Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Bahari ya Hindi yaua watu 10... Sita walikuwa katika Boti ya Kilimanjaro , Wanne walikuwa katika boti ya Mv Nyaulele

$
0
0
Watu kumi wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea jana  katika Bahari ya Hindi.   Katika ajali ya kwanza, watu sita walifariki baada ya boti ya Kilimanjaro II ilipokumbwa na dhuruba kali katika mkondo wa Nungwi, Zanzibar wakati ikitokea Pemba kwenda kisiwani Unguja jana asubuhi. Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Riziki Juma, alisema jana jioni kuwa maiti sita zilipatikana

Mke wa mtu anyofolewa sikio katika ugomvi wa kimapenzi kati yake na mumewe

$
0
0
  Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake. Tukio hilo lilitokea Desemba 16, mwaka jana ambapo mwanamke huyo alidai kuwa alikuwa akizungumza kwa simu na mfanyakazi mwenzake ambaye anauza naye chakula maeneo ya Mlango Mmoja jijini hapa kabla ya mumewe kumvamia na

Hukumu ya Zitto Kabwe yaahirishwa hadi kesho saa nane mchana

$
0
0
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Zitto Kabwe na CHADEMA  na badala yake  hukumu hiyo itatolewa kesho saa 8:00 mchana. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama hiyo, kesi hiyo imeahirishwa mpaka kesho mchana kwa sababu hakimu anayesikiliza kesi hiyo hajamaliza kuandika hukumu ya kesi hiyo. <!-- adsense -->

Baadhi ya picha za wakazi wa mkoa wa Iringa wakiuaga mwili wa Waziri wa Fedha aliyefariki taehe moja mwezi huu

$
0
0
Hizi  ni  picha  za  wakazi  wa  mkoa  wa  Iringa  wakiuaga  mwili  wa  Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa aliyefariki tarehe  moja ya mwezi huu- 2014 saa tano asubuhi kwenye hospitali aliyokua amelazwa huko Afrika Kusini. >>Millard Ayo<!-- adsense -->

Freeman Mbowe amjibu Zitto Kabwe....Anasema kupewa pesa na CCM si tatizo, tatizo ni kwamba hizo pesa unazitumia kwa lengo lipi?

$
0
0
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, jana alishusha tuhuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, zikimhusisha na ufisadi.   Tuhuma hizo ziliibuka  baada  ya   Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, kumtuhumu  Zitto Kabwe  mbele  ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwamba Zitto amepewa magari mawili na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono; ambaye

Rais Kikwete aongoza maelfu ya wananchi wa Iringa waliojitokeza kumzika alyekuwa waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa

$
0
0
MAELFU   ya  wakazi  wa mkoa  wa Iringa na  baadhi  ya  viongozi  wa  vyama  vya  siasa na  Serikali  wakiongozwa na  Rais Dr  Jakaya  Kikwete  wameshiriki  katika mazishi ya  aliyekuwa  mbunge wa   jimbo la Kalenga na  waziri wa fedha  Dr  Wiliam Mgimwa. Waziri  mkuu Mizengo  pinda katika  salam  zake za serikali ameeleza  jinsi  Taifa  lilivyopata  pigo kubwa  kufuatia  kifo  cha Dr

Nimrod Mkono Akanusha kumhonga Zitto Kabwe magari mawili....Anadai kwamba amesikitishwa sana na uongo uliosemwa na Tundu Lissu jana

$
0
0
TAMKO KUHUSU YANAYOENDELEA CHADEMA MH. MKONO KUMPATIA MH. ZITTO MAGARI MAWILI Nimesikitishwa na jinsi Chama kikuu cha upinzani ambavyo kwa siku za hivi karibuni kimeingia katika migogoro ambayo inaathari kubwa kwa ustawi wa demokrasia hapa nchini. Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mimi Mh. (Nimrod Mkono) kumpatia Zitto Kabwe (MB) magari mawili (Land Cruiser pamoja na Nissan

Video: Diamond Platnumz Feat. Davido – Number One ‘Remix’

$
0
0
Tazama hapa video mpya kutoka kwa Diamond Platnumz ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu akiwa amemshirikisha Davido kutoka Nigeria kwenye remix ya ngoma yake ‘My Number One’.

Binti wa miaka 15 atekwa kwa siku tatu na kubakwa huko Makete, Njombe

$
0
0
 Na Edwin Moshi,Makete Jeshi la polisi wilayani Makete  mkoani Njombe linamshikilia  Fransis Pilla (36) mkazi wa kijiji cha Iwawa na kata ya Iwawa  wilayani hapa kwa makosa  mawili ya  utekaji nyara na  ubakaji  kwa binti mwenye umri wa miaka 15 ambaye jina lake limehifadhiwa.   Akiongea na vyombo vya habari wilayani hapa afisa upelelezi wa jeshi la polisi wilaya ya Makete Bw

Wanafunzi wenye virusi vya UKIMWI mkoani Pwani wawalalamikia walimu wao

$
0
0
BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.   Wametaka Serikali na asasi za kiraia kusaidia kushughulikia walimu na wanajamii wanaoshawishi watoto kwa ujumla kuingia kwenye uhusiano nao wa kimapenzi.   Wamesema changamoto hiyo, husababisha baadhi kupata tabu

CHADEMA yakituhumu chama cha CUF kwa kuandaa vijana wenye panga na marungu ili wakamuunge mkono Zitto Kabwe...CUF yakanusha

$
0
0
MGOGORO unaoendelea Chadema umefikia hatua ya kuanza kutafuta mchawi ndani na nje ya chama hicho, ambapo sasa kimeishika CUF na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwa madai ya kumwunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Kabwe Zitto.   Juzi wakati akitangaza kuwavua uanachama aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama hicho, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa

Zitto Kabwe atoa kauli nzito.....Asema wapinzani ( Dr. Slaa ) wakishika dola raia hawatapona

$
0
0
ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametoa kauli nzito, baada ya kusema viongozi wa vyama vya siasa wanaopekua mawasiliano ya raia ni hatari kwa nchi na kwamba wakishika dola, raia wao hawatapona. Kauli ya Zitto imekuja siku moja tu baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, kuutangazia umma

Kesi ya Jack Patrick kuanza kusikilizwa mwaka 2016....Wachina wampa mwaka mmoja na nusu wa kujifunza lugha yao kwanza

$
0
0
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea Bangkok, Thailand akiwa na kete 57 (kilo 1.1) za unga aina ya heroin tumboni zikiwa na thamani ya shilingi milioni 300.   TAARIFA

Unyama: Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke ambaye chama hicho kinamtuhumu kushirikiana na CUF kumuunga mkono Zitto avamiwa usiku na kupigwa nusura auawe

$
0
0
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph Yona ambaye  chama  hicho  kinamtuhumu  kushirikiana  na  CUF kumuunga  mkono Zitto  Kabwe amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio kwenye Magorofa ya Wasomali Kawe Dar es salaam.   Shuhuda Abdul Ally ambae ni mkuu wa nyumba zilizokaribu na alikopigwa Mwenyekiti huyu, anasema

Baadhi ya picha kutoka nje ya mahakama kuu Dar kabla ya hukumu ya Zitto Kabwe

$
0
0
          Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa. <!-- adsense -->

Zitto Kabwe ashinda hukumu ya kesi yake.....Mahakama yaizuia kamati kuu ya CHADEMA kujadili uanachama wake

$
0
0
  LEO macho na maskio ya watanzania   hasa  wafuasi  na  wapenzi  wa  CHADEMA yalielekezwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,pale ambapo Jaji wa Mahakama hiyo Jaji John Utumwa   alikuwa  akitoa  hukumu  dhidi  ya  Zitto Kabwe  na CHADEMA....   Zitto ambaye alikuwa   ni  Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, alifungua kesi katika Mahakama hiyo akipinga hatua ya Kamati Kuu ya Chama

Mwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto Kabwe ajiunge na CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki

$
0
0
Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.   Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.   Mtei alisema kuwa kama anataka

Mwanamke wa kitanzania anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar akiyapeleka Macau nchini China

$
0
0
KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya nchini, kimemkamata mwanamke mmoja Mtanzania akiwa amebeba kete 63 za dawa za kulevya aina ya heroine.  Mwanamke huyo, Salama Mzara mkazi wa Mbagala, jijini Dar es Salaam, alikamatwa juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa njiani kuelekea Macau nchini China. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,

RAY C AFUNGUKA.... BADO NIPO SINGLE JAPOKUWA NASUMBULIWA

$
0
0
Akiongea na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.   “Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.” Kuhusu nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa

MH. NDESAMBURO AELEZA KUWA CHADEMA NI MTI WA MATUNDA

$
0
0
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), amesema matatizo yanayokikumba chama hicho kwa sasa yanatokana na kundi la watu wachache wenye uchu wa madaraka, ambao pia wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Ndesamburo alisema kuwa wanaosababisha hali hiyo ni vijana ambao hawana uchungu na CHADEMA, na hivyo kushauri uongozi uchukue hatua stahiki ya kinidhamu kwa watu hao.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images