IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI ……….0744 000 473.
Katika ulimwengu wa waganga na wachawi, kuna kundi la wanaume ambao hujulikana kama WANAUME WANAOPITA DUNIANI BILA KUONEKANA au WANAUME WANAOPITA DUNIANI KAMA VIMVULI.
Naam WANAUME WANAO PITA DUNIANI BILA KUONEKANA. Hawa ni wanaume wanao ugua maradhi ya UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME yanayo tokana na kulogwa.
Wanaume hawa hujulikana pia kama WANAUME WALIO VALISHWA KANZU YA YUSUFU !
KWANINI KANZU YA YUSUFU ?
Katika Biblia kuna simulizi la mtu aitwaye Yakobo mtoto wa Isaka. Yakobo aikuwa na watoto wa kiume kumi na wawili, lakini kati yao alimpenda sana Yusufu. Kwa sababu Yusufu alikuwa kijana mwenye bidii na kujituma sana na kikubwa zaidi Yusufu alikuwa ana ndoto za kuja kuwa mfalme mkubwa.
Nduguze Yusufu hawakupendezwa na kitendo cha baba yao Mzee Yakobo kuwa anampendelea Yusufu hivyo wakapanga kumuua.
Siku moja wakiwa nyikani wakichunga mifugo yao Yusufu aifika katika eneo hilo nao hawakuwa na ajizi bali wakamchukua na kumtupa ndani ya shimo refu ili afe humo kwa njaa au kuuwawa na mnyama mkali.
Wakati Yusufu yupo shimoni mtu mmoja kutoka Misri alipita katika eneo hilo. Yuda mmoja kati ya kakaze Yusufu akapendekeza kuliko kumuacha Yusufu afe ndani ya shimo lile ni bora wamuuze utumwani.
Wazo hili likaafikiwa na nduguze ambao bila ajizi wakamuuza Yusufu utumwani Misri.
Kabla ya kumuuza Yusufu, mmoja kati ya kaka zake aliuliza, endapo watarudi nyumbani na baba yao akawauliza “ ni wapi alipo mwanangu Yusufu “? Watamjibu nini ?
Hapo ndipo HEKIMA YA SHEITWANI ILIPO WAJIA.. Waka afikiana kuwa WATACHUKUA KANZU YA YUSUFU, WATAIRARUA KISHA WATACHINJA MWANAKONDOO NA KUPAKAZA DAMU YA MWANAKONDOO HUYO NA WATAKAPO FIKA KWA BABA YAO MZEE YAKOBO, WATAMWAMBIA KUWA MWANAE YUSUFU AMERARULIWA NA SIMBA NA KUUWAWA NA USHAHIDI WAO NI KANZU YA YASUFU YENYE DAMU.
Walipofika kwa baba yao Mzee Yakobo, walimuelezea kama waivyo afikiana. Mzee wa watu alipoiona kanzu ya mwanae Yusufu iliyo tapakaa damu ya mwanakondoo, tena kama haitoshi, akaichukua kanzu hiyo na kunusa harufu yake akagundua ni kanzu ya Yusufu kweli, akaamini moja kwa moja kuwa mwanae Yusufu ameuwawa na Simba.
Iikuwa ni siku ya huzuni sana kwa Mzee Yakobo. Alilia kwa mchungu mkubwa sana na ama kwa hakika nafasi yake ilipata tabu kuu.
HII MAANA YAKE NINI ?
Hii maana yake ni kwamba wachawi wanapo mroga mtu huwa hawataki wajulikane au hata kuhisiswa kuwa wao ndio wamemroga. HII NI HEKIMA WAIYO IRITHI KWA BABA NA MWALIMU WA UCHAWI DUNIANI AMBAE SI MWINGINE ISIPOKUWA IBILISI MWENYEWE.
Wachawi kwa kutumia taaluma yao ya uchawi wanaweza kumroga mtu atoweke duniani yani afariki dunia lakini ili wasihisiwe au kujulikana kuwa wao ndio wamemroga mhusika, basi mtu aliye kusudiwa ama atakufa kwa ajali ya gari, ama atakufa maji, ama ataugua maradhi mbalimbali kama vile kifafa, kichwa, au kufa wakati wa kujifungua na kadhalika.
KWANINI TUNASEMA WAMEVESHWA KANZU YA YUSUFU
Wanaume walio katika kundi hili twasema wameveshwa KANZU YA YUSUFU kwa sababu maradhi yao ya ukosefu wa nguvu zap kiume yanakuwa yametokana na kurogwa lakini wao wanakuwa wanaamini kuwa maradhi yao yametokana na maradhi au tabia mbalimbali kama vile kisukari, ngiri,chango la kiume, moyo, kufanya punyeto kwa muda mrefu nakadhalika.
MWANAUME ALIYE KATIKA KUNDI HILI, ANAKUWA ANASUMBULIWA NA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME. NA ANAKUWA ANAAMINI KUTOKA MOYONI MWAKE KWAMBA MARADHI ALIYO NAYO YAMESABABISHWA NA SABABU MBALIMBALI ZAP KISAYANSI KAMA NILIVYO ZITAJA HAPO JUU.
Kwa mfano mtu huyu anakuwa amefanya punyeto kwa muda mrefu sana. Unapofika wakati wa yeye kuwa na mwanamke anajikuta anashindwa kumridhisha mwanamke huyo na kwa sababu alifanya punyeto kwa muda mrefu, mwanaume huyo huamini kuwa punyeto ndio chanzo cha tatizo lake ilihai kiuhalisia punyeto ni kanzu aivyo veshwa na wachawi wake.
MWINGINE tatizo lake linakuwa limetokana na yeye kuugua maradhi ya kisukari. Mtu huyu, moja kwa moja, huamini maradhi ya kisukari ndio yamemsababishia maradhi ya nguvu za kiume, lakini kiuhalisia kabisa , maradhi ya mtu huyu yanakuwa yametokanwa na kurogwa, na maradhi ya kisukari ni kanzu aiyo valishwa. Ama kwa lugha nyingine wachawi wake wanakuwa wamejificha kwenye maradhi ya kisukari.
Wachawi hawapendi kujulikana ndio maana wanapo mroga mtu hujificha kwenye mambo halisia na yanayo endana na ukweli ili mtu aliye rogwa asistukie kwamba anarogwa.
Ndio maana watu wanao nifuata niwape dawa ya kuona wachawi huwa nawapa kwanza kinga maalumu kwa sababu wachawi wakigundua kuwa huwa unawaona kitu cha kwanza kabisa watakacho kufanyia ni kukupofua macho.
JINSI WACHAWI WANAVYO TENGENEZA MARADHI YA NGUVU ZAP KIUME / JINSI WACHAWI WANAVYO WAVALISHA WANAUME KANZU YA YUSUFU.
Siwezi kueleza kinaga ubaga jinsi wanachawi wanavyo tengeneza maradhi ya ukosefu wa nguvu za kiume nitaelezea kwa ufupi sana baadhi ya njia.
Zipo njia zaidi ya arobaini wanazo tumia wachawi kutengeneza maradhi ya nguvu zap kiume . Baadhi ya njia hizo ni kama ifuatavyo.
MOJA ; KUTEGA DAWA KWENYE BARABARA SABA: Porini kuna mti unatoa vitunda vidogo vyenye rangi mbili nyeusi na nyekundu. Mti huu huwa ni dawa ya maradhi ya mgolo ama bawaziri . Una majani matamu kama sukari ambayo wakati wa njaa huweza kutumika kutengenezea chai na pia huweza kutumika kutengeneza chai kwa watu wenye kusumbuliwa na maradhi ya kisukari.
Miti hii saba inachukuliwa. Halafu wanachukuliwa wanyama wa aina tatu tofauti wafugwao wanachinjwa kisha damu yao inachanganywa pamoja na dawa zitokanazo na miti ya porini aina saba halafu vinaenda kupikwa porini kisha zinafungwa kwenye chombo maalumu na kuzikwa kwenye makaburini saba tofauti kwa muda wa siku saba saba na njia panda saba tofauti tofauti kwa muda wa siku saba kisha zinazikwa kwenye milima miwili tofauti kwa muda wa siku saba.
Baada ya hapo, linachukuliwa bawa la ndige mmoja wa porini. Huyu ndege anatumiwa sana na wachawi “ NDEGE HUYU SIO BUNDI WALA SULULI WALA MKATA SANDA’.
Ndege huyu ana sifa moja kubwa katika ulimwengu wa wachawi. Nayo ni kwamba, ukichukua nyoya lake ukaliweka kwenye mto wa kwenye kitanda alicholalia mgonjwa, basi mgonjwa huyo hatopona bali atakufa na kama utaliweka chini ya mto aio lalia mtoto mchanga basi mtoto huyo atadumaa, hatokuwa.
Bawa la ndege huyu ndio linatumika kama kalamu ya kuandikia majina ya mkusudiwa pamoja na manuizo.
Majina na manuizo yakiisha kuandikwa, miti hiyo saba inaenda kutupwa barabarani kwenye barabara saba tofauti.
Miti hiyo ikigongwa na gari tu basi na mwanaume aliye kusudiwa anaanza kuugua maradhi ya nguvu zap kiume.
Maradhi huanza taratibu na baadae huhitimu na kuwa sugu ambapo mhusika anaweza kufikia hatua ya kuwa hanithi kabisa.
2. NGUVU ZA KIUME ZA MWANAUME HUSIKA HUZIKWA KABURINI KWENYE MAKABURI SABA TOFAUTI.
3. NGUVU ZA KIUME ZA MWANAUME HUSIKA KUZIKWA NJIA PANDA.
4. MWANAMKE KUMFUNGA MWANAUME ASISIMAME AKIENDA KWA WANAWAKE WENGINE.
5. NGUVU ZA MTOTO WA KIUME KUFUNGWA TANGU AKIWA TUMBONI : Wachawi wanaamini njia bora kuliko zote ya kukiua kitu ni kukiua kabla hakijazaliwa. Katika hilo wachawi huwa wanafunga mtoto wa kiume akizaliwa asiwe na nguvu zap kiume au awe hanithi kabisa. NA HII NDIO SABABU KUU KWANINI UNATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA KITOVU CHA MTOTO WA KIUME KABLA HAKIJA DONDOKA. KUWA MAKINI KITOVU KISIDONDOKEE KWENYE UUME WAKE.
6. UUME KUCHUKULIWA MSUKULE : HII NDIO NJIA KUU NA YENYE NGUVU KULIKO ZOTE. Naiita njia kuu kwa sababu ndio njia inayo pendelewa zaidi na wachawi. Wanaume wengi walio rogwa maradhi ya nguvu za kiume, wamerogwa kwa njia hii. Maumbile yao ya kiume yamechukuliwa kichawi na kwenda kutumikishwa kwa shughuli mbalimbali zap kichawi.
Maumbile haya huchukuliwa kwa kutumia maarifa ya hali ya juu sana na moja kati ya vitu vinavyo tumika katika ulozi huu ni pamoja na mti wa mgomba wa ndizi.
Hapa uume wa mwanaume aiye kusudiwa huchukuliwa na kubadilishwa na uume wa maiti au wa wanyama ilihali uume wake halisi huchukuliwa na kwenda kutumikishwa kichawi.
Wapo ambao maumbile yao ya kiume yamebadilishwa na maumbile ya bata lakini kwa sababu wamepigwa kanzu ya Yusufu wao wana jiona wapo sawa sawa. Kunyauka na kusinyaa kwa maumbile yao ya kiume wanachukulia kuwa kumesababisha wao kufanya punyeto kwa muda mrefu au kuugua maradhi mbalimbali kama vile kisukari nakadharika.
Wapo waliobadilishiwa na uume wa wanyama wengineo kama vile mbwa, mbuzi nakadhalika.
Jini anaye tumiwa na wachawi kusababisha maradhi haya, hukaa kwenye damu ya mwanaume husika.
Mwanaume aiye fanyiwa uchawi huu atatumia dawa na dawa lakini hatoweza kupona.
KWANINI TUNASEMA WANAUME HAWA WANAPITA DUNIANI BILA KUONEKANA
Tunasema wanaume hawa wanapita duniani bila kuonekana kwa sababu wanakuja duniani wanaishi na wanaondoka duniani ili ku experience kitu kinaitwa UTUKUFU WA MWANAUME.
UTUKUFU WA MWANAUME ni ile hali ya mwanaume kupata HESHIMA KUU NA UPENDO USIO MITHILIKA KUTOKA KWA MWANAMKE kwa sababu tu ya mwanaume huyo kuwa na nguvu halisi za kiume na kumridhisha mwanamke huyo.
Hapa mwanamke anakuheshimu sio kwa sababu una pesa nyingi au una kazi nzuri, bali kwa sababu unaweza kufanya kazi yako kama mwanaume pindi unapo kuwa faragha.
KWANINI WACHAWI HUFANYA UCHAWI HUU ?
Lengo kuu ni kuwatesa wanaume husika kunako enda sambamba na wachawi hao kutumia maumbile ya kiume wanayo yaiba kwenye mambo yao ya kichawi.
NINI TIBA YA MARADHI YA NGUVU ZAP KIUME ZITOKANAZO NA KUROGWA .
Kwanza lazima uchawi alio tupiwa mwanaume huyu uondolewe kwanza. Uume alio badilishiwa utolewe kwanza uteketezwe kisha uume wake ulio chukuliwa na wachawi urudishwe kwake.
Hii inafanyika kwa kufanya tambiko maalumu ya kiganga, uume wa kichawi alio wekewa utachukuliwa na kisha uume wake halisi utavutwa.
Baada ya hapo, watachinjwa wanyama kadhaa kisha itapikwa dawa halafu mwanaume huyu atalishwa dawa maalumu ya kutibu maradhi ya nguvu zap kiume yatokanayo na kurogwa sanjari na kupewa kinga maalumu ya kuzuia nguvu zake kuchezewa tena.
Atalishwa dawa hii mara moja tu na atapona kabisa tatizo lake.
IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI..ANAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0744 000 473.
PIA KWA HABARI ZAIDI KUHUSU ULIMWENGU USIO ONEKANA, WAWEZA KUMTEMBELEA :