Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hii ni spesho kwa wapenda mauno tu....Ni video ya Snura AKIVURUGWA hadi huruma

$
0
0
  August 2013  Snura aliacha  single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo na  sasa  ameishusha  video  hiyo  ya  kuvurugwa  kwake… itazame hapa chini

Album ya picha 10 za Binti wa kichaga akinadi Ch*pi zake za mitumba huku akiwa mtupu kama alivyozaliwa.....Aibu tupu

$
0
0
Huwezi amini, Huyu  ni  mtanzania  mwenzetu, Tofauti yake  na dada  zetu  wa bongo ni  kwamba  yeye  anaishi  nje ya nje... Hii  ndo  tofauti  pekee  ninayoiona  mimi. Sijataka  kuzunguzia  mambo  ya  urembo, huenda  ikaleta  mjadala  mkubwa..... Mambo  anayoyafanya  huyu dada  yetu yanatia  kichefuchefu....Kama  ni  kujiuza, nadhani  huyu  kazidi. Ni  bora  kujipanga barabarani  usiku

Dr. Kitila Mkumbo azikataa salamu za pole toka kwa Mwigulu Nchema kwa madai kuwa ni mnafiki

$
0
0
  Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Kitila Mkumbo, amemshambulia kwa maneno na kumrushia vijembe Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba, kuwa kauli ya kumpa pole baada ya kusikia amevuliwa uongozi ni kiherehere.  Dk. Kitila alitoa kauli hiyo juzi mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Saalam, baada ya kutoa tamko lake

CHADEMA yawakaanga tena Zitto Kabwe na Dr Kitila......Haya ndo mambo yaliyojiri katika kikao chao cha leo na wanahabari

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akionyesha waraka aliodai kuwa ni orijino badala ya ule uliosambazwa kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari aliodai kuwa ni feki, kushoto ni Mbunge wa Ubungo John Mnyika na Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi Wilfred Lwakatare.   --------------- Katika mkutano wa Chadema na wanahabari leo Novemba 26, 2013, mheshimiwa John Mnyika, Tundu Lissu na

Mtoto avunjwa kidole na mwalimu wake baada ya kuingia darasani na nywele ndefu jijini Mbeya.

$
0
0
Wiki ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na watoto ikiwa imeanza kuadhimishwa duniani Novemba 25 mwaka huu bado vitendo hivyo vimezidi kushamiri Mkoani Mbeya ambapo mwanafunzi wa darasa la nne shule ya msingi Aiport Kata ya Iyela jijini Jacline Staniely [9] ameumizwa mkono wake wa kushoto. Jacline akiongea kwa ridhaa ya mama yake amesema alipigwa kwa kutumia ubao na mwalimu

Serikali yatoa onyo kwa wanaume wanaowapiga picha za uchi wapenzi wao, Bofya hapa umsikie

$
0
0
  Serikali yatoa onyo kwa wanaume wanaowapiga picha za uchi wapenzi wao, Bofya hapa umsikie Serikali imesema haitavumilia mtu au kundi la watu wa aina yoyote ambao watabainika kuendeleza vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia na kutaka jamii kutumia madawati ya jinsia katika vituo vya polisi  kuripoti matukio yote ya aina hiyo ili yadhibitiwe kabla ya kuleta madhara

VIDEO: Msikilize Tundu Lissu akimsomea makosa 11 Zitto Kabwe ya kupanga kukipindua chama cha CHADEMA.

$
0
0
  Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe na wenzie sambamba na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kwa nini wasivuliwe uanachama kufuatia waraka wa siri walioundika na kukamatwa hivi karibuni.    Mkurugenzi wa habari na uenezi Chadema Mh. John Mnyika amesema barua hizo zilizoainisha

Mke wa mtu apiga picha chafu za Utupu jijini Mwanza baada ya kuzidisha pombe.

$
0
0
Mwanamke  mmoja  ambaye  ni mke  wa  mtu  na mkazi  wa  jiji  la  Mwanza  amejikuta  ndani  ya  aibu  nzito  baada ya  kulewa  pombe  na  kisha  kujipiga  za  utupu...Habari  zinaarifu  kuwa  mwanamke  huyo  alitinga  ndani  ya  gesti  moja yenye  kaunta  ya  baa   mida  ya  mchana na  kuanza  kupata  vinywaji ( bia ) Muda mfupi baadae, mzee  mmoja  alijumuika  na  mama  huyo  na  kuendelea

Mwigulu Nchemba amchambua Dr. Kitila Mkumbo....Anadai kuwa ni mwanasiasa mchanga ambaye hawezi kumnyima usingizi

$
0
0
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba, amemchambua mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa ni mchanga kwenye siasa hivyo hamuogopi. Hatua hiyo ya Mwigulu imekuja baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita, Dk. Kitila kumshangaa mbunge huyo wa Iramba Magharibi, kuwa amejifanya kumwonea huruma katika kipindi hiki ambacho

Naibu Waziri wa Nishati atakiwa kuwaomba RADHI watanzania baada ya kuwaambia kuwa atakayeshindwa kumudu gharama mpya za umeme akae gizazi au atumie kibatari

$
0
0
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, kuwaomba radhi Watanzania kutokana na kutoa kauli ya kukatisha tamaa.   Simbachawene,  juzi alitoa kauli ya serikali ya kupandisha bei ya umeme kama Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), lilivyoomba hivi karibuni kutaka kuongeza gharama za nishati hiyo kwa asilimia 68

CHADEMA bado hali ni tete...Zitto Kabwe amburuza polisi katibu wa chama hicho akimtuhumu kuusambaza waraka wa siri uliomchafua

$
0
0
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi akimshitaki mmoja wa viongozi wenzake.   Habari za kuaminika zimedai kuwa Zitto ambaye hivi karibuni alivuliwa cheo chake cha unaibu katibu mkuu wa CHADEMA, inadaiwa amefungua mashitaka polisi

Serikali yatangaza nafasi za kazi 2,748

$
0
0
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania  wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa ajili ya waajiri mbalimbali Nchini.   Kwa mujibu wa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi nafasi hizo za kazi ambazo zinapatikana katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ambayo ni

Polisi yapiga marufuku kuuza visu, sime, mapanga barabarani ili kupunguza matukio ya watu kujiua kwa wivu wa mapenzi

$
0
0
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imepiga marufuku biashara ya kutembeza visu, sime na mapanga barabarani na kusema yeyote atakayekiuka agizo hilo atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.  Akizungumza Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Kamishna Suleiman Kova alisema jeshi hilo lipo katika mchakato wa kupendekeza sheria mpya ya matumizi ya silaha na umiliki ili

ZAWADI: Jipatie zawadi ya sh. laki tatu ( 300,000) kwa kushiriki shindano la Forum Yetu

$
0
0
Mpendwa  msomaji; Tunapenda  kukuarifu  kuwa  kuna  zawadi  ya sh. 300,000  itakayogawanywa  kwa  washindi  watatu Shindano  hilo  limeanza  leo katika  forum yetu ya Fikra Huru  na  litamaliza  baada  ya  siku  30  kutoka  leo.... Jinsi  ya  kushiriki: Jiunge  na  Forum  yetu  na  kisha  anza  kupost  habari  au  maada  yoyote  ya  maana itakayojadiliwa  na  wadau  wengine....

Aibu: Mtoto wa King Kikii apiga picha za Uchi, mumewe azimia baada ya kuzifuma na kumuona akimegwa na mwanaume mwingine live.

$
0
0
Jesca  Kikumbi  ambaye ni  binti  wa  mwanamziki  nguli  nchini,King Kikii  amejikuta  kwenye  fedheha  kubwa  kufuatia  picha  zake  za  uchi  kufumwa  na  mumewe  aliyetambuliwa  kwa  jina  moja  la  Akoro...Jesca  na  mwanaume  huyo  walifunga  ndoa  ya  kilokole agosti 1 mwaka 2010  jijini  Dar  lakini  waliweza  kuifurahia  ndoa  yao  kwa  muda mfupi  tu  kwani  tangu  siku  hiyo  ndoa

Uanachama wa Zitto Kabwe ni Moto CHADEMA.....Steven Wasira adai kuwa dhambi ya ubaguzi wa kikabila itakimaliza chama hicho

$
0
0
UANACHAMA wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe umetajwa kuwa ‘kaa la moto’ kwa uongozi wa chama hicho hata kabla ya kiongozi huyo kujibu mashitaka 11 yanayomkabili ili kunusuru uanachama wake.   Duru za siasa ndani ya chama hicho, zinasema Chadema haiko tayari kukabiliana na mtikisiko wa Zitto kuvuliwa uanachama, kwa kuwa hatua ya kuvuliwa madaraka tayari imegharimu umoja

Kitale: nimejifunza mengi kwenye kifo cha Sharo Milionea, nimeacha ujumbe kwa mama yangu nikifa yasijirudie kwangu

$
0
0
Muigizaji na mwimbaji nchini Kitale yuko Tanga alipoenda kuhudhuria Dua ya kumuombea marehemu Sharo Milionea ikiwa ni mwaka mmoja tangu afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari.   Kitale ambaye ndiye msanii pekee aliyefika Tanga siku ya juzi amesema kuwa amejifunza mambo mengi katika msiba wa rafiki yake Sharo Milionea, ikiwa ni pamoja na misiba ya wasanii wengine waliotangulia mbele ya

Madame Rita ajibu maswali tisa muhimu kuhusu EBSS 2013 (Audio)....

$
0
0
Shindano la EBSS 2013 linaelekea ukingoni ambapo November 30, atatangazwa mshindi wa shindano hilo pale Escape 1, Dar es Salaam.   Washiriki watano waliobaki katika shindano hilo ni Emmanuel Msuya, Elizabeth Mwakijambile, Amina Chibaba, Melisa John na Maina Thadei.    Times Fm imefanya mahojiano na Chief Judge wa shindano hilo, Rita Paulsen aka Madam Rita, na ameweza kujibu

"Ray na Johari wanalaana yangu na hakuna jinsi wataikwepa"...Norah

$
0
0
  BAADA ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ kueleza mazito kuhusu Ray, Johari na Chuchu Hans, msanii mwenzake, Nuru Nassoro ‘Nora’ naye amefunguka kuwa laana ya walichomfanyia miaka ya nyuma itawatesa Ray na Johari mpaka kifo chao. Akizungumza na GPL, Nora alisema Ray na Johari walimfanyia ‘mambo mabaya’ yaliyosababisha kupotea kabisa kwenye sanaa ya filamu hadi

Walimu watwangana ngumi ofisini kwa kutuhumiana kula pesa za kisima cha shule

$
0
0
Afisa Elimu msingi wilaya ya  Sengerema Bw,Juma Mwajombe alipokuwa akimvua madaraka Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Luhama kwa kosa la kutotimiza majukumu yake.  **************** AFISA Elimu wa Shule za Msingi Sengerema Mkoani Mwanza, Bw Juma Mwajombe amemvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Luhama iliyoko kata ya Katwe kwa kushidwa kutekeleza majukumu yake.   Amesema kuwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images