Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Diana Kimaro wa bongo movie ajuta kuianika BIKRA yake mitandaoni

$
0
0
  Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikira na hajawahi kulala  na mwanaume yeyote kwani yupo busy na shule....   Diana aliyasema hayo katika kuweka wazi kuwa baadhi ya watu walikuwa wanamuona ni mcharuko kutokana na baadhi ya filamu alizoigiza kama mcharuko na kucheza vizuri hivyo wengine kudhani ni kweli. ... Hata hivyo

Taarifa kuhusu bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika tarehe 1 /1/ 2014

$
0
0
Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015. Vilevile TANESCO waliomba kuidhinishwa kwa

Watu saba wakamatwa wakijiandaa kulipua nyumba za Ibada

$
0
0
  Na Oscar Assenga, Korogwe -- JESHI la Polisi mkoani  hapa kwa kushirikiana na wakazi wa Kijiji cha Maili kumi wilayani Korogwe wamefanikiwa kuwakamata watu saba kwa tuhuma za kuhusika na kuweka mabomu  yaliyokuwa yameandaliwa tayari kwa kulipuka kwenye nyumba mbili tofauti za ibada.Pamoja na mabomu hayo,  watuhumiwa hao ambao majina yao yanahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi

"Nilijazwa mimba nikiwa na umri mdogo sana....Jamii ilinitenga, ila ujasiri ulinisaidia"....Madam Rita

$
0
0
  Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.   Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa.   “Jambo moja msilofahamu

Dr. Slaa akerwa na mapokezi ya Zitto Kabwe Kigoma na kuamua kumzuia kufanya mikutano......Zitto amjibu na kudai kuwa katiba ya nchi inamruhusu kufanya mikutano hiyo

$
0
0
  Zitto Kabwe jana  amefanya mkutano wa 3 ndani  ya Mkoa wa Kigoma,mikutano hii  ilianza siku ya Jumamosi kwa  sehemu ya Mwandiga mahali alipozaliwa na kukulia,Kasulu ilikua juzi  na jana kafanya Kigoma mjini eneo la Mwanga kwenye uwanja wa Community Centre....   Mkutano ulianza sa 10 kiitifaki ulitanguliwa na viongozi wa Chadema wa mkoa,kisha Zitto Kabwe kupanda Jukwaani na moja kati ya

Wahamiaji haramu warejea kwa kasi Kagera....Ni wahamiaji wanaojiita M23 na wanadaiwa kuwatisha wananchi na kupora mali zao

$
0
0
  Katika hali isiyo ya kawaida, wahamiaji haramu waliorejeshwa nchini mwao na serikali katika ‘Operesheni Kimbunga’ wameanza kurejea kwa wingi katika Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera wakijiita M23 na kupora mali za wananchi kwa nguvu.   Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhandisi Benedict Kitenga, aliyasema hayo  wakati akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa huo Kanali mstaafu, Fabian Massawe ambaye alitembelea

Wastara awaomba mashabiki kuungana naye 28 Dec makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki

$
0
0
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua maalum ya Sajuki Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook. “28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi wa kipenzi changu kipenzi chenu

Kijana mmoja ashambuliwa hadi kufariki dunia maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam baada ya kusemekana kwamba ni mchawi aliyedondoka na ungo

$
0
0
Wananchi wakiwa hasira kali wamempiga  hadi kumuua mwanaume aliyedhaniwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam.   Jamaa huyo mkazi wa Mwanza anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25, alianguka jana saa 12 asubuhi maeneo ya Mbezi Luis baada ya kudai kuwa alikuwa kwenye safari zake za kishirikina.   Mashuhuda

Tunawatakia sikukuu njema ya Christmas...

$
0
0
Tunapenda  kuwatakia  sikukuu  njema  wasomaji  wetu  wote....Mungu  awabariki  na  kuwalinda.

Wadau wapinga bei mpya za umeme

$
0
0
Baadhi ya wachumi na wadau mbalimbali wa nishati ya umeme wameikosoa hatua ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) baada ya kuongeza gharama za umeme kwa maelezo kuwa hatua hiyo itamkandamiza mwananchi wa kawaida.    Kauli hizo zimekuja siku moja baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei mpya za umeme huku kukiwa na ongezeko kubwa.  

Gazeti la Mtanzania litakuwa mtaani tena kuanzia ijumaa ya wiki hii baada ya serikali kulifunga kwa siku 90

$
0
0
GAZETI la Mtanzania ambalo serikali ililifungia kuchapishwa kwa muda wa siku 90 kwa kile ilichokieleza kuwa ni kuandika habari za uchochezi sasa litaanza tena kuchapishwa na kusambazwa nchini Ijumaa ya Disemba 27, 2013.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, kwa gazeti hili, uamuzi huo mpya umefikiwa

Sura mpya ya baraza jipya la mawaziri litakaloundwa na JK muda wowote kuanzia sasa....

$
0
0
MABADILIKO makubwa ya Baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanywa wakati wowote kuanzia sasa na Rais Jakaya Kikwete yameanza kuonyesha kila dalili za kuibua sura mpya na ambazo hazitarajiwi na wengi sambamba na kupanda kwa baadhi ya manaibu waziri...Dodoso zilizofanywa na RAI kutoka kwa watu wa kada na rika mbalimbali kuhusu muundo mpya wa Baraza la Mawaziri zimeonyesha kuwa iwapo rais

Mazingaombwe ya CHADEMA jijini Mwanza....Vurugu kubwa zaibuka kati ya Meya na Madiwani wa CHADEMA

$
0
0
ILIKUWA ni kama uwanja wa vita na mipasho, ndivyo unavyoweza kusema, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata na madiwani wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  Vurugu hizo ziliibuka jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela baada ya Matata kuwataka madiwani watatu wa Chadema kutoka nje ya

Kocha wa Simba afariki dunia....

$
0
0
  Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam.   Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amina <!-- adsense -->

Video ya wapenzi wakingonoka vichakani yanaswa

$
0
0
Hakika  mapenzi  hayana  heshima...Baba  mtu  mzima  mwenye  mke  na  watoto  amefuamiwa  live  na  Domo Langu akingonoka  kichakani  na  binti  yake  wa  kazi.... Kwa mujibu  wa mtandao wa Domo Langu, wawili  hao  walifuniwa  jana  mchana  katika  kijiji  cha  mkwaju  na  kisha  wakafikishwa  ofisi  ya  mtendaji  wakiwa  chini  ya  ulinzi << VIDEO  IKO  HAPA >> Kwa  maelezo  na 

Dk. Emmanuel Nchimbi ampigia magoti mwenyezi Mungu ili ampe moyo wa kusamehe kwa mambo aliyotendewa

$
0
0
SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo na kusamehe.    Nchimbi ambaye ni mbunge wa Songea Mjini kwa tiketi ya CCM, alisema hayo juzi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, wakati akisherehekea kutimiza miaka 42 ya

Baada ya kumtema Penny...Diamond amtangaza rasmi Wema Sepetu kuwa ni Mchumba wake

$
0
0
Tukio hilo lilitokea  jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo....   Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa "ukimwona" akasema:  “Nasikia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.   Baada  ya

Mwanafunzi abakwa kikatili mkoani Singida....Sehemu zake za siri na makalio vyote vimeoza na vinaoa usaha....Hili ni simulizi lake

$
0
0
  Mwanafunzi  wa kike,13, (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la tano katika shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda ambaye ni dereva wa bodaboda. Akizungumza kwa shida kutokana na maumivu makali aliyonayo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, denti huyo alisema kwamba mkasa huo ulimpata Novemba 19,

Rais Kikwete kuwasili leo nchini na SIRI nzito....Je, ataamua kuendelea kufanya kazi na Pinda??...Katiba inasemaje??

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete anatua nchini leo akiwa na lake moyoni kuhusu hatima ya baraza lake la mawaziri, baada ya kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne, wiki mbili zilizopita.    Rais Kikwete alikwenda Marekani, Desemba 18, mwaka huu kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na akiwa huko, upepo wa kisiasa ulibadilika na kumlazimisha kuchukua hatua hiyo ambayo inampa wajibu wa kupanga upya safu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu

$
0
0
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.    Gazeti  la The Citizen, lilimkariri Pinda jana akisema kwa sasa anahitaji amani na utulivu katika kipindi hiki cha sikukuu baada ya shughuli za kikao kilichopita cha Bunge.   Katika kikao hicho,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images