Mimi Samson Mwigamba, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) ninawasilisha malalamiko yangu kwa Msajili wa vyama
na ninaomba atoe mwongozo kuhusu mgogoro wa kikatiba uliopo ndani ya
Chama kufuatia kipengele cha katiba kinachogusia ukomo wa uongozi
kubadilishwa kinyume na utaratibu.
Katiba ya Chadema ya mwaka 2004 kipengele 5.3.2 (c) inasomeka ifuatavyo kuhusu Muda
Samson Mwigamba amtaka msajili wa vyama vya siasa aingile kati swala la ukomo wa Madaraka lililo ondolewa kinyemela na viongozi wa juu wa CHADEMA
↧
↧
Tangazo la nafasi mpya za kazi...Mwisho wa maombi ni tarehe 31 mwezi huu mpaka 15 mwezi wa kwanza ...Bofya hapa ujionee,
Jukwaa la Taaluma na Ajira lina nafasi 15 za kazi kwa ajili yako mtanzania mwenzangu.....
Tarehe za mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 16, 20, 31 mwezi huu na tarehe 31 mwezi wa kwanza....
Baadhi ya nafasi hizo ni Madreva, watumishi wa ofisi, ma technician, marketing and PR Manager,Occupational health officer na nyingine nyingi....
Bofya hapo chini
↧
Bad News: Basi la Burudani lapinduka na kuua watu 12 huku wengine wakijeruhiwa vibaya
↧
Bungeni moto... azimio lapitishwa kumtaka waziri Hawa Ghasia na manaibu wake wang'oke TAMISEMI
Bunge limepitisha azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kujipima iwapo wanatosha kuendelea kuongoza wizara hiyo nyeti.
Azimio hilo lilipitishwa jana na wabunge kwa kura ya ndiyo bila kupingwa, baada ya kuhojiwa na Spika wa Bunge Anne Makinda iwapo wanaipokea taarifa ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (Laac)
↧
Je, unampenda Lulu Michael na unataka awe mkeo?....Kama jibu ni ndio basi andaa mahari ya sh. 800,000 ili ombi lako likubaliwe
Imevuja kuwa mwanaume atakayetaka kumuoa staa wa sinema za Kibongo,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ atalazimika kutoa si chini ya shilingi laki
nane (800,000) kama mahari ili kumuoa mwigizaji huyo.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu, wanaume wengi wamekuwa
wakimendea kufunga ndoa na Lulu lakini wakashindwa njia za kumpata.
Ilidaiwa
kuwa kikwazo kikubwa wanachokutana nacho ni namna ya
↧
↧
Sheik Ponda akwama mahakama kuu...Mahakama yaagiza mawakili wake wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeagiza mawakili wanaomtetea Shekhe Ponda Issa Ponda, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu na mamlaka husika kutokana na kufanyia marekebisho hati za kiapo zilizokuwa na makosa ya kisheria ambazo zilikuwa tayari zimewasilishwa mahakamani hapo.Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Rose Temba, jijini Dar es Salaam jana wakati kesi hiyo ilipofikishwa mahakamani hapo
↧
'Kama itatokea leo hii nikavuliwa uwaziri mkuu, binafsi nitafurahi sana kwa kuwa kazi hii ni mzigo mkubwa"....Waziri mkuu ameliambia bunge leo asubuhi
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliambia Bunge muda mfupi uliopita kwamba kama
ikitokea Rais akamng'oa katika nafasi yake ya uwaziri mkuu, yeye atafurahi sana
kwa kuwa kazi anayoifanya ni mzigo mkubwa.
" Kama ningeambiwa LEO ningeondolewa katika nafasi hii, basi dada Rukia mimi ningefurahi kwa kuwa ningekuwa nimetua mzigo.
"Dada Rukia, hii kazi huombi, Rais anaangalia na
↧
Uganda yaanza kuilipa mabilioni Tanzania ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.
SERIKALI ya Uganda tayari
imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6
kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa
mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.
Hayo yalibainishwa bungeni jana na
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Shamsi Vuai Nahodha,
wakati akijibu swali la msingi la Mbunge wa Mbinga,
↧
Picha za majeruhu katika basi la Burudani lililoua watu 12 na kujeruhi 55 -Handeni Tanga
Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
Basi la
↧
↧
Baada ya kuripotiwa kakamatwa na Madawa ya kulevya nchini Brazil, Aisha Bui aonekana Saluni ya Nisha sinza
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa
nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini
hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha
iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.
Mwadada huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa
wenzake alionekana kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha) akiwekwa sawa
nywele
↧
Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Kenya leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia)
wakiwa katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika
uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.
Kushoto ni Mwenyeji Rais
Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William
Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na
Rais Pierre Nkurunzinza
↧
Muonekano mpya wa msanii Agness Masogange.......
↧
"Walionizomea na kunifanyia vurugu kule Kasulu wamefikishwa mahakamani".....Hii ni kauli ya Dr. Slaa
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dk. Wilbrod
Slaa, amesema kuwa vijana waliomfanyia fujo katika mkutano wake
Wilayani Kasulu, wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.
Hayo aliyasema juzi mjini Kigoma alipokuwa akihutubia mkutano wa
hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Mwanga Center Kigoma mjini,
uliohudhuriwa na mamia ya wapenzi wa chama hicho
↧
↧
Dr. Asha Rose Migiro aapishwa rasmi kuwa mbunge....
MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma.
Dk Migiro aliapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda jana saa tatu asubuhi baada ya kuingia bungeni akisindikizwa na wabunge .
Baada ya kuapishwa, Dk Migiro alipongezwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
↧
" Filamu za kibongo haziuziki bila kutumia wasichana warembo"...Tino
Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua
na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zao.
Kwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’ kinachowavuta
wanunuzi wa filamu za Tanzania. Ujuzi wa uigizaji na kipaji, si sababu
kwao.
Akiongea na gazeti la Mwanaspoti, Tino alisema warembo hao pamoja na
kuzifanya filamu zivutie pia huwa
↧
Picha tatu za Wema Sepetu akiwa ndani ya pozi la nusu uchi.....
Wema Sepetu amejikuta akijishushia heshma yake baada ya kutupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa
amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake hasa matiti, kitovu na kifua kwa ujumla..
Katika picha hizo ambazo zinapatikana instagram, Wema Sepetu anaonekana akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane huku
↧
Watu 6 wapoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi mkoani Kilimanjaro
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.
Miili ya baadhi ya
↧
↧
Vita ya mabilioni ya uswisi: Mwanasheri mkuu wa serikali adai kuwa Zitto Kabwe ni Mnafiki na Muongo mkubwa......Lema ataka apewe hayo majina ili awataje bila uoga
SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi
jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick
Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku
Mbunge wa Arusha Godbless akiwataka wote wawili wampe majina ayataje
hadharani kama wanashikwa na woga.
Huku Zitto akisisitiza kuwa serikali haionyeshi nia ya kuwachukulia
hatua
↧
Edward Lowassa ( waziri mkuu mstaafu ) na abiria wengine 41 wanusurika kifo katika ajali ya ndege jijini Arusha leo mchana
Abiria kadhaa akiwemo
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wamenusurika
kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne
ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Arusha leo mchana.
Ndege
hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo
wakati ikitua, ambapo Matairi yote manne ya nyuma yalipasuka na
↧
Shilole aivaa laana ya mzee Small baada ya kumzushia kifo.
MSANII
wa muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amejikuta katika wakati
mgumu baada ya kuandika juu ya uzushi wa kifo cha msanii mkongwe, Said
Ngamba ‘Mzee Small’ kupitia mtandao wa Instargram.
Shilole ambaye baada ya kugundua kuwa hakuwa sahihi kuandika juu ya
kifo hicho kwani haikuwa kweli, alilazimika kukanusha na ndipo akaanza
kuporomoshewa ‘mvua’ ya matusi.
Baadhi ya
↧
More Pages to Explore .....