Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwanamziki wa Bendi ya FM Academia auawa China baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya.

0
0
Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa.    Kwa mujibu wa chanzo  makini kilichopo nchini China, rapa huyo alikamatwa uwanja wa ndege baada ya kugundulika kuwa amebeba madawa ya kulevya akiwa ameambatana na rapa mwingine wa Bendi ya Akudo Impact, Kanal Top na

Zitto Kabwe agoma kuhudhuria kikao cha kamati kuu ya CHADEMA, wajumbwe wakwazika

0
0
 WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.    Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya

Babu Seya na Papii Kocha washindwa kesi na kurejeshwa jela tena kwa kifungo cha maisha

0
0
Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leo Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa

Gari la Wema Sepetu lageuzwa Gesti house....Vijana wake walitumia kuwanasa mabinti na kufanya nao mapenzi ndani ya gari

0
0
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua  aliyekuwa director wake maarufu  kwa jina  la Chid  ni ufuska uliokubuhu wa director  huyo ambaye alikuwa  akitumia magari ya  Wema Sepetu  kama gest ya kumaliza haja zake. Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake Habari zaidi zinaarifu  kuwa  baada ya kupata

P-Square watua jijini Dar es Salaam

0
0
Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.    Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao. Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea. Vijana

Watanzania wanne wafikishwa mahakamani kwa kosa la kujiunga na kundi la Al Shabaab

0
0
WATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab. Washitakiwa hao waliofikishwa mahakamani jana ni Ally Rashid, Shaban Waziri, Faraji Ramadhani na Mussa Mtweve.   Wakili wa Serikali, Peter Maugo alidai mbele ya Hakimu Mkazi Sundi Fimbo, kuwa kati ya Januari 11 mwaka jana na Septemba 16

Kikao cha kamati kuu ya CHADEMA chamalizika kwa kumvua Zitto Kabwe nafasi zote za uongozi ndani ya chama hicho.

0
0
Suala la hatma ya Naibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe ndilo lililotawala katika siku ya pili ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho na kusababisha mvutano mkali miongoni mwa wajumbe.   Pamoja na ukweli kuwa kulikuwa na ajenda kadhaa zilizokuwa zimepangwa kujadiliwa katika kikao hicho cha siku mbili kilichofanyika Dar

Christine Newa asimulia kilichomfanya Gabriel Munis awapige risasi....Asema chanzo cha yote ni yeye kusaliti uchumba wao kutokana na.....

0
0
Imebainika kwamba sababu ya shambulizi la risasi lililotokea Ilala Bungoni, Dar es Salaam Jumanne iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu, ni wivu wa mapenzi uliopindukia.    Akizungumza nyumbani kwao Ilala Bungoni jana, mmoja wa majeruhi ambaye ndiye aliyekuwa kiini cha shambulizi hilo, Christine Newa alisema si kweli kwamba sababu ya mchumba wake, Gabriel Munisi kuwashambulia

Watu 10 wafikishwa mahakamani leo kwa kosa la kumuua Dr. Senngondo Mvungi.....

0
0
Watu kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.   Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji hivyo wamerudishwa Segerea mpaka tarehe 5 December   mwaka  huu ...     <!--

Sakata la CHADEMA KUJITEKA, kummwagia tindikali Saed Kubenea na chanzo cha ugomvi wa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.

0
0
Ndugu Wananchi, Taifa letu la Tanzania linapitia katika wakati wa upevukaji wa uhuru wa kusema kwa uwazi, pia Taifa letu linapitia katika harakati za demokrasia na maozezi ya deomkrasia. Katika kipindi hiki tumeshuhudia mambo mengi yakitokea ikiwa ni pamoja na baadhi ya watu na taasisi zao kuutumia uhuru huu wa kusema vibaya kwa lengo la kutimiza malengo yao binafsi au kutimiza wajibu wa

Video ya mke wa mchungaji akisaliti ndoa yake na director wake yanaswa

0
0
  Mama  mchungaji  wa  kanisa  moja  hapa  nchini  amejikuta  ndani  ya  aibu  nzito  baada  ya  video  yake  inayomuonesha  akisaliti  ndoa  yake  kuvuja  na  kusambaa  mitandaoni.... Katika  video  hiyo, mwanamke  huyo  anaonekana  akipewa  kichapo  kikali  na  mumewe  huku  akiwa  mtupu  mbele  ya  kundi  kubwa  la  watu  kama  njia  mojawapo  ya  kumwadhibu... Kila  kitu  kipo  hapo 

Taarifa rasimi ya CHADEMA kuhusu kuwavua uongozi Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba

0
0
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande.  Viongozi waliovuliwa Uongozi ni Zitto Kabwe ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Dr Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.   Akizungumza katika Mkutano wa

Huu ndo waraka wa siri uliotumiwa na CHADEMA kuwavua nafasi za uongozi Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

0
0
MKAKATI WA MABADILIKO 2013   UTANGULIZI: Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu.  Wa kwanza aliongoza kwa miaka mitano tangu wakati huo 1993 hadi 1998 na kumwachia aliyefuata ambaye naye aliongoza kwa miaka mitano hadi mwanzoni mwa 2004 na kumwachia aliyepo sasa

Baada ya CHADEMA kumvua uongozi Zitto Kabwe, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara naye aamua kujiuzulu

0
0
Habari    zilizotufikia  muda  mfupi  ulipita  zinaarifu  kwa Said Arfi  ambaye  ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amejiuzulu rasmi nafasi yake jioni hii.  Arfi ambaye pia ni mbunge wa Mpanda mjini (CHADEMA) amefikia uamuzi huo leo baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua uongozi Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo. Nafasi ya Zitto amepewa mchungaji Peter Msigwa. Ifuatayo  ni  kauli  ya 

Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba baada ya CHADEMA kumvua uongozi Zitto Kabwe....Amedai kuwa chama hicho kinaongozwa na watu wenye akili ndogo

0
0
Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa: 1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,   2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya

Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora.

0
0
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni  kijana  ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa  kutumia  wembe  mpya  ili  kuepukana  na  usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao  kimapenzi... Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub

"Utundu kitandani ndo silaha yangu ya kuwateka wanaume...Nayajua mapishi na njia zote za kumpagawisha mwanaume hata akiwa mgumu kiasi gani"..Baby Madaha

0
0
Wakati  kukiwa  na  madai  kuwa  msanii Baby  Madaha  anatumia  dawa  za  kienyeji  kuwateka  wanaume  kimapenzi, mrembo  huyo  ameibuka  na  kusema  kuwa  siri  ya  kuwateka  wanaume  ni  utundu  wake  kitandani.... Akiongea  na  mwandishi  wetu, Baby Madaha  amedai  kuwa  tuhuma  za  kutumia  dawa za  kienyeji  hata  yeye  amezisikia   tu, lakini  wote  wanaomtuhumu  hivyo ni  kwamba 

Rais Mugabe awapiga marufuku wageni na wahamiaji kujihusisha na biashara ndogo ndogo nchini mwake

0
0
Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa .Mmoja wa maafisa waandamizi wa serikali ya nchi hiyo amesema.   Katibu wa Uwezeshaji Uchumi George Magosvongwe alitoa onyo hilo  katika bunge la nchi hiyo, gazeti moja la serikali limesema.

Profesa Juma Kapuya aburuzwa polisi kwa tuhuma za ubakaji.....

0
0
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo.    Habari za kipolisi ambazo Tanzania Dama limezipata, zinasema kuwa binti huyo ambaye anadai kubakwa na kisha kutishiwa kuuawa na Profesa Kapuya, amefungua jalada namba OB/RB/21124/13 katika Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.  

Zitto Kabwe na Dr. Mkumbo watakutana na waandishi wa habari kesho ili kutoa msimamo wao kuhusu maamuzi yaliyochukuliwa na CHADEMA dhidi yao

0
0
Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013.  Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni.   Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images