Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Zitto Kabwe asababisha vijana wa CHADEMA wapigane na kuchana bendea za chama hicho

$
0
0
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao wameamua kupigana ngumi na  kuchana  bendera  za  chama  hicho. Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, alivuliwa nyadhifa zake sambamba na aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Mkumbo

Mwanafunzi wa chuo kikuu apiga picha za utupu

$
0
0
Mwanafunzi  mmoja  wa  chuo  kikuu  jijini  amejiukuta  akionja  machungu  ya  ulimbukeni  wa  mapenzi  baada  ya  picha  zake  za  utupu  kuvuja  na  kusambaa  mitandaoni.... Katika  picha  hizo, mrembo  huyo  msomi  anaonekana  akitimiza  haja  ya  mpenzi  wake  kwa  mapozi  kadhaa  ya  picha  ambayo  ni  kinyume  na  maadili  ya  kiafrika.... Haijafahamika  mara  moja  chanzo  cha 

Muonekano mpya wa msanii Lulu Michael

$
0
0
  Huu  ni  muonekano  mpya  wa  kibinti  kibichi  maarufu  kwa  jina  la  Elizabeth  Michael   <!-- adsense -->

Wema Sepetu ajuta kutumia mikorogo, aanza kuitamani ngozi yake ya awali

$
0
0
Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza kujichubua.    Chanzo kimoja makini ambacho kipo karibu na Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimetutonya kuwa Wema anajuta kujichubua na hajiamini tena katika urembo tofauti na miaka ya nyuma kwani kila mtu sasa hivi

Wolper afunguka: Ali Kiba alinifundisha mapenzi, nilimpenda zaidi Jux, Diamond alikuwa halali bila kuniona

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini, Jacky Wolper amesema pamoja na kuwa na uhusiano na mastaa wenzie akiwemo Diamond Platnumz, ni Ali Kiba ndiye aliyemtambulisha kwenye ulimwengu mtamu wa mapenzi. Akiongea na Global Publishers, muigizaji huyo ambaye jina lake la utani ni Wolper Gambe alisema aliachana na Ali Kiba kwakuwa wanawake wengi walikuwa wakimtamani.   “Ni kitambo kidogo. Wote hatukuwa

Samson Mwigamba atishia kuuanika waraka haramu wa MBOWE wenye lengo la kummaliza Zitto Kabwe...Adai kuwa CHADEMA makao makuu IMEOZA

$
0
0
TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013 Jumatano, 27 Novemba 2013 Jana katika taarifa kwa waandishi wa habari, Mhe. Tundu Lissu na Mhe. John Mnyika waliudanganya umma kuhusu waraka unaohusu Mkakati wa Mabadiliko 2013. Katika maelezo yao waheshimiwa hawa, pamoja na mambo mengine, walidai kuwa waraka uliosambazwa kwenye vyombo

Wanawake tutakuwa watumwa wa mapenzi mpaka lini??...Mwangalie huyu dada wa kizanzibar aliyekubali kucheza uchi ili asiachike

$
0
0
Ulimbukeni  wa  mapenzi  umeendelea  kuwaangamiza  akina  dada  wenye  kupenda  miteremko.... Wengi  kati  yao  wamejikuta  wakiishia  kuwa  watumwa  wa  penzi kwa  kukubali  ama  kupigwa  picha  za  uchi  au  kurekodiwa  video wakiwa uchi  eti  kwa  kisingizio  kwamba  kukubali  kupigwa  uchi  ni  udhihirisho  kwamba  anampenda  boy  wake  na  kwamba  hatamsaliti.... Huyu  dada ni 

Mshindi wa EBSS kutotumia zawadi kwa mapenzi yake, atatakiwa kuwekeza kwenye muziki pia

$
0
0
Waandaji wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search, wamesema mshindi wa mwaka huu ambaye ataibuka na kitita cha shilingi milioni 50, atasimamiwa na uongozi wa shindano hilo ili kuhakikisha fedha hizo zinatumika pia katika kuendelea maisha yake ya muziki na sio kuzitumia kwa matakwa binafsi.   Mwanzilishi wa show hiyo ambaye pia ni jaji mkuu, Rita Paulsen aka Madam Rita,

Ray na Chuchu Hans wajianika live, penzi lao siyo siri tena....Johari asalimu amri.

$
0
0
  AMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri tena baada ya wahusika hao wakuu kujiachia ‘live’. KIMAHABA ZAIDIIshu hiyo ilitokea mapema wiki hii ambapo Chuchu alitundika picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Ray chumbani kimahaba. Kufuatia

Kapuya hakamatiki....atua jijini Dar kwa mbwembwe, polisi wamgwaya.

$
0
0
HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, amerejea nchini jana akitokea nchini Sweden, huku Jeshi la Polisi likikwama kumtia mbaroni kama lilivyokuwa likitamba.    Wakati mbunge huyo akiwasili nchini na kupokewa na kusindikizwa na wapambe wake, Bunge limeridhia kukamatwa kwake kwani tuhuma zinazomkabili ni za jinai

Profesa Baregu aitahadharisha CHADEMA kuhusu kumtimua Zitto Kabwe... asema ni vigumu kuamini kama tuhuma dhidi yake na wenzake zinaweza kuyeyusha mema waliyokitendea.

$
0
0
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili.    “Bahati nzuri wamevuliwa uongozi siyo uanachama, binafsi nadhani  viongozi wanatakiwa kutafakari na kudhibiti madhara zaidi

Jose Chameleone kutumbuiza jijini Mwanza December 24 katika mkesha wa christmas

$
0
0
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone akisaini mkataba wa wa kupiga show jijini Mwanza itakayofanyika tarehe 24/12/2013  katika mkesha wa kuikaribisha sikukuu ya Christmas kuanzia saa 12 jioni hadi majogoo, tukio linalotazamiwa kufanyika katika ufukwe wa Charcoal Ribs Mwanza  ---------------- Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone anatarajia kuwaburudisha wakazi wa

Picha za Rais Kikwete wakati wa mapokezi ya kombe la dunia lilipotua jijini mwanza leo

$
0
0
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa CM Kirumba jijini  Mwanza leo jioni. <!-- adsense -->

Katibu mkuu wa CHADEMA na wanachama 92 wa tawi la UDOM warudisha kadi za chama hicho na kujiunga CCM

$
0
0
  Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo,CHADEMA  leo  kimepata  pigo  jipya  baada  ya  kupoteza  wanachama  wake 92  wakiongozwa  na  katibu  wao  ndugu Simon Mpandalume... Mdau  wetu  toka  Dodoma  ametuarifu  kuwa  wanachama  hao  wamefikia  maamuzi  ya  kurudisha  kadi za  CHADEMA  na  kujiunga  na  CCM  kutokana  na  kukerwa  na  hatua  ya  chama  hicho kumvua  Zitto Kabwe  nafasi  zote

Wananchi wa jiji la Arusha ambao ni wafuasi wa CHADEMA waandamana na mabango wakimshinikiza Godbless Lema ajiuzulu kwa kuwa jimbo limemshinda

$
0
0
Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani).. Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa Mbunge wa Arusha, Godbless Lema ndo chanzo cha vurugu ndani ya CHADEMA kwa kuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha

JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.    Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16.   Ingawa Rais

Rais Kikwete awasili jijini Kampala kuhudhuria mkutano wa EAC....Maada kuu watakazoongelea ni pamoja na Sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki. ***************** Wakuu wa nchi zinazounda jumuiya ya Africa Mashariki wanakutana leo tarehe 30 Novemba huko Kampala, Uganda.  Wakuu hao ni pamoja na

"Diamond si msanii wa muziki bali ni msanii wa ngono anayefanya biashara ya muziki kupitia mapenzi."...Baby Madaha

$
0
0
  MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la Baby Madaha amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii bali ni mfanyabiashara  ya  ngono.   Madaha amesema kwamba Diamond si mwanamuziki na kwamwe huwezi kumlinganisha na msanii kama Barnaba Boy, anayefanya muziki kama sanaa

"Wastara atafanyishwa sana mapenzi kinyume na maumbile mwaka huu....Naukumbuka sana ujinga wa Bond"..Aunt Lulu

$
0
0
Mjane wa msanii wa filam nchini(Sajuki) Wastara Sajuki, amefunguka  tena  kwamba hana mpango wa kuingia katika mahusiano ya mapenzi kwa sasa. Wastara ametoa kauli hiyo kufuatia uvumi uliosambaa  kwamba star huyo wa filamu nchini anamahusiano ya  kimapenzi na msanii mwenzake  Bond Bin Suleiman. Wakati Wastara akitoa kauli hiyo, watu mbalimbali akiwemo mwanamke aliyewahi kukimbia penzi

CHADEMA wamemvua uongozi yule mwenyekiti aliyeongoza maandamano ya mabango kumpinga Godbless Lema....Mliosema MPEKUZI tunapendelea naomba msisahau kukomenti hapa

$
0
0
KUKOMA KUWA KIONGOZI KWA MWENYEKITI WA WILAYA YA MONDULI MCHUNGAJI AMANI SILANGA MOLLEL   Kwa niaba ya baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, napenda kuujulisha umma wote kwa ujumla kuwa mwenyekiti wa wilaya ya monduli Mchungaji Amani Silanga Mollel amekoma/amesimamishwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya monduli kuanzia tarehe 29 Novemba 2013 kufuatia tuhuma nzito za uvunjifu wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images