Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtoto anayedaiwa kufufuka anena kwa mara ya kwanza

$
0
0
  Ni hivi karibuni, Mji wa Geita na maeneo jirani ulikubwa na taharuki ya aina yake,pale mtoto Shabani Maulid (15) anaedaiwa kwamba alifariki dunia miaka miaka mitatu iliyopita, alipoonekana akiwa hai katika Kijiji cha 14 Kambarage, Mtaa wa Mbugani.   Tukio hilo lilizua hofu kwa wakazi wa Mji wa Geita huku waliowengi wakitaka kujua mtoto huyo aliyekutwa

Afande Sele ajiunga rasimi CHADEMA

$
0
0
Mwanamziki  mkongwe wa Hip hop na Bongo Fleva, ambaye pia ni mfalme wa Rymes, Selemani Msindi (Afande Sele), jana amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukabidhiwa kadi ya chama hicho na Powell Mfinanga wakati wa mkutano mkubwa uliofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini mkoani Morogoro... Muda  mfupi  kabla   ya  mkutano  huo  kuanza, Afande  Sele

Kenya yalaani umoja wa Mataifa ( UN ) uliotupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika ( AU) kutaka Rais wa Kenya na makamu wake wasihudhirie ICC

$
0
0
Serikali ya Kenya imelaani uamuzi uliotolewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) wa kutupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika (AU) kutaka kesi zinazowakabili viongozi wakuu wa nchi hiyo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zisitishwe.    Katika kujadiliwa kwa suala hilo, nchi nane wanachama wa Baraza la Usalama la UN zikiwemo Uingereza, Ufaransa, Marekani, pia nchi wanachama

Profesa Juma Kapuya azidi kubanwa.... Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Mwema ajitwisha jukumu la kumshughulikia, Samwel Sitta atoa kauli nzito

$
0
0
SAKATA la Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) kudaiwa kumbaka mwanafunzi na kumtishia kumuua, linazidi kuchukua sura mpya ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema na Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto wamengilia kati.    Jana gazeti la  Tanzania Dama  liliripoti kauli ya Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova kuwa watamchukulia

Binti avua nguo na kuyaanika matiti nje baada ya kuzidisha pombe

$
0
0
   Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti  nje baada ya kulewa mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati zito, Varangati hilo lililonaswa na kachero wetu lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Sinza- Afrika Sana jijini Dar.   Katika sinema hiyo ya bure, mrembo huyo alishuhudiwa akipigana na kila mtu aliyekutana naye mbele yake huku

Serikali yafanikiwa kuivunja kambi ya mafunzo ya Al Shabaab mkoani Tanga....watoto 54 na wanawake 32 warejeshwa.

$
0
0
Polisi wa Tanzania walivunja zoezi la mafunzo ya al-Shabaab katika mkoa wa Tanga, kuwakamata washukiwa 69 na kuwaachia huru dazani za wafundishwaji wakiwa na umri wa miaka kati ya 4 hadi 13 katika usafishaji wa usalama uliofanyika tarehe 28 Oktoba hadi tarehe 5 Novemba. "Hii imetushitua, tumeongeza usalama katika wilaya ya Kilindi na tumewasambaza polisi jamii wa kutosha ambao

Irene Uoya ajichora tatoo katika kiuno na makalio yake.

$
0
0
  Muigizaji wa kike maarufu  wa  jina  la  Irene  Uwoya  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kujichora  tatoo  makalioni  na  kiunoni  na  kisha  kujipiga  picha  na  kuitupia  mtandaoni..... Kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram, Uwoya  alizitundika  picha  hizo  na  kuwaacha  mashabiki  wake  watiririke  kwa  maoni  na  mapendekezo  kuona  kama  amependeza  au  hajapendeza....   <!--

Hizi ndo sababu zilizomfanya Aden Rage atimuliwe uenyekiti wa klabu ya Simba

$
0
0
Kamati ya  utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku imempiga stop Ismail Aden Rage kuendelea na ubosi katika klabu ya Simba na kulibadilisha benchi la ufundi isipokuwa nafasi ya meneja Madaktari wa timu .    Akizungumza kwa niaba ya kamati ya utendaji, mjumbe wa kamati ya utendaji Joseph Itangare amesema wamemsimamisha mwenyekiti kutokana na kufanya maamuzi yake binafsi

Undani wa mauaji yaliyofanyika jana jijini Dar....Chanzo chake hakina tofauti na kile cha Ufoo Saro wa ITV

$
0
0
Mfanyabiashara wa magari, Gabriel Munisi (35), jana alijiua baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es Salaam katika tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi.    Munisi, ambaye alikuwa mkazi wa Mwanza, aliwapiga risasi watu watatu akiwamo mchumba wake, Christina Alfred katika Mtaa wa Bungoni Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.  

Mchungaji wa kanisa la Pentekoste awabaka wanafunzi wawili na kuwaambukiza magonjwa ya Zinaa ( KASWENDE )

$
0
0
Wanafunzi  waliobakwa  kwa  zamu Baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Maendeleo wakizungumza kwa hisia tukio hilo la ubakaji lililofanywa na Mchungaji Kanisa linaloendeshwa na Mchungaji Bryson Mwaikambo Shule ya Msingi Maendeleo ambako wanasoma wasichana wanaodaiwa kubakwa na Mchungaji kwa zamu Wazazi wa watoto wanaodaiwa kubakwa Nyumba anayoishi Mchungaji Mwaikambo

Kamati kuu ya CHADEMA inatarajiwa kukutana leo ili kujadili misukosuko inayokikabili chama hicho.

$
0
0
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo inaanza kikao chake cha siku mbili ikitarajiwa kujadili masuala mazito, hasa misukosuko iliyokikumba katika siku za karibuni.    Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika ilisema kikao hicho kitakachofanyika Dar es Salaam kitapokea, kujadili na kufanya uamuzi wa masuala mbalimbali

Tishio jingine kubwa la Ugaidi nchini Kenya....Marekani yatoa angalizo kwa raia wake waishio Kenya kuwa tayari kwa lolote

$
0
0
SIKU chache baada ya kikundi cha Al Shabaab kudaiwa kuteka Jengo la Westgate nchini Kenya na kuua watu kadhaa na wengine kujeruhiwa wasiwasi wa magaidi kulipua tena nchi hiyo umetanda.   Tayari Marekani imetoa angalizo kwa Kenya kuhusu uvamizi huo na kuitaka isibeze kuchukua tahadhari kama ilivyofanya kwa tukio la Westgate na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi.   Kwa

Kajala Masanja kuhukumiwa upya Novemba 25

$
0
0
Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu baada ya mumewe kukata rufaa.    Kesi iliyokuwa ikiwakabili wanandoa hao ilihusiana na utakatishaji wa fedha haramu uliofanywa na mume wa Kajala wakati akifanya kazi kwenye Benki ya NBC, Dar. Habari za ndani zinaarifu  kuwa, Kajala alisharidhika na hukumu iliyotolewa Machi 25, mwaka huu ambapo yeye  alitakiwa

Kanye West na Kim Kardashian wajiachia Uchi katika video yao mpya ya Bound 2

$
0
0
Kanye West ametoa  video yake  ya   Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya hiyo video akiwa Uchi  wa  mnyama  na kuongeza hamu ya watu wengi kuisubiiri.. Ili  kuyaona  mapicha  hayo  pamoja  na  video  hiyo, bofya  hapo  chini << PICHA  NA  VIDEO  ZIKO  HAPA  >>

Aibu: Mabinti wa chuo wajirekodi wakiwa bila nguo ndani ya hosteli yao, video yavuja na kusambaa

$
0
0
  Mabinti  wawili  ambao  ni  wanafunzi  wa  chuo  kikuu  (???)  wamenaswa  live  wakicheza  nusu  uchi  ndani  ya  chumba  chao  cha  hosteli  huku  wakiwa  wametegesha  visimu  vyao  kwa  ajili  ya  kuwarekodi.... Siku  chache  baada  ya  mabinti  hao  kujirekodi, nguvu  za  shetani  zilionekana  kuelemewa  na  video  hiyo  ilivuja  na  kusambaa  kila  mahali.... Ukitaka  kuwashuhudia  na 

Kaka wa P-Square, Jude Okoye adaiwa kuisusia harusi ya Peter na Lola, ndugu wadai Lola hajatulia, wataka vipimo vya DNA vya watoto wao

$
0
0
Jumapili ya November 17, 2013, jiji la Lagos, Nigeria lilishuhudia harusi kubwa ya kitamaduni kati ya muimbaji wa kundi la P-Square, Peter Okoye na mchumba wake Lola Omotayo, lakini cha ajabu, kaka yake mkubwa, Jude Okoye hakuwepo.   Msemaji wa kundi hilo Bayo Adetu alisema Jude hakuwepo kwenye harusi kwakuwa alikwama nchini Ghana. Jude Okoye P-Square walikuwa

Kashfa ya kufanya mapenzi na watoto wadogo yaendelea kuwatafuna wabunge wawili wa CCM.....

$
0
0
WABUNGE wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rosesweeter Kasikila na Profesa Juma Kapuya, wameingia katika kashfa mbaya ya kimapenzi inayoweka hatma yao kisiasa shakani.    Kashfa za wabunge hao wa CCM zinatokana na hatua yao ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa nguvu na vijana wadogo.   Rosesweeter ambaye ana umri wa miaka 60, yuko katika kashfa ya kufunga ndoa na

Hatima ya Babu Seya na Papii Kocha ni LEO ambapo Mahakama itatoa uamuzi wa kulikubali au kulikataa ombi lao

$
0
0
MAHAKAMA ya Rufani leo inatarajia kutoa uamuzi wa ama kulikubali au kulikataa ombi la marejeo lililowasilishwa na mwanamuziki wa dansi nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanae, Papi Kocha ‘Mtoto wa Mfalme’, ambao waliomba mahakama hiyo ifanyie marejeo hukumu ya kifungo cha maisha iliyoitoa Februari 2010, kwa kuwa ina dosari za kisheria na kuwaachia huru.Kwa mujibu wa hati ya wito wa

Jeshi la polisi lawaonya wananchi dhidi ya matumzi mabaya ya Silaha....

$
0
0
  JESHI la Polisi nchini limetoa onyo kali kwa watu wanaotumia vibaya silaha walizomilikishwa.  Onyo hilo lilitolewa jana na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP), Advera Senso, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari na kuwataka watu hao kuacha mara moja tabia hiyo na badala yake wazingatie sheria na masharti waliyopewa wakati wa umilikishwaji.   Alisema

Majeruhi Francis Shumira aliyepigwa risasi juzi na Gabriel Munis ili kulipiza kisasi kwa penzi la Christina afariki dunia

$
0
0
MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam juzi  amefariki dunia jana asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu.    Kufariki kwa Francis kunafanya idadi ya watu  watatu waliofariki katika tukio hilo hadi hivi sasa huku ikiacha majeruhi wawili ambao  ni Christina Alfred Newa Mwanafunzi wa masuala ya Mawasiliano
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images