Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

AFISA AKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA HARAMU YA WANYAMA PORI

$
0
0
Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Singida, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya wanyamapori.Afisa huyo, Augustino Lori alikamatwa jioni ya siku ya Jumatatu baada ya kukutwa amehifadhi ndege 12 aina ya flamingo, na silaha mbili aina ya bunduki, nyumbani kwake, kinyume cha sheria.Kamanda wa Polisi mkoani Singida, Geoffrey Kamwela amesema afisa huyo anayepaswa

HAYA NDIO MANENO YA WASTARA; NATAKA KUOLEWA NA BILLIONEA

$
0
0
 IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake.    Wastara Juma. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa

MH. ZITTO KABWE AENDELEA KUWA KIKWAZO CHADEMA

$
0
0
HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani ya chama chake.    Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu wakati akisubiri hukumu ya kesi yake juzi. Awali, ilionekana kama uamuzi

NAY WA MITEGO AMWAGWA NA MCHUMBA WAKE.........

$
0
0
UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika.            Nay akiwa na mpenzi wake Siwema.   Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika nyakati tofauti. Chanzo hicho

HAYA SASA,,, NDOA YA KARNE BONGO HIYOOO....

$
0
0
Mwaka mpya mambo mapya.Katika tukio linaloweza kuitwa kama ndoa ya karne, mzee mmoja mwenye umri wa miaka 91, Nkwabi Ngobola Kapimbi, wiki iliyopita alifunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78) mbele ya mchungaji Thobias Shilole wa Kanisa la Maombezi huko Kibaha mkoani Pwani.  Mzee Nkwabi akipozi na mkewe Maria. Tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi, lilitokea baada

DIAMOND AJIANGUSHA KWA WEMA KWA KUAMUA KUMNUNULIA JUMBA LA KIFAHARI LA SH..MIL 125

$
0
0
STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii.    KUNA SABABU? Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko kufuatia taarifa kwamba,

MASOGANGE,,,, NAOGOPA MUME WA MTU SUMU

$
0
0
  VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.                 Agnes Jerald ‘Masogange’.  Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na

MISS AANGUKA, AZIMIA, VIBAKA WAMFANYA KUWA SHEREHE

$
0
0
  Ama kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu vyake vyote.     Kwa mujibu wa mashuhuda, mrembo huyo ambaye alikuwa katika mishemishe za kawaida alidondoka ghafla akiwa Mitaa ya Nyakato jijini hapa mbele ya kituo cha polisi, Januari

ZITTO; JAMANI SITAKI MALUMBANO

$
0
0
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa hataki malumbano na mtu. Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya  Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo chochote kujadili uanachama wake. Akizungumza na MTANZANIA mjini Dar es Salaam jana, Zitto alisema ameamua kukaa kimya ili kupata muda mzuri wa kutafakari misukosuko ya kisiasa

GEA HABIB WA CLOUDS FM ABARIKIWA MTOTO

$
0
0
                        Gea Habib wa Clouds FM.  MTANGAZAJI nyota wa miondoko ya taarab Gea Habib wa Clouds FM amejifungua mtoto wa kiume jana jijini Dar es Salaam  katika hospitali ya Kinondoni (Kwa Dr Mvungi) kwa njia ya upasuaji na sasa anaendelea vizuri yeye na mtoto wake. Huyu anakuwa ni mtoto wa tatu kwa Gea ambaye pia husikika katika kipindi cha Leo Tena kinachosikika

HATIANI KWA KUMWITA MKUU WA NCHI KIAZI,,...

$
0
0
 MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa  na polisi na kufunguliwa  mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi. Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo.  Katika lugha ya Kibemba,

HAWA NDIO MAWAZIRI WAPYA,,,,,,

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutangaza majina ya mawaziri watano mapema wiki hii,taarifa za ndani kutoka Ikulu ya Rais Kikwete iliyonaswa na Habarimpya.com zinaeleza kwamba, zoezi hilo limepangwa kufanyika mapema wiki hii kabla ya Rais kuanza zoezi la kuteuwa wabuge wa bunge la Katiba.     "Rais anamajukumu mengi sana ya kitaifa kipindi hiki na moja ya majukumu yake ni kufanya

SWALI.... KAMA YAKIKUKUTA KAMA HAYA UTAFANYAJE?

$
0
0
  UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo. Kama wewe ni Mume au Mke ungefanya nini? <!-- adsense -->

JOYCE KIRIA NAE AWACHAMBUA WAKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

$
0
0
NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCM MKE WA KILEO BI JOYCE KIRIA AAMUA KUANIKA UKWELI HADHARANI Dada Joyce Kiria ambaye ni mwendesha kipindi cha Wanawake Live CHA EATV Haya ndiyo maoni yake katika mjadala mmojawapo katika wall

KATIBU KATIKA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ASIMAMISHWA

$
0
0
 Kamati ya utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, imemsimamisha Katibu wake, Jordan Membe, kwa madai ya kwenda kinyume na katiba ya Chama.   Habari kutoka wilayani humo zilizothibitishwa na uongozi wa chama hicho, ngazi ya wilaya na ile ya mkoa, zinaeleza Membe amesimamishwa kutokana na kukiuka maadili ya uongozi, ikiwa ni pamoja

JE...JOHN MYIKA NAE KAJIUZULU?

$
0
0
Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu  Mkuu wa CHADEMA. Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569) alijibu kwa kukanusha kuhusu taarifa hizo na kuongeza kuwa kwa muda uliotajwa, Mhe. Mnyika alikuwa katika shughuli za chama akitimiza majukumu yake.   Akasema taarifa hizo ni 

AJALI YATOKEA YAUA WAWILI NA KUJERUHI NANE HUKO MKATA

$
0
0
 WATU wawili wamefariki dunia hapo hapo na wengine nane kujeruhiwa baada ya gari aina ya  Noah walilokuwa wamepanda kutaka kulipita gari lililkuwa mbele yake na kukutana na lori aina ya Volvo na kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo hivyo.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Costastine Massawe  athibitisha kutokea tukio hilo jana na kueleza tukio hilo lilitokea majira ya saa tano

INTANET YAPIGWA MARUFUKU NA AL SHABAAB KUTUMIWA NCHINI SOMALIA

$
0
0
Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia internet.     Wapiganaji hao wametoa onyo kwa kampuni zote zinazotoa huduma ya internet siku 15 kufunga biashara zao. “kampuni yoyote au mtu yeyote atakayepatikana akipuuza onyo hilo atajulikana kama mtu anayewafanyia kazi maaduzi zetu, na ataadhibiwa

KWA STAILI HII,,,,, SIMU NI KERO KUBWA; MUME AMJERUHI VIBAYA MKEWE KWA KUTOPOKEA SIMU

$
0
0
 Kareny Masasy, HabariLeo, Shinyanga — MWANAMKE mkazi wa Kata ya Lubaga, Sophia Haji (22) Manispaa ya Shinyanga anadaiwa kupigwa na mumewe na kusababishiwa majeraha makubwa kwa kile kilichodaiwa alichelewa kupokea simu ya mumewe.  Polisi inamsaka mwanamume huyo, Daniel Daud ambaye kutokana na kipigo, mkewe alitokwa na damu nyingi sehemu za siri. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Shinyanga,

DR. SLAA AMKANA KADA WA CHADEMA ALIYETEKWA

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amekana na kusisitiza kuwa hajawahi kuwasiliana na Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Temeke, Joseph Patrick ili kumshinikiza ajiuzulu uongozi. Akizungumza na MTANZANIA mjini Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema taarifa zinazotolewa na Patrick kuwa viongozi wakuu wa chama hicho walimlazimisha ajiuzulu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images