Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"Sitishiki, Sitamwogopa mtu mpaka naenda kaburini....Gari lolote litakalozidisha mizigo ntalitoza faini kwa mujibu wa sheria"..Waziri Magufuli

$
0
0
Waziri  wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa ataisimamia sheria namba 30  ya mwaka 1973 ya usalama barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2001 inayohusu kiwango cha mwisho cha uzito wa magari pasipo kumwogopa mtu yeyote kwa kuyatoza magari yote yatakayozidisha uzito.   Kadhalika, ametoa wito kwa wakandarasi  nchini kujenga barabara zenye viwango huku akiwataka Wakala wa

Irene Paul aelezea changamoto aliyoipata baada ya kuigiza kama CHANDUDOA kwenye filamu ya Shujaa

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini, Irene Paul amesema haikuwa rahisi kuigiza kama changudoa (msichana anayejiuza mwili) kwenye filamu kuhusu masuala ya Ukimwi, Shujaa. Akiongea na mtandao wa Bongo5, Irene alisema hajawahi kufanya filamu ya aina hiyo lakini alipofuatwa kuigiza hakusita kukubali kwakuwa alitaka kuonesha utofauti katika uigizaji wake.  Hata hivyo aliongeza kuwa wakati wa kushoot

Binti aanikwa uchi na mpenzi wake baada ya kumsaliti

$
0
0
Binti  mmoja  amejikuta  akiambulia  aibu  ya  mwisho  wa  mwaka  baada  ya  picha  zake  chafu  kuvuja  mitandaoni....Kwa  mujibu  wa  mitandao  ya  kijamii  iliyozinasa  picha  hizi, binti  huyu  anadaiwa  kumsaliti  mpenzi  wake  ambaye  aliamua  kuingia  katika  account  yake  ya  facebook  na  kuzianika  picha  zake  chafu  ambazo  aliwahi  mpiga  enzi  hizo  penzi  likiwa  utosini....

Irene Uwoya alimwa matusi na mashabiki mtandaoni ..Lengo lake lilikuwa ni kuweka picha ya kifo cha muigizaji Paul Walker, yeye akakosea na kuweka ya Van Diesel

$
0
0
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker . Lakini post ya Irene imechukuliwa tofauti baada ya ku-post picha ya Van Diesel na kuandika maneno mazito. Labda alikosea ku-post picha kwa bahati mbaya lakini unafahamu kinachotokea kwenye mitandao ya kijamii kwa watu maarufu

CHADEMA yazidi kubomoka: Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Singida naye ajiuzulu

$
0
0
  WILFRED NOEL KITUNDU MWENYEKITI CHADEMA MKOA SINGIDA S.L.P 260 3.12.2013 KATIBU WA CHADEMA MKOA S.L.P 260 SINGIDA   YAH: - KUJIUZURU UENYEKITI MKOA SINGIDA Somo hapo lahusika, Ninapenda kukuarifu kuwa nimeamua kujiuuzuru nafasi yangu ya uenyekiti wa mkoa ambayo nimekuwa nikiitumikia kwa kipindi kirefu sasa kama kielelezo cha kuamini na kudai demokrasia ya

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Singida ailaani kamati kuu ya chama hicho dhidi ya UPUUZI inaoufanya..Hili ni tamko lake alilolitoa

$
0
0
MSIMAMO WA MWENYEKITI CHADEMA MKOA WA SINGIDA DHIDI YA UAMUZI WA KAMATI KUU YA CHAMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI Ikumbukwe kwamba mimi ndio mwanachama wa kwanza kujiunga na CHADEMA mkoa wa SINGIDA na ni mtu wa 300 kitaifa kujiunga na Chama hiki. Nimejiunga mwaka 1992 siku ya mkutano mkuu kwanza wa uzinduzi chama uliofanyika mnazi mmoja. Nimekuwa nikijitolea vya kutosha nguvu

Hali ni Mbaya: Ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha yachomwa moto

$
0
0
Ofisi  ya  CHADEMA  mkoani  Arusha  imechomwa  moto  na  watu  wasiojulikana. Picha  zilizopachkwa  hapo  chini  zinaonesha  sehemu  ya  tukio  hilo  huku  polisi  wakiendelea  na  uchunguzi  wao   <!-- adsense -->

Baada ya ofisi za CHADEMA kuchomwa moto.....vijana wa Arusha wamtungia wimbo wa ushujaa Godbless Lema

$
0
0
Baada  ya  ngome  kuu  ya  CHADEMA  kupigwa  kiberiti  leo  mchana, vijana  wa  Arusha  wameamua  kuingia  studio  na  kurekodi  wimbo  wa  Ushujaa  wa  Godless  Lema.... Baadhi  ya  mashairi; *Arusha  ni  nchi, na Lema  ni  Rais .  *Mkimuua  Lema  , lazima  tuwape  Mimba *Lema  ni  sauti  ya  Arusha, ukiisikiliza  lazima  upate  mzuka Sikiliza  track  yenyewe   hapo  chini:

Rais Kikwete amteua Dr. Asha Rose Migiro kuwa mbunge wa heshima

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.   Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.   Dr. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu

Hofu ya vyeti feki Serikalini yatanda....Watumishi wote sasa kuhakikiwa vyeti vyao upya

$
0
0
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, limetoa mwezi mmoja kwa watumishi wake wote  kuwasilisha vyeti vyao ili viweze kufanyiwa uhakiki ili kubaini kama kuna vyeti feki. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Job Masima, aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa Mafunzo ya Elimu ya Hifadhi ya Jamii yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).

Dr. Slaa akubali kusogeza mbele ziara ya kutembelea majimbo nane ya mkoa wa Kigoma

$
0
0
MWANGWI wa uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema wa kumvua madaraka aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto  Kabwe na wenzake, mbali na kutikisa katika kanda sita kati ya kanda nane muhimu za chama hicho nchini, sasa umeanza kukubalika na Sekretarieti ya chama hicho Taifa.   Jana Kurugenzi ya Habari ya Chadema, ilituma ratiba ya ziara za Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, mikoani iliyoonesha

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 27 februari 9 -2014

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa kujaza viti vilivyo wazi vya madiwani katika kata 27 zilizoko katika halmashauri 23, utafanyika Februari 9, mwakani. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema jana kuwa viti hivyo vimekuwa katika kata hizo, kutokana na baadhi ya madiwani kufariki dunia na wengine kupoteza sifa. Kata hizo na halmashauri zake

"Tutakilinda chama chetu kwa nguvu zote na hatuko tayari kuwavumilia Wasaliti"....BAVICHA

$
0
0
Baraza la Vijana la Chama chama Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limesema litakilinda chama chao kwa nguvu na kwamba halitamvumilia atakayebainika kufanya vitendo vya kukihujumu.   Limesema kuwa uanachama ndani ya chama chao ni imani na siyo ushabiki, hivyo hawataruhusu mtu yeyote kuichezea hata kama mtu huyo atakuwa na umaarufu wa kupindukia.   Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John

Nini kifanyike kuwasaidia hawa wanafunzi wasipige hizi picha?...Karibu katika mjadala huu, mawazo yako ni muhimu sana

$
0
0
Mwanafunzi  mmoja  naye  amejikuta  akionja  machungu  ya  utandawazi  baada  ya  rafiki  zake  kumsaliti  na  kuzianika  picha  zake  chafu  akiwa  hosteli....  Maswali  ya  kujiuliza:  1.Kwa  nini  upige  picha  kama  hizi? 2.Kwa  nini  wanawake  tu? 3. Serikali  zilaumiwe? ( wanapiga  wenyewe, zikivuja  ndo  wanaanza  kulalama.)4. Mitandao  ya  kijamii  ina  makosa?  Majibu  haya  na

Muonekano mpya wa msanii Jokate Mwegelo

$
0
0
  Huu  ni  msanii  mpya  wa  mrembo  Jokate  Mwegelo <!-- adsense -->

Mahakama ya Rufaa yamwachia huru Kajala Masanja....

$
0
0
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema

Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA....Ukiisoma kwa makini utagundua mengi yaliyojificha

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA Ndugu wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zilizopo mtaa wa Ngarenaro, Halmashauri ya jiji la

FIFA yaipa Tanzania mgawo wa tiketi 260 za Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.....Kama unahitaji, tuma barua ya maombi TFF

$
0
0
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeipa Tanzania mgawo wa tiketi 260 za Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil. Watanzania wanaohitaji tiketi hizo wanatakiwa kutuma maombi TFF kwa maandishi wakielezea aina ya tiketi na mechi wanazotaka kushuhudia. Hakuna tiketi zitakazoombwa FIFA bila kuwepo maombi kwa maandishi. Tiketi zilizopo kwa Tanzania ni kaa

Picha za Mkutano wa katibu mkuu wa CCM wakati akihitimisha ziara yake jijini Mbeya

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni mkutano wa kuhitimisha ziara yake katika mkoa huo, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.  Katibu NEC,Itikadi na

Picha za mkutano wa Dr. Slaa Kahama mjini siku ya jana

$
0
0
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini jana. Dk. Slaa akiendelea na mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama  jana. <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images