Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Video ya Edward Lowassa akiitangaza Safari yenye matumaini kwa watanzania, safari ambayo kila mtanzania atasoma bure

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ametangaza kuanza safari ya kutimiza ndoto zake,Safari ambayo kila mtanzania atapata elimu bora  na  ya  bure... Sikiliza hotuba yake ya mwaka mpya 2014 hapo chini.

Serikali yatoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa ambaye alifariki juzi akiwa Afrika Kusini

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe.William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Mazishi ya aliyekuwa waziri wa Fedha Marehemu Dk. William Mgimwa akiongea na waandishi wa Habari jana  jijini Dar es Salaam kuhusu mwili wa marehemu kuwasili tarehe nne saa saba mchana uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere na Shirika la Ndege la

Rose Ndauka apata mtoto wa kike.....

$
0
0
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Akizungumza na Ijumaa, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema.   “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua

Wanakwaya wa kanisa katoliki wapigwa bomu jijini Arusha , sita wajeruhiwa, mmoja hali yake ni mbaya

$
0
0
WANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru baada ya kujeruhiwa kwa bomu.   Walikutwa na masahibu hayo juzi muda mfupi baada ya kutoka kanisani kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya saa 6.30 usiku, meta 100 kutoka Kanisa hilo, eneo la Kisangani.   Mganga Msaidizi wa hospitali hiyo, iliyoko

CCM yatoa onyo kwa wanachama wake walioanza kupiga kampeni za chini chini kabla ya muda

$
0
0
Chama cha mapinduzi CCM kimetoa onyo kwa baadhi ya wanachama wake wanaoanza kufanya kampeni za chini kwa chini kabla ya muda kutangazwa na kuwataka kuacha mara moja.   Akibainisha hayo Jijini Dar es salaam Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania bara Philip mangula amesema ibara ya 33 kifungu kidogo cha kanuni za CCM kinakataza mtu yoyote kufanya kampeni za aina yoyote kabla ya

Majibu ya Mh.zitto Kabwe kwa kamati kuu ya Chadema, juu ya mashtaka 11 dhidi yake

$
0
0
  Our Ref: ZZK/12/13 10.12. 2013. Mh. Katibu MKuu, Chama Cha Demokrasia Na Mendeleo HSE NO 170, UFIPA STREET, KINONDONI S. L. P 31191 Dar es Salaam – Tanzania. YAH: MASHATAKA YA UKIUKWAJI WA KATIBA, KANUNI NA MWONGOZO WA CHAMA. Rejea barua yako ya tarehe 26 Novemba 2013 yenye kumbukumbu no C/HQ/ADM/KK/08/31 Iliyoelezea

Hatima ya Pingamizi la Zitto Kabwe kujulikana Jumatatu...Wafuasi wa CHADEMA watwangana ngumi mahakamani

$
0
0
  Leo ilikua itoke hukumu ya  kesi iliyopo baina ya Zitto Kabwe na CHADEMA   ambapo kulikuwa  na  mabishano  makali ya kisheria dhidi  ya  pande  zote  mbili .  Hukumu hiyo haijatolewa  na  badala  yake  mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeamua kuahirisha kesi hiyo mpaka jumatatu ya tarehe 6 Januari saa 4 asubuhi ambapo hukumu juu ya madai yaliyopo mahakamani itatolewa. Nje  ya 

Benki kuu ya Tanzania yatoa Sarafu ya sh. 50, 000 kama kumbukumbu ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar

$
0
0
    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu ***  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, amesema kuwa sarafu hiyo iliyotengenezwa kwa madini ya fedha kwa asilimia 92.50, imetolewa kwa ajili ya kumbukumbu tu na haitaingizwa katika mzunguko

Padri wa kanisa katoliki aliyemzalisha muumini wake na kisha kumtelekeza akubali kulipa sh. 580, 000 ikiwa ni gharama za matunzo ya mtoto huyo

$
0
0
KESI iliyokuwa ikimkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa fedha za matunzo kwa mwanawe, jana ilifikia ukingoni baada ya mlalamikiwa kuamua kulipa jumla ya Sh 580,000 taslimu ikiwa ni gharama za matunzo, matibabu na mavazi kwa ajili ya mtoto huyo.   Kiasi hicho cha fedha kilikabidhiwa kwa mlalamikaji Maria Boniphace na dadake Padre ajulikanaye kwa

Penny amchamba Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za watoto wake

$
0
0
  Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  kumwagana    na  msanii  huyo  na  badala  yake  sasa  ameanza  kuzipa  uzito  hoja  za  kumpiga  chini  Diamond  ambaye  walidumu  naye  kimapenzi  kwa  takribani  mwaka  mmoja.... Kwa mujibu wa watu wa karibu  na  Penny, kitendo  cha  Diamond  kumpandisha  jukwaani  Wema  Sepetu  pale

Polisi yakiri kuwapiga bomu wanakwaya sita wa kanisa katoliki mkoani Arusha

$
0
0
Siku moja baada ya taarifa ya kupigwa bomu wanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga, Usa River, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amefafanua kuwa polisi walitumia bomu la machozi kuwarushia watu kwa lengo la kudhibiti vurugu akidai kuwa waliwarushia polisi mawe, usiku wa mkesha wa mwaka mpya.   Katika tukio hilo, waumini sita waliokuwa wakitoka

Mwili wa Waziri wa Fedha aliyefariki Afrika kusini wawsili nchini

$
0
0
  Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue opamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge. Mjane Mama Jane Mgimwa(katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini Radhia Msuya(kulia) mara baada ya kuwasili

"Matusi yenu kwangu ni hamasa ya kusonga mbele, Hata ukiwa mwema kiasi gani, maadui wapo tu"...Huu ni ujumbe wa Erick Shigongo kwa watanzania

$
0
0
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo ** Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu. Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi gani utakuwa na maadui, Yesu alikuwa nao, Mtume Muhammad alikuwa nao, Mandela alikuwa nao na hata Mahatma Gandhi alikuwa nao.   Hata ufanyeje maadui watakuwepo tu, utapingwa,

Askari wawili wakamatwa baada ya kumteka mfanyabiashara na kisha kumpora milioni 3 na vitu vingine

$
0
0
Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.    Inadaiwa kuwa katika tukio hilo, watuhumiwa walipora Sh3.5 milioni  na

CHADEMA watwangana ngumi tena.....Awamu hii ni ndani ya kikao kilichokuwa kikiendeshwa na Freeman Mbowe

$
0
0
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Shaaban Mwamba, juzi usiku alipata kipigo kutoka kwa maofisa wa  kikundi cha ulinzi cha chama hicho waliokuwa katika eneo ambalo mkutano wa Kamati Kuu ulifanyika, baada ya kutuhumiwa alikuwa akiwasiliana na wafuasi wa Zitto.   Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja ambaye hakupenda jina lake

Rais Kikwete apokea matembezi ya UVCCM leo wakati wa kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

$
0
0
    Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya  kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini

Mwili wa Marehemu William Mgimwa ambaye alikuwa ni waziri wa fedha waagwa katika viwanja vya Kalimjee jijini DAR.

$
0
0
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa viwanjani hapo wakati wa shughuli za kuaga.  Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.     Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.    Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akimpa mkono wa pole mke wa marehemu Dk. Mgimwa, Jane Mgimwa baada ya kuaga mwili.  Spika wa

Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wavuliwa uanachama wa CHADEMA

$
0
0
  Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema.   KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana.   Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na

Zitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni kifaranga, hivyo anamtaka mama kifaranga....Amegusia pia kifo cha Chacha Wangwe

$
0
0
Akizungumza katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari iliyofanyika leo, Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mh.Tundu Lisu alisema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa akiwasiliana  na  akina Denis Msack wa Mwananchi.  Lissu alisema njama hizi ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya

"Mwaka 2014 kiongozi mmoja wa kisiasa atakuwa kichaa, utatokea msiba wenye sura ya kitaifa, shida na maafa makubwa"..Huu ni utabiri wa Alhaj Hassan Yahya Hussein

$
0
0
  Aliyekuwa mtabiri  maarufu nchini, Shehe Yahya Hussein.  ** MRITHI wa kazi za marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Hassan Yahya Hussein, amesema mwaka 2014 kuna kiongozi wa kisiasa na kijamii mwenye hadhi kubwa hapa nchini atarukwa akili.   Akizungumza Dar es Salaam jana kuhusu utabiri wake wa mwaka 2014, Hussein, alisema kutokana na mwaka kuanza Jumatano ambayo ni mbaya, hali
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images