JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tisa usiku katika Kitongoji cha Mlimani Kijiji cha Usiulize Kata ya Mwamalole.
Alisema katika tukio hilo,
Mwanamke amuua mpenzi wake kwa kuvuta betri zake ( Korodani ) mkoani Simiyu
↧
↧
Polisi mkoani Morogoro wakamata gari lenye maiti yenye madawa ya kulevya
Jeshi
la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kukamata gari dogo aina ya Toyota
Spacio likiwa limebeba mwili wa mtu aliefariki ambaye alitambulikwa kwa
Jila la Khalid Kitala (47) na kukutwa na kete kadhaa za Madawa ya
Kulevywa tumboni.
Kamanda
wa polisi mkoani Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo na kusema kuwa walipata taarifa za kuwepo kwa gari hilo
↧
Binti mwenye nywele na sura ya kiume asimulia changamoto anazokumbana nazo
Queen ni mtoto wa 4 kati ya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume.....
Akiongea na Domo Langu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
"Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza
↧
Rasimu kuhusu mahakama ya Kadhi Zanzibar yakamilika....
Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi
imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu
kabla ya kufikishwa kwenye Baraza la Mapinduzi.Waziri wa Sheria
na Katiba, Abubakar Khamis Bakary, alisema jana kuwa Rasimu hiyo ambayo
inasubiriwa kwa hamu na makundi ya watu wakiwamo wanaharakati baada ya
kupata baraka za Baraza la Mapinduzi
↧
Taharuki yatanda kufuatia moshi katika majengo ya benki kuu.
Taharuki na hofu ya moto imewakumba wakazi wa jiji la Dar es Salaam
maeneo ya katikati ya jiji kufuatia Moshi mkubwa uliokuwa ukitoka
katika mojawapo ya majengo ya benki kuu ya Tanzania na kusababisha
baadhi ya wakazi hao pamoja na jeshi la polisi akiwemo kamanda wa jeshi
la polisi mkoa wa kipolisi wa Ilala kufika haraka katika eneo la tukio
kutokana na hofu ya kuungua kwa benki hiyo.
↧
↧
Jackie Cliff adaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China
Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa
kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa
kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa swahiliworldplanet bila kufafanua zaidi kwa kusema
kuwa Jackie amekamatwa na madawa ya kulevya China:
"Jackie Cliff
amekamatwa na unga China". alisema star huyo huku akitutumia na picha za
mwanamke aliyefungwa kitambaa
↧
"Natamani kuokoka....Natamani kumrudia yesu kristo"...Aunt Ezekiel
Licha ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma,
staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea
‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka.
Akizungumza na gpl hivi karibuni nyumbani kwake
Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka
ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte
alisema anajisikia kurudi
↧
"Sitavunjika moyo kwa yaliyonikuta...Nitaendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na kukitumikia chama changu"...Shamsi Vuai Nahodha
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi
Vuai Nahodha amesema licha ya kuvuliwa uwaziri ataendelea kuwa kiongozi
wa kisiasa na kukitumikia chama chake na wananchi bila ya kuvunjika
moyo.
Nahodha, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri na Rais Jakaya Kikwete
kutokana na matatizo yaliyotokea katika
↧
Diamond Platnumz kuwasomesha watoto watatu walioshinda shindano la kucheza Ngololo
Diamond Platnumz ni bingwa wa kuitumia karata yake ya Public
Relations vizuri. Mwezi August mwaka huu aliicheza vizuri baada ya
kumfanyia surprise mwanamuziki mkongwe wa Tanzania Muhidin Gurumo kwa
kumnunulia gari kwenye uzinduzi wa video yake ya 'My Number One'
uliofanyika Serena Hotel jijini Dar es Salaam.
Jumatano hii, staa huyo aliyekuwa ameandaa show maalum ya Christmas
↧
↧
Kilichowaponza mawaziri wa Kikwete chabainikia....Kisiporekebishwa, mawaziri wengi wataendelea kung'oka
MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekerwa na tabia ya
watendaji wengi wa serikali kutowajibika ipasavyo na matokeo yake
kuwabebesha mizigo mawaziri na Rais.
Alisema chanzo cha wizara nyingi kutofanya vizuri kunasababishwa na
mfumo mbaya ulioendekezwa na baadhi ya wakurugenzi,makamishna, makatibu
na watendaji walioko chini yao kukosa uzalendo wa kuwajibika kwa
wananchi.
↧
Baada ya Mawaziri kung'olewa.....Je, wakuu wa mikoa na wilaya watapona??...Vipi kuhusu kamati za siasa za mikoa na wilaya??
HATUA ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne kutokana na ‘uzembe’ uliojitokeza
katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza ni ya uungwana.
Ni heshima kwa
kiongozi kuwajibika pale inapotokea anaowaongoza wamefanya uzembe
uliosababisha maafa ama athari yoyote kwa taifa. Vifo, adhabu na
udhalilishaji waliotendewa wananchi wenzetu si haki hata kidogo na
katika hili hatuna maneno rahisi ya kusema
↧
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China....Alikuwa yeye, mtanzania mwingine na Mnigeria mmoja
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana
aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau,
China ni yeye.
“Amekamatwa kweli,” Chief amesema Chief.
“Nilivyosikia story ni
kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda
Macau, Macau ndio akakamatwa.
"Mimi nilijua sababu
↧
Rais Kikwete arejea nchini akitokea Marekani ambapo alikwenda kuangalia afya yake
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York
Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.
Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki
Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika
ulinzi wa Amani
↧
↧
Serikali yatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza
Jumla
ya watahiniwa 411,127 kati ya 427,609 waliofaulu mtihani wa kumaliza
darasa la saba mwaka 2013 wamechaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari
katika shule za Serikali.
Hata hivyo, kwa mujibu wa ofisi ya
Waziri Mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI, wanafunzi
16,484 watashindwa kujiunga na elimu ya sekondari kwa wakati muafaka kutokana na uchache wa madarasa.
↧
Video ya sekunde chache ya kile kilichojiri katika operesheni tokomeza...Ni zaidi ya unyama
↧
Mwanaume mmoja apigwa hadi kufa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu mkoani Kigoma
MTU mmoja m kulima na mkazi wa eneo la Kumsenga wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, aliyefahamika kwa jina la Yusuph Pascal, ameuawa kwa kupigwa na vitu mbalimbali katika tukio linalodaiwa kuwa ni fumanizi la mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Fraisser Kashai alisema mjini hapa kwamba mtuhumiwa huyo wa fumanizi, aliuawa mwanzoni mwa wiki hii.
Alisema baada ya kifo chake, mume wa
↧
Kijana mmoja afungwa kifungo cha maisha baada ya kumlawiti mtoto wa kaka yake mkoani Tabora
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilayani Nzega, Tabora, imemhukumu Juma Lufunga (26) kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa kaka yake na kumsababishia maumivu makali.
Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Joseph Ngomelo alisema Lufunga (26) ametiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumsababishia maumivu makali na hivyo kustahili kifungo
↧
↧
Rais Kikwete awatembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili....
↧
Serikali ya Zanzibar yakabidhi nyumba mpya kwa wananchi wake ikiwa ni moja ya sera zake za kuwajengea wananchi wake makazi mazuri.
Rais
mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.
Amani Abeid Karume amesema majumba ya Mpapa yaliyokabidhiwa kwa wananchi
24 kutoka shehia 6 ya jimbo la bambi yanahitaji kulindwa na kutunzwa
ili yaweze kudumu zaidi uhai wake.
Hayo
ameyasema huko bambi wakati alipokua akiyakabidhi nyumba hizo kwa
familia kadhaa katika sherehe za kuzifungua nyumba hizo kwa
↧
"Bora kuvuliwa nguo na mwanaume kuliko kuuza madawa ya kulevya"....Huu ni ushauri wa Mwamvita makamba kwa akina dada
↧
More Pages to Explore .....