Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lady Jaydee aomba talaka yake, Gadner ashtuka, asimulia kisa kizima

$
0
0
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka.. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia

"Nikifa leo au kesho, ninaomba niagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar ili kila mtu aweze kupata nafasi ya kuniaga"...Wema Sepetu

$
0
0
Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar..   Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni ya Wema ya Endless Fame Production aliyetajwa kwa jina

"Sina mpango wa kuacha kutembea na waume za watu kwa kuwa dini yangu inaniruhusu"

$
0
0
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. Akiongea  na  mwandishi  wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini

Rais Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM mwaka 2015 kwa kuwakemea walioanza kampeni mapema.....Mangula asema kamati ya maadili itamhoji Lowassa

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema.    Kadhalika, ameziagiza Kamati za Maadili na Usalama za chama hicho kuwachukulia hatua stahiki viongozi na wanachama wake wanaomwaga fedha ili kupata uongozi.   Rais Kikwete alizungumzia

Mchungaji Christopher Mtikila anusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa na mzozo wa ardhi eneo la Kurasini

$
0
0
Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya Temeke,  baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa na mzozo wa ardhi eneo la Kurasini, jijini Dar es Salaam.    Mchungaji Mtikila alikumbwa na mkasa huo Ijumaa wiki iliyopita baada ya kufika katika

Watu 379 waambukizwa Virusi Vya Ukimwi mkoani Iringa kati ya mwezi wa 10 na wa 12

$
0
0
Mstahiki meya wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akifungua kikao kwa maombi katika baraza la madiwani lilofanyika mwishoni mwa wiki kushoto ni naibu meya Gervas Ndaki na kulia  Mkurugen Theresia  Mahongo kikao kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa. (picha na Denis Mlowe) Juu na chini ni Madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakiwa katika

"Rais hataidhinisha mamilioni ya wabunge ( ongezeko la kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh 43 milioni hadi Sh160 milion) "....Ikulu

$
0
0
Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni.    Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alisema jana kuwa Rais Kikwete hajapokea maombi hayo huku akipinga maelezo kuwa Serikali ilishayakubali.   Gazeti la The Citizen wiki iliyopita, lilimkariri Waziri wa Fedha,

Club ya usiku ya nyimbo za Injili yafunguliwa maeneo ya Mbezi Tangibovu jijini Dar.....Ukiwa nusu uchi, ukilewa hamtaruhusiwa kuingia

$
0
0
   Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao. Tofauti na maeneo mengine ya starehe, klabu za usiku huwa na kumbi za muziki zenye taa za kumweka za rangi mbalimbali huku giza likitawala. Wakati huo huo muziku hupigwa kwa sauti ya juu. Mbali na muziki, klabu hizo husheheni vileo vya kila aina

Mvua kubwa yenye upepo yaharibu nyumba zaidi ya 10 Ilolo jijini mbeya

$
0
0
Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake     Kanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndani Hakika inasikitisha watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa ilionyesha jijini Mbeya  wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani  

Kipigo chatokea kati ya CCM na CHADEMA wilayani Njombe

$
0
0
KIKOSI cha ulinzi cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Njombe, mkoani Iringa kimewashushia kipigo wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumvunja taya mwanachama, Ally Kalonga. Licha ya kushusha kipigo hicho, Mkuu wa Polisi wilayani Njombe, Lucy Mwakafirwa, amelaumiwa kuwakumbatia watuhumiwa makada wa CCM, huku akiwasweka ndani wanachama wa CHADEMA.

LOWASSA ni tishio ndani ya CCM

$
0
0
PATASHIKA nguo kuchanika ni kauli ya kibabe inayoweza kutumika kuelezea sakata la siasa za makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  linaloshika kasi huku baadhi ya wanachama wakitupiana lawama kwa kuunga mkono upande fulani kuelekea mbio za urais hapo mwakani.     Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, waziri mkuu

Waziri Nyalandu Asema; Tutawalipa askari kabla ya operesheni ya pili

$
0
0
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema askari 2,000 waliounda kikosi maalumu cha Operesheni Tokomeza Ujangili watalipwa fedha zao kabla ya kuanza kwa awamu ya pili ya operesheni  hiyo.   Nyalandu alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, kusema kuna zaidi ya askari 2,000 waliounda kikosi maalumu

Rais Kikwete aikazia macho TAKUKURU

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Rais Kikwete alisema endapo vyombo hivyo vitafanya kazi yao ya upelelezi kwa haraka, uendeshaji wa kesi utaharakishwa na hukumu kutolewa

TBS yahakikisha kuwa Operesheni ya mitumba ni ya kisheria

$
0
0
  SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limesema linatekeleza operesheni ya kuondoa nguo za ndani za mitumba kwa kufuata sheria, si kwa ajili ya kuwanufaisha wafanyabiashara wa maduka nchini.    Akizungumza na Tanzania Daima  jana, Ofisa Habari wa shirika hilo, Roida Andusamile, alisema zoezi hilo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria na limehusisha wadau wa idara zote.   Alisema ni muhimu

Rais Kikwete apokea hundi ya sh. milioni 100 kutoka CRDB kusaidia wahanga wa mafuriko Morogoro

$
0
0
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam  February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zakamatwa bahari ya Hindi.....

$
0
0
Wakati Tanzania ikielezwa kichochoro cha kupitishia dawa za kulevya, raia 12 wa Pakistan na Iran, wamekamatwa na zaidi ya kilo 201 za shehena ya dawa za kulevya katikati ya Dar es Salaam na Zanzibar katika Bahari ya Hindi zenye thamani ya mamilioni ya fedha. Jeshi la Polisi limesema kuwa watu hao walikamatwa na dawa hizo wakiwa katika jahazi. Kukamatwa kwa kiasi hicho kikubwa cha

Mgomo na vurugu za wanafunzi wa shule ya St Anne Marie Academy ya jijini Dar wasababisha hasara ya milioni 140.....Tazama picha za uharibifu huo

$
0
0
VURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa.   Kutokana na vurugu hizo, zaidi ya wanafunzi 30 wa kidato cha sita, wamesimamishwa masomo kwa wiki mbili kwa madai ya kutaka kuhamasisha mgomo wa masomo, kushinikiza wenzao 11 wanaoshikiliwa na Polisi kutokana

Wanawake washauriwa kuacha kutumia sabuni za Kaisiki kurudisha BIKRA zao kwani zina madhara makubwa

$
0
0
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa na Mfamasia wa Manispaa ya Dodoma Daria Mwanuka alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi wakati wa uteketezaji dawa, vipodozi na vyakula visivyofaa kwa matumizi ya

Jeshi la Polisi mkoani Arusha latangaza kumsaka mbunge Godbless Lema kwa kosa la kufanya vurugu Sombetini wiki iliyopita

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa walijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema jana ofisini

Kagame wa Rwanda aichokonoa tena Tanzania....Sasa amgeukia Benard Membe, Chadema nayo yajitosa

$
0
0
GAZETI la The New Times Rwanda ambalo linatajwa kuwa mshirika wa karibu wa Serikali ya Rais Paul Kagame, nalo limeingia kwenye propaganda za kuwachafua baadhi ya viongozi wa Tanzania. Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi hiyo, vimekuwa vikitumika kumchafua Rais Jakaya Kikwete, ambapo wiki iliyopita gazeti la News of Rwanda liliandika taarifa iliyodai kuwa Rais wa Tanzania amekutana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images