Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo.
Wakichangia Azimio hilo, wabunge wametaka kutokana na kifo cha mpigania uhuru huyo kujifunza kwa kutolipiza kisasi kwa kusameheana na kuvumiliana katika kila jambo, hususan suala la Katiba na
Bunge lasitisha shughuli zake na kutoa azimio la kumuenzi Rais Nelson Mandela.....
↧
↧
Mrema aongoza maandamano wilayani Moshi ya kudai vyoo kwenye masoko
Mbunge
wa Vunjo, Agustine Mrema (TLP), ameongoza maandamano ya amani wilayani
Moshi Vijijini kuishinikiza serikali kujenga vyoo na kupunguza kero za
wafanya biashara wa masoko yaliyopo wilayani humo.
Hatua hiyo imetokana na malalamiko ya wananchi kwa muda mrefu.
Mrema aliongoza maandamano hayo wiki iliyopita baada ya kuhutubia
mkutano katika kata ya Kruwa Vunjo Kusini ikiwa ni
↧
Tanzania yatimiza miaka 52 ya uhuru leo
Tanzania leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru katika sherehe zitakazofanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mgeni rasmi atakuwa Rais
Jakaya Kikwete ambaye atakagua gharide la askari wa mvikosi vya ulinzi
na usalama.
Aidha, sherehe hizo zitapambwa na halaiki, sarakati, vikundi mbalimbali
vya burudani zikiwamo ngoma za
↧
"Nchi hii haina mmiliki na kila mtu ana haki ya kwenda popote ....Lazima niende Kigoma mjini, mkinipiga hiyo ni mipango ya Mungu"....Dr. Slaa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa, amesema wanaodai asikanyage Kigoma Mjini wanapoteza muda
wao kwani hatishwi wala haogopi na hata ikitokea amepigwa risasi na
kufa Mwenyezi Mungu atakuwa ameridhia hivyo.
Ametoa msimamo huo jana wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Malumba Jimbo la Kasulu Mjini kwenye mkutano wa hadhara.
“Kama ni
↧
Baby Madaha anusurika kubakwa.....
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’
amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama
machokoraa.
Tukio hilo lilitokea pande za Mombasa nchini Kenya
wakati nyota huyo alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake uitwao The Gal
Bladder ambapo vijana hao walikatisha shughuli nzima na kuanza
kumkimbiza Baby Madaha.
“Daah! Ilikuwa noma,
↧
↧
Rais Kikwete awashauri wanaopanga kulipa kisasi wakipata madaraka waache na badala yake waige mfano wa mzee Mandela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete
amewashauri watu wanaopanga kulipa kisasi pindi watakapopata madaraka
kuachana na mawazo hayo.
Rais Kikwete ametoa ushauri huo wakati akitoa hotuba yake kwenye
sherehe za maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanzania Bara, ambapo
ameelezea mengi mazuri aliyoyafanya rais wa kwanza mzalendo wa Afrika
Kusini, Nelson Mandela
↧
Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475...Akina nani hao?? ..BOFYA HAPA
Katika kuadhimisha miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475.
Taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh. Emmanuel
Nchimbi imesema wafungwa watakaonufaika na msamaha huo wa rais ni wale
wagonjwa wa Ukimwi, kifua kikuu na saratani ambao wako kwenye hali
mbaya. Wengine ni wazee wenye umri zaidi ya miaka 70 walioingia
↧
Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mazishi ya mzee Nelson Mandela....
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia
leo Desemba 10, 2013 tayari kuhudhuria maziko ya Rais Mstaafu wa Afrika
Kusini Mzee Nelson R. Mandela.
Kwa
mujibu wa taarifa rasmi ya serikali, Ibada Kuu ya kumwombea Marehemu
itafanyika leo Desemba 10, 2013 katika Uwanja wa FNB Johannesburg,
ambapo viongozi na watu mashuhuri mbalimbali kutoka kila pembe
↧
Kwa nini ufanye mapenzi na mbuzi wakati kuna mabinti wazuri kama hawa???...Bofya hapa ujipatie mwenza wako.
Kwa nini ufanye mapenzi na mbuzi au kuku wakati kuna mabinti wazuri kama hawa??...Kwa nini uteseke kujichua wakati kuna watoto wazuri kama hawa???
Je upo single na umechoka kujichua au kufarijiwa na mbuzi....Kama jibu ni ndio, bofya hapo chini ukutane na watoto wazuri wa kiafrika wanaotafuta wapenzi.....
Kutangaza ombi la kutafuta
↧
↧
Nora adai kuwa Ray anamfitini kwa sababu alimtongoza akamkataa...bofya hapa umsikilize
Muigizaji wa kike aliyefanya vizuri kupitia kundi la Kaole Sanaa
Group, Nuru Nassoro aka Nora amedai kuwa amekuwa akifanyiwa fitina na
muigizaji mwenzake Vicent Kigosi aka Ray kwa kuwa aliwahi kumtaka
kimapenzi akamkataa.
Nora amefunguka kupitia kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm na
kudai kuwa Ray amekuwa akimbania hata kwenye baadhi ya makampuni ambayo
anapeleka kazi
↧
Msiba wa mzee Mandela wawakutanisha Rais Obama na Raul Castro wa Cuba na kujikuta wakipeana mikono kwa mara ya kwanza
Rais Barack Obama wa Marekani leo amejikuta akipeana mkono na hasimu wake Raul Castro ambaye ni rais wa Cuba na pia ni mdogo wake na Fidel Castro...
Ilikuwaje....??
Rais Obama ni miongoni mwa marais waliokuwa wamechaguliwa kuzungumza wakati wa kuuga mwili wa mzee Mandela....
Kabla ya kushika kipaza sauti ili kutoa neno, Obama alianza kwa
↧
Hizi ni Picha mbalimbali za kuuombea mwili wa mzee Mandela huko Afrika Kusini...Marais zaidi ya 100 wamehudhuria akiwemo Rais Kikwete
↧
Ruth wa Project fame aomba radhi kwa vazi la nusu uchi alilovaa kwenye fainali za shindano hilo
Mshindi wa shindano la tano la Project fame Mkenya Ruth Matete
ameomba radhi kutokana na vazi alilovaa wakati akiimba kwenye fainali za
shindano hili mwaka huu, fainali ambazo zilifanyika weekend iliyopita
Nairobi Kenya...
Ruth ambae ni kiongozi wa timu ya kusifu na kuabudu kwenye kanisa la
House of Grace, aliomba msamaha kupitia page yake ya twitter kwa kile
kinachoonekana na
↧
↧
Zitto Kabwe leo atajibu mashitaka yake 11 anayotuhumiwa na CHADEMA...... Mashitaka hayo yatajibiwa na mwanasheria wake mbele ya waandishi wa habari
MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson
Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya
habari katika Hoteli ya Serena leo tarehe 11/12/2013 kuanzia saa nne na
nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi)
Dhima ya mkutano huu itakuwa
kutoa ufafafunuzi juu ya mashitaka 11 na majibu yake ambayo Mhe. Zitto
Kabwe na washitakiwa wenzake walipewa na
↧
Mrema agawana mshahara na wapigakura wake jimboni
Mbunge
wa Vunjo, Agustine Mrema ( TLP), amesema ameamua kugawana mshahara
wake na wananchi wa Vunjo kwa kuwapa mitaji ya biashara kinamama na
vijana wa jimbo hilo ili kuendeleza biashara zao na watamrejeshea baada
ya nwaka mmoja.
Mrema aliyasema hayo wilayani Moshi wakati akigawa fedha kwenye vikundi
vya wajasiriamali na kusema amekuwa akifanya hivyo kila mwaka, lakini
wananchi
↧
Wanafunzi wa vyuo vikuu washauriwa kuacha biashara haramu ya Ngono.....
WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kuacha kujihusisha katika biashara zisizofaa za kuuza miili yao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana lijulikanalo kama Restless Development, Joseph Bukula, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa upimaji afya kwa hiari
↧
Mwanamziki wa FM Academia afanyiwa kitu mbaya.....Wahuni wampora na kumvua nguo
Kitendo alichofanyiwa mwanamuziki wa Bendi
ya FM Academia ya jijini Dar anayejulikana kwa jina moja la Flora
alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii ya
Kitanzania.
Flora akiwa amepata kinywaji ili kuchangamsha mwili wake alijikuta
akipigwa na vijana wawili wanaofanya kazi ya kuendesha Bajaj akiwa
amewakodi kwa ajili ya kurudi nyumbani kwake.
Tukio hilo
↧
↧
Familia ya Mzee Small yakanusha taarifa za uongo zinazodai kwamba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
Ni mastaa zaidi ya 10 wa Tanzania ambao wamezushiwa kifo ndani ya
mwaka 2013 na stori zote zikawa za uongo baadae, miongoni mwao ni
Mwasiti na Mr Blue.
December 10 2013 kuanzia saa nne usiku
taarifa zilezile za kuzushiwa kifo zimemuangukia mwigizaji mzee Small
ambae ni kweli kwa kipindi kirefu amekua akiugua.
Hii ni kauli ya msanii huyo baada ya kutembelewa na Millard Ayo
↧
Kauli ya kutolipiza kisasi aliyoitoa Rais Kikwete yaibua mapya....Profesa Baregu amtaka aombe radhi kwa kuwa serikali yake imejaa visasi
KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye maadhimisho ya miaka 52
ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam, kwa
kuwataka watu wanaotaka uongozi kutokuwa na visasi imezua maswali kwa
baadhi ya wasomi na wanasiasa.
Hatua hiyo imekuja kutokana na hotuba yake aliyoitoa kwenye
maadhimisho hayo, Rais Kikwete bila ya kumtaja mtu wala chama,
aliwanyooshea
↧
Taarifa ya mwanasheria wa Zitto Kabwe kuhusu maamuzi ya Zitto baada ya kupatiwa mashitaka yake 11....Amezungumzia pia vurugu za Kigoma
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi.
Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana tarehe 10/12/2013 amefanya hivyo kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji za Chama Pia
Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) ametoa taarifa kwa Katibu Mkuu wa
Chama kumueleza nia yake kukata
↧
More Pages to Explore .....