Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mshindi wa shindano la EBSS mwaka huu ni Emmannuel Msuya...Tazama alivyojibebea milioni 50 alfajiri ya leo

$
0
0
Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika leo alfajiri  kwenye ukumbi wa Escape 1. Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Barnaba,Makomando,YoungKiller,waterchilambo,Shaa,Kimbunga na Snura.   Mashindano hayo yalikua na jumla ya washiriki watano  ambao ni Amina Chibaba,

Uongozi wa bunge wataka Kapuya ashitakiwe....CCM nao waanza kumuumbua

$
0
0
WAKATI Jeshi la Polisi likiendelea kukwepa kumkamata Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi na kutishia kumuua, uongozi wa Bunge umeingilia kati ukitaka achukuliwe hatua.    Chama Cha Mapinduzi (CCM) nacho kimeibuka na kueleza kushangazwa na kitendo cha mbunge huyo kuikana namba yake ya simu 0784 993 930 wakati ipo hata kwenye

Marais wa Eac watia saini huko KAMAPALA kuhusu itifaki ya kutumia sarafu moja

$
0
0
 L-R ni Marais: Pierre Nkurunzinza (Burundi), Jakaya Mrisho Kikwete (Tanzania), Uhuru Kenyatta (Kenya), Yoweri Museveni (Uganda) na Paul Kagame (Rwanda) muda mfupi baada ya kutia saini itifaki ya Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki (picha: Freddy Maro/IKULU)  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa 30 Nov 2013 ( jana ) Viongozi wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo kwa pamoja

CHADEMA yapukutika: Mwenyekiti mkoa wa Lindi ajiuzulu na kujitoa uanachama...Adai kuchoshwa na unafiki, udini na ukabila.

$
0
0
SASA ni dhahiri kwamba hali si shwari ndani ya Chadema, baada ya viongozi zaidi kuendelea kuachia ngazi kwa kile walichodai kuchoshwa na hali ya mambo katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Taifa, Said Arfi kujiuzulu wadhifa wake mwishoni mwa wiki iliyopita, jana ilikuwa zamu ya Mwenyekiti wa Chadema mkoani Lindi, Ally Chitanda aliyetangaza

Binti wa kitanzania ( Rachel Jose ) amuanika rafiki yake ( Minza ) akiwa uchi kisa eti kamuibia mume wake...

$
0
0
Huyu  ni  Minza  aliyeanikwa  akiwa  Uchi. Mabinti  wawili  waliotambulika  kwa  majina  ya  Rachel  Jose  na  Minza  wamejikuta  wakitia  aibu  baada  ya  kuanza  kusambaza  picha  zao za  uchi  wakilipizana  visasi  baada  ya  kuibiana  mwanaume.. Anayedaiwa  kuiba  mpenzi  wa  mwenzake  ni  Minza  ambaye  amejikuta  akiisherehekea  vibaya  siku  ya  UKIMWI  duniani  baada  ya  picha 

Viongozi wazidi kujitoa: Katibu wa CHADEMA wilaya ya Chunya naye aachia ngazi na kujiunga CCM...

$
0
0
Katibu wa chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya,Bwa Bryson Mwasimba akionesha kadi yake ya chama hicho na  kuirejesha kwa chama cha CCM mara baada ya kuachia ngazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kata ya Lupa Tinga Tinga,Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Ndugu Kinana na ujumbe wake yuko mkoani Mbeya kwenye ziara kukagua

Matawi 189 ya CHADEMA jijini mwanza yatishia kuandamana endapo Mbowe na Dr. Slaa hawatajiuzulu kabla ya tarehe 4 disemba na endapo watakanyaga Mwanza basi watawapiga mawe

$
0
0
TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI  HARAMU WA KAMATI KUU YA CHADEMA. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI Ndugu wanahabari, mbele yenu ni muunganiko wa wawakilishi wa matawi 189 ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoa wa mwanza. Umoja huu wa matawi unawajumuisha wajumbe kutoka majimbo yote ya mkoa wa mwanza. Hivyo katika kikao chetu tulichoketi

Haya ndo makosa 11 ambayo CHADEMA wanamtuhumu Zitto Kabwe na wenzake...Kosa lake kubwa ni nia ya kugombea uenyekiti Taifa

$
0
0
MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.   Chanzo chetu cha habari kilichoona mashitaka hayo kabla ya kutumwa kwa washitakiwa, kimebainisha kuwa makosa saba kati ya makosa 11, yanahusu kugombea uenyekiti Taifa, au kumkashifu

Khadija Kopa avamiwa na vijana wahuni baada ya kukatiza mtaani akiwa na mwanaume waliyedai ni Shoga

$
0
0
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume  aliyekuwa  amevaa  nguo  za  kike’. Tukio hilo lilijiri maeneo ya Kariakoo, Dar wiki iliyopita ambapo vijana hao walianza kwa kuzomea wakitaka kumshika mwanaume huyo waliyedai alikuwa amevaa nguo za jinsia ya kike

Katibu wa chama cha madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

$
0
0
MAKAMU wa Rais wa Chama cha Madakatri Tanzania (MAT), Dk Rodrick Kabangila, amejiuzulu nafasi hiyo na kuelekeza nguvu kwenye uteuzi mpya wa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa Magharibi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema).   Akizungumza jana Dar es Salaam, Kabangila alisema amefanya uamuzi huo bila kushurutishwa na anaamini kwa kufanya hivyo ataondoa mgongano wa kimaslahi kati ya

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemvua madaraka ya uongozi Dr. Kitila Mkumbo kwa madai ya kujihusisha na uongozi wa vyama vya siasa

$
0
0
  \Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE). Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa

Lulu Michael awahamasisha vijana kupima UKIMWI

$
0
0
Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu amesema vijana wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.   Akizungumza na mwandishi wetu jana katika usiku wa Red Ribbon Fashion Galla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam, Lulu alisema siku ya Ukimwi duniani inatukumbusha kuangalia tumetoka wapi na tunakwenda wapi na

ZAWADI: Jipatie zawadi ya sh. laki tatu ( 300,000) kwa kushiriki shindano la Forum Yetu

$
0
0
Mpendwa  msomaji; Tunapenda  kukuarifu  kuwa  kuna  zawadi  ya sh. 300,000  itakayogawanywa  kwa  washindi  watatu Shindano  hilo  limeanza  leo katika  forum yetu ya Fikra Huru  na  litamaliza  baada  ya  siku  30  kutoka  leo.... Jinsi  ya  kushiriki: Jiunge  na  Forum  yetu  na  kisha  anza  kupost  habari  au  maada  yoyote  ya  maana itakayojadiliwa  na  wadau  wengine....

Picha za uchi zaivunja ndoa ya msanii

$
0
0
Ndoa  ya  msanii  maarufu  wa  kinigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la  Uche Iwuji  imesambaratika  rasmi  kufuatia  picha  zake  za  uchi  kuvuja  mitandaoni.... Mrembo  huyo  ambaye  mungu  alimjalia  kupata  mtoto  mwezi  wa  nane  alikuwa  chini  ya  himaya  ya  Mr. Juwon Lawal  ambaye  ni  Mnigeria  mfanyabiashara  wa  kimataifa... Katika  mahojiano  na  mitandao  ya  nchini  hiyo, Mr.

Hali ni Mbaya Kigoma: Viongozi wa CHADEMA mkoani humo wazuia ziara ya Dr. Slaa wakihofiwa usalama wake

$
0
0
TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili na Kuboresha ujio wa ziara ya Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa Mkoani Kigoma 5/12/2013 - Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa mikutano si chini ya miwili kwa kila jimbo na baadae mkutano wa mwisho,

Lowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto Masasi...Milioni 103 zapatikana

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo.  Askofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini. <!-- adsense -->

Rais Kikwete amteua Engineer F. Mramba kuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme Tanzania ( TANESCO )

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Engineer Felchesmi Mramba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam jana, Jumatatu, Desemba 2, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza  jana. Kabla ya uteuzi wake, Eng. Mramba alikuwa Kaimu

Mahakama yaombwa kukataa ombi la Sheikh Ponda la kuifuta kesi yake

$
0
0
Maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ya kuomba ufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama, yamebaki njiapanda baada ya Jamhuri kuyawekea pingamizi la kisheria, ikiiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iyatupilie mbali.   Wakili Mkuu wa Serikali, Bernard Kongola alidai hayo jana mbele ya Jaji Rose Temba kabla ombi hilo halijaanza

Binti afungwa jela mwezi mmoja baada ya kukiri kufanya biashara haramu ya ngono

$
0
0
MSICHANA Dorika Kanomba (18) amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela au kulipa faini ya Sh 150,000 baada ya kukiri kosa la kukutwa akifanya biashara haramu ya kuuza mwili. Washitakiwa wengine tisa waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive kwa kosa hilo, wamerejeshwa mahabusu baada ya kukana mashitaka yanayowakabili.   Akitoa hukumu jana, Hakimu wa mahakama hiyo, Said

Wanawake waongoza kwa virusi vya UKIMWI huko Tarime

$
0
0
Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wanaongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ukilinganisha na wanaume.    Sababu kubwa zinazoelezwa kuchangia hali hiyo ni mwendelezo wa mila potofu, ndoa za jinsia moja, kurithi wajane, ndoa za wake wengi, ukeketaji, kuachana wanandoa na umaskini wa kipato.   Akisoma risala Siku ya Ukimwi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images