunge wake wawili watupwa Rumande huko Iringa

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe na wabunge wawili wa chama hicho Mh. Halima Mdee na Peter Msigwa wameshikiliwa na na Jeshi la polisi mkoani Iringa kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wao wa jana.   Mbowe ambaye anaendelea na mikutano ya kuimarisha Chama hicho katika mikoa mbliambali nchini, walitakiwa kufanya mkutano mpaka saa 12

UVCCM mkoa wa morogoro wamcharukia mzee Malecela....Wakumbushia kauli ya Mwl Nyerere aliposema " kama Mzee Malecela atagombea Urais, ntarudisha kadi ya CCM"

$
0
0
  Ni jambo la kushangaza sana kumuona Mzee Mashuhuri na nguli wa Chama cha Mapinduzi Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu kumuunga mkono kijana aliyekiuka katiba ya Chama cha Mapinduzi na kanuni za Umoja wa Vijana Paul Makonda kutokana na kauli yake ya kuudanganya Umma kuwa tamko alilolitoa la kumkashifu Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa NEC ndugu Edward Lowassa kuwa ni la

Ajali mbaya ya gari yatokea mchana huu maeneo ya Mikocheni jijini Dar

$
0
0
Gari ndogo aina ya Toyota Corolla lenye nambari za Usajili T 379 AGL,likiwa ndani ya Mtaro mara baada ya kupoteza mwelekeo likiwa kwenye Mwendo mkali. Tukio hilo limetokea mchana huu katika Barabara ya Migombani kama unaelekea Makao Makuu ya Kampuni ya simu za Mikononi ya Zantel. Ndani ya Gari hii kulikuwa na watu watatu ambao majina yao hayakuweza kufahamika kwa haraka kutokana
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images