Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wabunge watatu ambao ni wauzaji wa dawa za kulevya wajisalimisha kwenye kamati ya kidini....

$
0
0
Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa  CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha na maadili nje na ndani ya makanisa. Katika mahojiano maalum na NIPASHE Mwenyekiti wa Kamati ya maadili na haki za binadamu  kwa jamii nje na ndani ya madhehebu ya dini,

Watu watano wachomwa moto na wananchi wenye hasira kwa madai ya kuiba mchango wa rambirambi ya Sh. 65,000 msibani

$
0
0
Watu watano wamekufa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kwa madai ya  kuiba mchango wa rambirambi Sh. 65,000. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana saa 7.30 mchana baada ya watuhumiwa kushambuliwa wakiwa mikononi mwa walinzi wa jadi (sungusungu). Watu hao walidaiwa kuiba mchango huo juzi usiku nyumbani kwa  John Ibarabara. Chanzo cha tukio hilo kinadai kuwa  watuhumiwa hao

Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014

$
0
0
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2013 Utangulizi Ndugu zangu; Watanzania Wenzangu; Niruhusuni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima mpaka kufika na kuiona siku hii ya leo ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014. Wapo ndugu,

Diamond afunga mwaka kwa kutoa burudani ya nguvu kwa wakazi wa Mkoa wa Lindi

$
0
0
  Katika heka heka za kuaga mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo mji wa Lindi ulitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kushuhudia onyesho la Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipokuwa akitoa burudan kabambe katika Tamasha la kudumisha Amani na Maendeleo lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,Mhe Bernard Membe na kufanyika katika Uwanja wa Ilulu Manispaa

Wakazi wa jiji la Dar walivyoukaribisha mwaka mpya ndani ya uwanja wa burudani wa Dar Live

$
0
0
Wakazi  wa  jiji  la  Dar  walivyoukaribisha  mwaka  mpya  ndani  ya  uwanja  wa  burudani  wa  Dar  Live       Picha  zote na  Issa Mnally  / GPL

Happy New Year 2014....Asanteni wasomaji wetu kwa sapoti mliyotupa mwaka 2013

$
0
0
Timu  nzima  ya  mtandao  huu  inapenda  kuwatakia  heri  ya  mwaka  mpya  wasomaji  wetu  wote  popote  walipo  nchini  Tanzania  na  duniani  kwa  ujumla.... Moyo  usio  na shukrani hukausha baraka zote, hivyo  kwa moyo mkunjufu   kabisa, Mpekuzi  blog  inapenda  kutoa  shukrani zake  za   dhati kwako   wewe   msomaji wetu  kwa sapoti yako  kubwa    uliyotupa  mwaka  2013  na  kutufanya

Ulinzi waimarishwa jijini Dar....Polisi yatangaza kufanya doria kwa helikopta, Fukwe za bahari zadhibitiwa

$
0
0
POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetangaza leo kufanya doria kwa kutumia helikopta ili kuangalia hali ya usalama katika jiji hilo katika sikukuu ya Mwaka Mpya.   Aidha, imepanga kushirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama, ikiwa ni pamoja na Kikosi cha Zimamoto na uokoaji na vikundi vya ulinzi shirikishi kuhakikisha kunakuwepo udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo

Wakati mgomo wa wafanyabiashara jijini Mwanza ukiingia siku ya tatu leo, TRA yasema haitatumia ubabe tena kuyafunga maduka ya wasio na mashine za EFD

$
0
0
Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).    Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo alisema wameweka mikakati ya kuwaelimisha wafanyabiashara.   Miongoni mwa mikakati hiyo, ni

Sad News: Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa afariki dunia....

$
0
0
Waziri wa Fedha, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, William Mgimwa amefariki dunia leo akiwa hospitali ya Mediclinic Kloff, Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa.   Dr. Mgimwa alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presha ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake. Amina. <!-- adsense -->

Baraza la mawazi laiva....Mawaziri, wabunge waitwa Dar, Dk. Nchimbi, Kagasheki wamo

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya wabunge na mawaziri wakitakiwa kusitisha mapumziko yao ya mwisho wa mwaka na kurejea jijini Dar es Salaam haraka. Miongoni mwa wabunge waliositisha mapumziko yao na kurejea nchini ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi, aliyekuwa nchini Afrika Kusini na aliyekuwa

"Siri ya mafanikio yangu ni Martin Kadinda...Yeye ndo mtu pekee aijuaye siri ya mafanikio yangu"...Wema Sepetu

$
0
0
MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda. Wema Sepetu ameuambia mtandao wa FilamCentral  kuwa hana rafiki anayejua siri zake zaidi ya meneja huyo ambaye amekuwa akimuongoza vema. “Kadinda ndo kila kitu kwangu, hata akiondoka na

Rais Kikwete aomboleza kifo cha waziri wa Fedha, mh. William Mgimwa aliyefariki leo

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William Mgimwa, aliyekuwa pia Mbunge wa Jimbo la Kalenga(Mkoa wa Iringa) kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).   Rais Kikwete amesema kuwa taifa limempoteza Waziri Mgimwa katika kipindi lilipokuwa linamhitaji zaidi kutokana na mchango

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akaribishwa CHADEMA kwa mikono miwili....Mbowe adai kwamba chama chake kiko tayari kufanya naye kazi

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kimesema wanaombeza kwa madai kwamba rushwa anayoipigia kelele iliasisiwa wakati akiwa madarakani, hawalitakii mema taifa. Kauli ya kumkaribisha Sumaye kujiunga na Chadema ilitolewa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, juzi

Rais Kikwete awapongeza mawaziri waliojiuzulu.....Asema wameonyesha ukomavu wa kisiasa

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete, amewapa pole mawaziri wanne waliofutwa nyadhifa zao kutokana na matatizo yaliyowakuta na kuwapongeza kwa uamuzi wa kukubali kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na maofisa wa chini yao wakati wa utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri ambao uteuzi wao ulitenguliwa na Rais Kikwete ni Dk. Emmanuel Nchimbi (Mambo ya Ndani); Mathayo David Mathayo (Mifugo na

Aibu yamfanya Ray ashindwe kupiga busu Lulu Michael....

$
0
0
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu.  Akizungumza katika kituo kimoja cha runinga cha jijini Dar hivi karibuni, Ray alisema licha ya kuwa Lulu alikuwa anastahili kuigiza katika sinema ya Woman Principle miaka kadhaa iliyopita,

Mchungaji Peter Msigwa asisitiza kuwa Zitto Kabwe ni lazima avuliwe uanachama wa CHADEMA kesho

$
0
0
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto. “Kuna mlolongo wa mambo yaliyofanya Chadema ikachukua hatua kali dhidi ya Zitto, mambo hayo yamesemwa sana na viongozi wetu; Januari 3, vikao vya chama vitaanza mchakato wa kuhitimisha suala hilo,” alisema.  “Amekwishaandikiwa

"Nimeanza safari yenye matumaini makubwa kwa Watanzania kwa kuwa itakuwa na elimu bure, maji safi na salama na huduma za afya zenye uhakika"...LOWASSA

$
0
0
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.   Lowassa alisema hayo jana katika Ibada ya shukurani yake na familia yake, kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Monduli mkoani Arusha.   Ibada hiyo ilikwenda sanjari na

"Natamani na naomba sana Jack Cliff ANYONGWE na afe kabisa "...Hii ni kauli ya Ray C

$
0
0
Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.   Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote, lakini mizuka ya kufunguka ilikuja kupanda baada ya

Zitto Kabwe aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kumjadili kesho

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya  Chadema, Zitto Kabwe leo ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania,Kanda ya Dar es Salaam kuweka pingamizi la kisheria kuzuia Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA uliopangwa kufanyika kesho tarehe 3/1/2014. Zitto kupitia kwa Wakili wake Albert Gabriel Msando,aliwasilisha pingamizi hilo kwa Hati ya dharura iliyosainiwa na Wakili Msando. Pingamizi hilo

Kauli ya Zitto Kabwe baada ya Mahakama jana kumpa ushindi dhidi ya CHADEMA

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe jana alitinga  mahakama kuu  kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa kikutane leo.   Hii  ni  kauli  yake  baada  ya  mahakama  kumpa  ushindi; "Jana tulikwenda mahakamani kwa ajili ya jambo moja tu kutaka haki itendeke kwa sababu mahakaama ndiyo chombo cha juu kabisa kwenye nchi yetu cha kuweza kutenda haki
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images