Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu Michael na Young D wafumaniwa wakifanya mapenzi ndani ya gari

$
0
0
  Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu mwanadada wa Bongo Movies na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D 'Young Dar es Salaam' kama mwenyewe anavyojiita baada ya wawili hao kukutwa kwenye gari wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya mdada na mkaka kufunga ndoa.

Mtuhumiwa sugu wa UBAKAJI jijini Arusha anasurika kuuawa baada ya kunaswa live akimlawiti mwanafunzi hadi akazimia

$
0
0
   ( Hii siyo picha ya tukio.Ni picha wakilishi tu  ya  mtandaon ) Habari na Joseph Ngilisho, Arusha --Kinara sugu wa ubakaji ,Selemeni Said(30) mkazi wa Mbauda jijini hapa,amenusulika kufa kwa kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kufumwa, akiwa na wenzake wakimbaka mwanafunzi wa kidato cha pili na kumsababishia kupoteza fahamu.Saidi anayetajwa kuwa mwenyekiti wa kundi la

Mwanamke abakwa na kuchomekwa chupa za soda katika sehemu zake za siri na kisha kunyongwa huko Chalinze

$
0
0
   Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga...   Tukio hilo la kutisha lilijiri usiku wa Desemba 7, mwaka huu Chalinze Kwamwarabu ambapo mwanamke huyo alikwenda kujumuika na ndugu na majirani katika mkesha wa ngoma ya kuwatoa wari siku ya Jumapili.

Zitto Kabwe amjibu mwanasheria mkuu wa Serikali....Adai kuwa mwanasheria ni muongo mkubwa.. Yeye alishampa majina muda mrefu sana

$
0
0
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema atamjibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema juu ya kauli aliyoisema bungeni kwamba mbunge huyo hana majina ya Watanzania walioficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi. Zitto alisema kwa kuwa Jaji Werema alimshambulia kupitia bunge naye atatoa majibu bungeni ili ukweli uweze kujulikana.   Zitto alitoa kauli

Mawaziri saba ambao ni mizigo ndani ya CCM wahojiwa na kamati kuu ya chama hicho...Hii ni kauli ya chama hicho baada ya kuwahoji

$
0
0
  NA BASHIR NKOROMO Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete imeibuka na masuala mazito kadhaa, ambayo leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (pichani) ameyaeleza wakati akizungumza na waandishi wa Habari, Katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba jijini Dar

Dalili 15 za mwanaume PUNGA

$
0
0
Naomba  nikudokezee  mambo  machache  unayoyakosa  toka  jukwaa  la  Fikra  huru  ambalo  ni  forum  ya  mtandao  huu.... -Nafasi  za kazi -Jinsi  ya  ku unlock  simu  yako  ( aina  yoyote ) -Jinsi  ya  ku  unlock  modem  yako (  aina  yoyote ) -Wanaotafuta  wapenzi  wa  kudumu  na  part- time -Elimu  ya  computer  na  utundu  wa  mitandaoni -Stori za mapenzi Stori  mojawapo  ya 

Mbowe aikanyaga ardhi ya jiji la Mwanza.....Leo atakuwa na mkutano wa hadhara katika maeneo ya chuo kikuu cha SAUT

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya Malimbe, katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), jijini Mwanza.     Mkutano huo ni mwendelezo wa harakati za kujenga na kuimarisha chama, ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa, Dk. Willibrod Slaa kwa sasa yupo katika ziara

" Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya GONGO kisheria"....Dr. Slaa

$
0
0
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo.   Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya

Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea hivi sasa kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape

$
0
0
Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika mwendazake Nelson Mandela.   Takriban watu 4,500 wakiwemo wageni wa kimataifa wanahudhuria mazishi hayo ambayo ni ya mchanganyiko wa tamaduni za kale na mambo ya kisasa.   Familia ya Mandela ilikesha wakijiandaa kwa mazishi ya leo huku

Live Stream inayorusha mazishi ya Nelson Mandela LIVE kutoka Afrika Kusin

$
0
0
  Live  Stream  inayorusha  mazishi  ya  Nelson  Mandela  LIVE  kutoka  Afrika  Kusin

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

$
0
0
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza ndugu Clement  Mabina  ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kisesa jijini Mwanza...   Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji

Mengi azijibu tuhuma za kifisadi na ubinafsi zilizoelekezwa kwake na waziri wa nishati na madini (Profesa Muhongo)

$
0
0
  1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee  kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti.2. Mimi binafsi nitapata heshima ya kushiriki kama kiongozi wa sekta binafsi chini ya TPSF. Lakini limekuwepo tatizo la mambo yaliosemwa na Mhe. Profesa Muhongo kunihusu ambayo ningependa niyafafanue ili

Watanzania waisifia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa leo katika mazishi ya mzee Mandela huko Afrika Kusini

$
0
0
Watanzania mbalimbali wameisifia hotuba iliyotolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye siku hii ya maziko ya Mzee Nelson Mandela Jumapili December 15 2013..... Hotuba  iko  hapo  chini, kama  hukuisikiliza, basi  bofya  hapo ili  ummwagie  sifa  Rais  wetu  kwa  jinsi  alivyotuwakilisha  leo

Watanzania maskini wafikia milioni 4.2

$
0
0
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) inaonyesha Watanzania milioni 4.2 wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwa kupata Sh886 kwa siku.    Ripoti hiyo inabainisha kuwa Watanzania hao ambao wanaishi mijini na vijijini, wanapata Sh26,000 kwa mwezi, ambayo ni sawa na Sh866 kwa siku.   Akizindua Toleo la Nne la Taarifa ya Hali ya Uchumi nchini

Sababu 100 za kwa nini hotuba ya Rais Kikwete kumuaga Mandela ilikuwa bora zaidi

$
0
0
Ndugu zangu,  NOTHING can come from NOTHING. Wamesema hili Wanafalsafa wa Uyunani ya Kale .Nilimwona na kumsikiliza Rais wetu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye siku muhimu ya kumuaga kwa mara ya mwisho Mzee wetu Nelson Mandela.    Muda wote wa hotuba yake, JK alibaki kwenye mstari kwa namna ile ile ya kuweka bayana kwa ulimwengu, kuwa ' msione vinaelea'.    Hakika alichofanya JK

Lulu Michael azijibu tuhuma za kufumaniwa akifanya mapenzi ndani ya gari

$
0
0
Mwishoni  mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa.    Kwa mujibu wa habari hizo

Rose Muhando hatimaye amevunja ukimya kwa kuachia hii video ya WOLOLO chini ya label ya kimataifa inayomsimamia kwa sasa- Sony Music Africa.

$
0
0
Muimbaji wa muziki wa injili nchini Rose Muhando hatimaye amevunja ukimya kwa kuachia video chini ya label ya kimataifa inayomsimamia kwa sasa Sony Music Africa. Video ya Rose Muhando ‘Wololo’ pia imekuwa certified na mtandao wa video za muziki wa Marekani VEVO. Video hii imepandishwa youtube December 13 kupitia channel ya RoseMuhandoVEVO.

Kigoma All-Stars yapagawisha Mombasa lakini Recho aponzwa na tamaa za ngono ...., Maunda azomewa na kujikuta akilia kama mtoto

$
0
0
  Wiki iliyopita, wanamuziki wa Kigoma All stars akiwemo Diamond Platnumz na wengine walikuwa mjini Mombasa, Kenya kwenye show ya sehemu ya ziara yao katika nchini za Afrika Mashariki.  Pamoja na kupiga show kali,  kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kenya, Recho aliwatia aibu kubwa wasanii wenzie wakati wakiongea na waandishi wa habari baada ya show.   "Mwanamuziki wa Tanzania

Mbowe ampa MAKAVU Zitto Kabwe huko Mwanza.....Adai kuwa chama chake hakiko tayari kuwavumilia Wasaliti

$
0
0
  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemvaa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na kusema kamwe chama hicho hakiwezi kuvumilia usaliti wa aina yoyote.   Akizungumza mjini Mwanza  jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Malimbe, alisema kwa namna yoyote ile hawatamfumbia macho mtu yeyote anayekwenda kinyume cha katiba na

Mr. Nice apata shavu jipya la kufanya filamu na kampun ya VAD Film Production ya Dernmark.....

$
0
0
  Msanii  mkongwe  wa  mziki  nchini  Tanzania  maarufu  kwa  jina  la  Mr. Nice  amepata  shavu  jipya  la  kufanya  filamu  moja  na  kampuni  ya  VAD Film Production ambayo   ni  kampuni  ya  kiafrika  maarufu  kwa  ajili  ya  waafrika wanaoishi nchini Denmark wakiwa wamejikita katika utengenezaji wa filamu kwa kutumia Lugha ya Kiswahili...        Hapa  akiwa na maojiano na dada
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images